Coutinho amhamishia Msuva Brazil
![](http://api.ning.com:80/files/3pbaBKayUO-gfB6hSoj9RVu-ThwPYGLp3cx0QPMwTJt55RNhQu1aqItNuV4MyRkp03816jcwtmFHgy0gjpnHapnwLSTDgoP4/TINYO.jpg)
Kiungo mshambuliaji wa Yanga, Mbrazili, Andrey Coutinho. Na Wilbert Molandi KIUNGO mshambuliaji wa Yanga, Mbrazili, Andrey Coutinho, amevutiwa na kiwango kikubwa cha winga machachari, Simon Msuva akatamka kwamba staa huyo anastahili kucheza soka la kulipwa nchi kama Brazil alikotokea yeye. Msuva, katika kikosi cha Marcio Maximo, ameonekana kuwa mchezaji anayetoa mchango mkubwa katika mechi ambazo amecheza akitokea benchi au...
GPL
Habari Zinazoendana
10 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/q*0FqWTixVK9VM8nbDvB6Mst7huUn4gl4upAmm02gCI*amGCWPl5ouXBwfpKfCTyYaHVSihV87WE1LktJGVsFQZiszwMES1g/kac.jpg)
Kasi ya Msuva, Coutinho yamtia presha Okwi
10 years ago
GPL24 Nov
10 years ago
Vijimambo![](http://img.youtube.com/vi/duVHRdMH0nc/default.jpg)
MCHEZA WA YANGA KUTOKA BRAZIL ANDREY FERREIRA COUTINHO PLUIJM AMPIGIA SALUTI
pluijm ampigia saluti Coutinho
![](http://api.ning.com/files/jbaar29oQX6gYwGXp5bJ6vO-juYYtBqaAAEfk5q5tmBSHr7P*xjCzyuydhSYir8nez3TXdWuSGUMTj4*eW1yNt7jo7wQWUgF/PLUIJMKITAMBI.jpg?width=650)
Na Khadija MngwaiBAADA ya kiungo wa Yanga, Andrey Coutinho, raia wa Brazil, kufanikiwa kufumania nyavu mara mbili katika mchezo wa Kombe la Mapinduzi dhidi ya Polisi Zanzibar, kocha mkuu wa timu hiyo, Hans van Der Pluijm, amefunguka kuwa kiwango cha mchezaji huyo kipo juu kwa sasa.
Pluijm alianza kwa kumuweka benchi kiungo huyo kwenye mchezo wa Ligi Kuu Tanzania Bara dhidi ya Azam, lakini michuano ya Kombe la Mapinduzi...
11 years ago
Mwananchi09 Jun
BRAZIL 2014: Rio awatabiria akina Pogba kung’ara Brazil
11 years ago
TheCitizen28 Jun
BRAZIL 2014: Brazil face Chile as Suarez-less Uruguay confront Colombia
11 years ago
Mwananchi08 Jul
BRAZIL 2014: Brazil yakata rufaa kadi za njano za Thiago Silva
11 years ago
Mwananchi09 Jul
BRAZIL 2014: PIGO LA KARNE: Majonzi, vilio kila kona Brazil
11 years ago
Mwananchi05 Jul
BRAZIL 2014: Gustavo pigo kwa Brazil dhidi ya Colombia leo
11 years ago
Mwananchi13 Jun
Brazil 2014: Neymar, Oscar waipamba Brazil mechi ya ufunguzi