Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


MCHEZA WA YANGA KUTOKA BRAZIL ANDREY FERREIRA COUTINHO PLUIJM AMPIGIA SALUTI


pluijm ampigia saluti CoutinhoKocha mkuu wa Yanga. Hans van Der Pluijm.
Na Khadija MngwaiBAADA ya kiungo wa Yanga, Andrey Coutinho, raia wa Brazil, kufanikiwa kufumania nyavu mara mbili katika mchezo wa Kombe la Mapinduzi dhidi ya Polisi Zanzibar, kocha mkuu wa timu hiyo, Hans van Der Pluijm, amefunguka kuwa kiwango cha mchezaji huyo kipo juu kwa sasa.
Pluijm alianza kwa kumuweka benchi kiungo huyo kwenye mchezo wa Ligi Kuu Tanzania Bara dhidi ya Azam, lakini michuano ya Kombe la Mapinduzi...

Vijimambo

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

GPL

pluijm ampigia saluti Coutinho

Kocha mkuu wa Yanga. Hans van Der Pluijm. Na Khadija Mngwai
BAADA ya kiungo wa Yanga, Andrey Coutinho, raia wa Brazil, kufanikiwa kufumania nyavu mara mbili katika mchezo wa Kombe la Mapinduzi dhidi ya Polisi Zanzibar, kocha mkuu wa timu hiyo, Hans van Der Pluijm, amefunguka kuwa kiwango cha mchezaji huyo kipo juu kwa sasa. Pluijm alianza kwa kumuweka benchi kiungo huyo kwenye mchezo wa Ligi Kuu Tanzania Bara dhidi ya Azam,...

 

10 years ago

Tanzania Daima

Andrey Coutinho amtesa Marcio Maximo Yanga SC

KOCHA Mkuu wa Yanga, Mbrazil Marcio Maximo,amesema hana uhakika kama Andrey Coutinho atacheza mechi ya Ngao ya Jamii dhidi ya Azam FC, itakayochezwa kesho katika Uwanja wa Taifa, jijini Dar...

 

9 years ago

Global Publishers

Wema ampigia saluti Diamond

wema (2)Wema Sepetu ‘Madam’

Stori: Imelda Mtema

MTOTO mzuri Bongo Movies, Wema Sepetu ‘Madam’ ameonesha kumpigia saluti mpenzi wake wa zamani, Nasibu Abdul ‘Diamond’ baada ya kuguswa na ubora wa wimbo wake mpya uitwao Utanipenda kwa kuposti video mtandaoni ikimuonesha akiuimba wimbo huo.

DIAMOND (4)Nasibu Abdul ‘Diamond’.

Kwenye video hiyo, Madam anaonekana akiwa na shosti wake mwigizaji Aunt Ezekiel wakiimba wimbo huo kwa staili ya kupokezana huku wakiwa wamejilaza kitandani.

Mmoja wa marafiki wa Madam...

 

9 years ago

Mwananchi

Vipimo vyamchongea Andrey Coutinho

Kocha Mkuu wa Yanga Hans Pluijm amefanikisha ahadi yake ya kumpeleka kiungo Andrey Coutinho katika kufanyiwa vipimo maalum kuangalia uwezo wake ambapo sasa majibu yaliyotoka yameanza kumuweka katika wakati mgumu Mbrazil huyo.

 

10 years ago

Mwananchi

Shinyanga wagombea jezi za Andrey Coutinho

Pamoja na kutocheza kwa kiwango kikubwa kwenye mchezo wao dhidi ya Stand United, kiungo Andrey Coutinho amewapa biashara nzuri wauzaji wa jezi wa Shinyanga baada ya jezi yenye jina lake kuuzika kama njugu.

 

11 years ago

Dewji Blog

Andrey Coutinho amwaga wino Jangwani

10352837_10204420994232057_1327726715607196512_n

Kiungo wa Yanga, Mbrazil Andrey Coutinho (kulia).

Na MOblog Team

Kiungo wa Yanga, Mbrazil Andrey Coutinho, amemwaga wino wa kukipiga Jangwani kwa kipindi cha miaka miwili, huku akikabidhiwa jezi namba 7 iliyokuwa ikivaliwa na Didier Kavumbagu aliyejiunga na Azam FC.

Nyota huyo aliyetua nchini siku moja baada ya Maximo kuwasili na kusaini mkataba wa kuinoa Yanga kwa kipindi kama hicho, ameomba sapoti ya wachezaji wenzake na mashabiki wa timu hiyo ili aweze kutimiza malengo ya kuisaidia...

 

11 years ago

GPL

MCHEZA DENSI ASABABISHA VURUGU BRAZIL

Moto ukiwaka katika Barabara baada ya kuzuka mapigano kati ya jeshi la polisi na wakaazi wenye hasira katika viunga vya mji mkuu Rio de Janeiro. Kumezuka mapigano kati ya jeshi la polisi na wakaazi wenye hasira usiku kucha katika mojawapo ya viunga vya mji mkuu Rio de Janeiro. Barabara zimefungwa mjini humo wakati risasi zikisikika kutoka eneo hilo na polisi waking'ang'ana kuwadhibiti wakaazi hao. Polisi wakipambana na wakaazi...

 

11 years ago

GPL

MSHAMBULAJI KUTOKA BRAZIL ATUA YANGA

Coutinho akiwa katika pozi.
Mjumbe wa Kamati ya Utendaji ya Yanga, Mohammed Binda (kushoto), akiwa akiwa na Coutinho baada ya kuwasili uwanjani hapo.
Msemaji wa Yanga,…

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani