Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


MCHEZA DENSI ASABABISHA VURUGU BRAZIL

Moto ukiwaka katika Barabara baada ya kuzuka mapigano kati ya jeshi la polisi na wakaazi wenye hasira katika viunga vya mji mkuu Rio de Janeiro. Kumezuka mapigano kati ya jeshi la polisi na wakaazi wenye hasira usiku kucha katika mojawapo ya viunga vya mji mkuu Rio de Janeiro. Barabara zimefungwa mjini humo wakati risasi zikisikika kutoka eneo hilo na polisi waking'ang'ana kuwadhibiti wakaazi hao. Polisi wakipambana na wakaazi...

GPL

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Vijimambo

MCHEZA WA YANGA KUTOKA BRAZIL ANDREY FERREIRA COUTINHO PLUIJM AMPIGIA SALUTI


pluijm ampigia saluti CoutinhoKocha mkuu wa Yanga. Hans van Der Pluijm.
Na Khadija MngwaiBAADA ya kiungo wa Yanga, Andrey Coutinho, raia wa Brazil, kufanikiwa kufumania nyavu mara mbili katika mchezo wa Kombe la Mapinduzi dhidi ya Polisi Zanzibar, kocha mkuu wa timu hiyo, Hans van Der Pluijm, amefunguka kuwa kiwango cha mchezaji huyo kipo juu kwa sasa.
Pluijm alianza kwa kumuweka benchi kiungo huyo kwenye mchezo wa Ligi Kuu Tanzania Bara dhidi ya Azam, lakini michuano ya Kombe la Mapinduzi...

 

10 years ago

BBCSwahili

Mijeledi 91 kwa kucheza densi Iran

Watu 6 waliokamatwa kwa kucheza wimbo wa 'Happy' wamehukumiwa kifongo jela na adhabu ya kuchapwa mijeledi 91.

 

5 years ago

BBCSwahili

Uchezaji wa densi uliobadili maisha ya wanawake

Wakati jeraha la uti wa mgongo lilipomaanisha kuwa Vickie Simmonds ataanza kutumia kiti cha gurudumu, aligundua mapenzi yake ya kudensi. Kwa usaidizi wa rafiki yake mkuu Amanda.

 

5 years ago

BBCSwahili

Densi ya Drake yatamba kwenye mtandao wa TikTok

Mwanamuziki wa Rap Drake ametoa video ya wimbo wake mpya wa Tossie Slide akisakata densi ambayo imehamasisha densi mpya kwenye mtandao wa Tik Tok.

 

11 years ago

BBCSwahili

Polisi mashakani kwa kucheza densi India

Mgogoro umeibuka nchini India baada ya polisi mwanamke nchini humo kucheza densi ukumbini na muigizaji maarufu Shah Rukh Khan

 

11 years ago

Habarileo

Mtoto asababisha fumanizi hospitali

TAFRANI ilizuka usiku wa kuamkia jana katika Hospitali ya Mwananyamala, Kinondoni jijini Dar es Salaam, ikihusisha wanandoa baada ya mke aliyekuwa amempeleka mtoto kutibiwa, kumbamba mumewe akimleta anayedaiwa kuwa kimada pia kupata matibabu hospitalini hapo.

 

10 years ago

Habarileo

Mgonjwa asababisha tafrani Shinyanga

Mganga Mkuu wa Mkoa wa Shinyanga, Dk Ntuli KapologweWAKAZI wa Manispaa ya Shinyanga, kwa siku mbili mfululizo walikumbwa na kiwewe, baada ya kuenea uvumi kwamba kuna mgonjwa wa mwenye homa hatari ya ebola, aliyefikishwa katika Hospitali ya Mkoa wa Shinyanga.

 

11 years ago

GPL

Okwi asababisha mrembo azimie Taifa

Kiungo mshambuliaji wa Yanga, Emmanuel Okwi. Na Lucy Mgina
BAO lililofungwa na kiungo mshambuliaji wa Yanga, Emmanuel Okwi dhidi ya Simba, lilisababisha maafa kwa mrembo baada ya kuzimia. Okwi alifunga bao hilo dakika za mwishoni akiunganisha krosi kwa kichwa kutoka kwa Haruna Niyonzima. Baada ya bao hilo kuingia, ndipo shabiki huyo aliyekuwa amekaa upande wa jukwaa la Yanga nyuma ya goli alianguka ghafla kabla ya kutolewa...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani