Yanga kumlipia Ngasa deni
Yanga imeona hatari ya kumpoteza winga Mrisho Ngasa ambaye ameashiria kwamba ataondoka Jangwani baada ya mkataba wake uliobaki miezi mitano kumalizika na imeamua kumlipia deni lake la benki linalomuelemea -- kwa masharti maalum.
Ngasa alilazimika kukopa fedha benki baada ya kuamriwa na Kamati ya Sheria na Hadhi za Wachezaji kuilipa Simba Sh. milioni 45 alizochukua ili ajiunge nayo lakini akaikacha na kutua Yanga. Kamati hiyo pia ilimfungia mechi sita za awali za Ligi Kuu ya Tanzania Bara...
Vijimambo
Habari Zinazoendana
10 years ago
BBCSwahili10 Feb
Ngasa aomba Yanga imlipie deni
10 years ago
CloudsFM11 Feb
Yanga kulipa deni la Ngasa kwa masharti
HATIMAYE Klabu ya Yanga imekubali kulipa deni analodaiwa mchezaji wao, Mrisho Ngassa na klabu ya Simba, kwa masharti iwapo tu atakubaliana nao katika baadhi ya mambo likiwamo la mkataba au jambo lingine lolote.
Aidha, Ngassa ameahidi kucheza kwa kiwango katika michuano ya ligi na ya kimataifa na kuwa mchezaji bora iwapo tu uongozi wa klabu hiyo utamsaidia kulipa deni hilo kama ulivyoahidi.
Katika msimu wa 2013/2014, Ngassa alijiunga na Yanga akitokea Simba alikokuwa akicheza kwa mkopo akiwa...
5 years ago
CCM BlogCCM IMEFIKA MAHAKAMANI KUMLIPIA DENI ALIYEKUWA KATIBU WA CHADEMA
Akizungumza katika viwanja vya mahakama akiwa ameambatana na wanachama wengine wa chama hicho pamoja na mke wa mfungwa huyo , Polepole amesema amefika kufuata utaratibu ili wamtoe Mashinji.
"Tunaishukuru CCM Mkoa wa Dar es Salaam, wametusaidia tangu jana mpaka saa 4:00...
10 years ago
Vijimambo18 Mar
Ngasa aaga Yanga.

Winga hatari wa Yanga na Taifa Stars, Mrisho Ngasa, amewaaga na kuwashukuru mashabiki wake kwa kumpa sapoti katika kipindi chote alichokaa kwenye klabu hiyo ya Jangwani.
Ngasa, mfungaji bora wa michuano ya Klabu Bingwa Afrika mwaka jana na mfungaji bora wa Yanga msimu uliopita, mwishoni mwa wiki alikisaidia kikosi cha wanajangwani kupata ushindi mnono wa mabao 5-1 dhidi ya Platinum FC ya Zimbabwe kwenye Uwanja wa Taifa jijini Dar es Salaam.
Katika mechi hiyo ya hatua ya kwanza ya michuano ya...
10 years ago
TheCitizen11 Feb
Ngasa here to stay, say giants Yanga
11 years ago
Mwananchi08 Jul
USAJILI: Yanga yakubali kumuuza Ngasa
11 years ago
Mwananchi02 Jul
MAJARIBIO YA NGASA: Yanga: TFF inatuhujumu
10 years ago
Mwananchi26 Jan
Ngasa atimkia Sauzi, Yanga yamsubiri