Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Okwi asababisha mrembo azimie Taifa

Kiungo mshambuliaji wa Yanga, Emmanuel Okwi. Na Lucy Mgina
BAO lililofungwa na kiungo mshambuliaji wa Yanga, Emmanuel Okwi dhidi ya Simba, lilisababisha maafa kwa mrembo baada ya kuzimia. Okwi alifunga bao hilo dakika za mwishoni akiunganisha krosi kwa kichwa kutoka kwa Haruna Niyonzima. Baada ya bao hilo kuingia, ndipo shabiki huyo aliyekuwa amekaa upande wa jukwaa la Yanga nyuma ya goli alianguka ghafla kabla ya kutolewa...

GPL

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Mwananchi

Okwi aifufua Simba Taifa

>Hatimaye Simba imepata furaha baada ya jana kuibuka na ushindi wa kwanza wa Ligi Kuu Tanzania Bara msimu huu kwa kuichapa Ruvu Shooting Stars bao 1-0 katika mechi iliyochezwa kwenye Uwanja wa Taifa, Dar es Salaam.

 

10 years ago

Michuzi

MREMBO WA TANZANIA KATIKA MASHINDANI YA DUNIA YA MISS UNIVERSE ANG’ARA NA VAZI LA TAIFA

Mashindano ya awali (Preliminary show)ya fainali za kumtafuta mrembo wa Miss Universe Kimataifa huko jijini Doral, Miami-Marekani yamefanyika jana tarehe 21 huku jumla ya warembo 88 kutoka nchi tofauti duniani wakipita na mavazi ya Kitaifa(National Costume), ufukweni(Swim Suit) na magauni ya usiku(Evening gown). Mrembo wa Tanzania, Nale Boniface (pichani)  ni mmoja wa washiriki wa mashindano hayo ambapo fainali zake zitahitimishwa jumapili, januari 25 huko Marekani. Siku chache zikiwa...

 

10 years ago

Dewji Blog

Mrembo wa Tanzania katika mashindano ya dunia ya Miss Universe ang’ara na vazi la taifa

Evening Gown

Miss Universe ndani ya vazi la jioni.

Mashindano ya awali (Preliminary show) ya fainali za kumtafuta mrembo wa Miss Universe Kimataifa   huko jijini Doral, Miami-Marekani yamefanyika jana tarehe 21 huku jumla ya warembo 88 kutoka nchi tofauti duniani wakipita na mavazi ya Kitaifa(National Costume), ufukweni(Swim Suit) na magauni ya usiku(Evening gown). Mrembo wa Tanzania, Nale Boniface ni mmoja wa washiriki wa mashindano hayo ambapo fainali zake zitahitimishwa jumapili, januari 25 huko...

 

10 years ago

Mwananchi

Okwi aiongoza Simba kulipa kisasi Taifa

Dar es Salaam. Simba imelipa kisasi kwa Mgambo JKT ya Tanga baada ya kuifunga mabao 4-0 katika mchezo wa Ligi Kuu uliofanyika jana kwenye Uwanja wa Taifa, Dar es Salaam.

 

10 years ago

Habarileo

Mgonjwa asababisha tafrani Shinyanga

Mganga Mkuu wa Mkoa wa Shinyanga, Dk Ntuli KapologweWAKAZI wa Manispaa ya Shinyanga, kwa siku mbili mfululizo walikumbwa na kiwewe, baada ya kuenea uvumi kwamba kuna mgonjwa wa mwenye homa hatari ya ebola, aliyefikishwa katika Hospitali ya Mkoa wa Shinyanga.

 

11 years ago

Habarileo

Mtoto asababisha fumanizi hospitali

TAFRANI ilizuka usiku wa kuamkia jana katika Hospitali ya Mwananyamala, Kinondoni jijini Dar es Salaam, ikihusisha wanandoa baada ya mke aliyekuwa amempeleka mtoto kutibiwa, kumbamba mumewe akimleta anayedaiwa kuwa kimada pia kupata matibabu hospitalini hapo.

 

11 years ago

GPL

MCHEZA DENSI ASABABISHA VURUGU BRAZIL

Moto ukiwaka katika Barabara baada ya kuzuka mapigano kati ya jeshi la polisi na wakaazi wenye hasira katika viunga vya mji mkuu Rio de Janeiro. Kumezuka mapigano kati ya jeshi la polisi na wakaazi wenye hasira usiku kucha katika mojawapo ya viunga vya mji mkuu Rio de Janeiro. Barabara zimefungwa mjini humo wakati risasi zikisikika kutoka eneo hilo na polisi waking'ang'ana kuwadhibiti wakaazi hao. Polisi wakipambana na wakaazi...

 

9 years ago

BBCSwahili

Sili asababisha foleni ndefu Marekani

Wakaazi wa mji wa California walilazimika kutafuta njia mbadala baada ya sili mmoja kukwama barabarani mchana kutwa.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani