Kasi ya Msuva, Coutinho yamtia presha Okwi
![](http://api.ning.com:80/files/q*0FqWTixVK9VM8nbDvB6Mst7huUn4gl4upAmm02gCI*amGCWPl5ouXBwfpKfCTyYaHVSihV87WE1LktJGVsFQZiszwMES1g/kac.jpg)
Mchezaji wa Yanga, Simon Msuva. Na Sweetbert Lukonge KIUNGO mshambuliaji wa Simba, Mganda, Emmanuel Okwi, hivi sasa ni mwenye mawazo mengi kila anapofikiria kasi ya wachezaji wawili wa Yanga, Andrey Coutinho na Simon Msuva kabla ya timu hizo mbili kuonyeshana ubabe Oktoba 18, mwaka huu. Okwi amekumbwa na hali hiyo kutokana na kukosa imani na safu ya ulinzi ya timu yake ambayo imeonyesha kutokuwa imara katika mechi zake za...
GPL
Habari Zinazoendana
10 years ago
Mwananchi29 Apr
Tambwe amtia presha Msuva
10 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/3pbaBKayUO-gfB6hSoj9RVu-ThwPYGLp3cx0QPMwTJt55RNhQu1aqItNuV4MyRkp03816jcwtmFHgy0gjpnHapnwLSTDgoP4/TINYO.jpg)
Coutinho amhamishia Msuva Brazil
10 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/jk1qJfh5Fa7d3SL1nhVtI8StGpwc84T3JByjfcjy-In3x6-Wr*v9UrukmMz2z21QnXViNzOaRqpXAukRv3AVzrOQqTgADeVL/coutinyo.jpg)
COUTINHO, TEGETE WAIPA PRESHA YANGA IKIIVAA AZAM
11 years ago
Mwananchi25 Mar
Prisons wawapania Okwi, Msuva
10 years ago
BBCSwahili02 Dec
Instagram yamtia matatani Balotelli
9 years ago
BBCSwahili21 Sep
Maoni ya facebook yamtia mashakani
9 years ago
Bongo Movies12 Oct
Wolper Ndoa Yamtia ‘Uchizi’
CHIZIKA! Wakati hekeheka za maandalizi zikipamba juu ya ndoa ya karne ya staa wa sinema za Kibongo, Wolper, mwanadada huyo anaonekana kuingiwa na ‘uchizi’ juu ya suala hilo ambapo muda wote anawaza ni kwa namna gani ataweza kuweka historia juu ya shughuli yake. Akizungumza na Ijumaa Wikienda, hivi karibuni ndani ya Ukumbi wa Jozi
Village, jijini Dar, Wolper alisema: “akili haijakaa sawa kabisa, nawaza juu ya ndoa yangu ambayo muda si mrefu itatimia, silali, sili na sipumui vizuri, kila kitu...
10 years ago
Mwananchi04 Aug
Rushwa barabarani yamtia kichefuchefu JK
10 years ago
BBCSwahili21 Jan
'Selfie' yamtia matatani Miss Lebanon