Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Mgonjwa asababisha tafrani Shinyanga

Mganga Mkuu wa Mkoa wa Shinyanga, Dk Ntuli KapologweWAKAZI wa Manispaa ya Shinyanga, kwa siku mbili mfululizo walikumbwa na kiwewe, baada ya kuenea uvumi kwamba kuna mgonjwa wa mwenye homa hatari ya ebola, aliyefikishwa katika Hospitali ya Mkoa wa Shinyanga.

habarileo

Read more


Habari Zinazoendana

5 years ago

Michuzi

RMO SHINYANGA : SIYO KILA MGONJWA MWENYE DALILI ZA CORONA, ANA CORONA

Mganga Mkuu wa Mkoa wa Shinyanga Dkt. Yudas Ndungile akifungua Mafunzo juu ya ugonjwa wa Corona kwa watoa huduma za afya kutoka katika vituo vya afya halmashauri ya wilaya ya Ushetu,Kahama Mji na Msalala yaliyofadhiliwa na Shirika la LifeWater International leo Alhamis Mei 7,2020 kwenye Ukumbi wa Kahama College of Health Sciences mjini Kahama. Picha zote na Kadama Malunde - Malunde 1 blogMganga Mkuu wa Mkoa wa Shinyanga Dkt. Yudas Ndungile akiwasisitiza wataalamu wa afya kutumia taaluma yao...

 

9 years ago

Michuzi

MKUU WA WILAYA YA SHINYANGA AFANYA ZIARA SOKO KUU SHINYANGA.

Desemba 02,2015- Mkuu wa wilaya ya Shinyanga Josephine Matiro ameendelea na ziara za kushtukiza kwenye maeneo ambayo ni kero katika wilaya hiyo.Ilikuwa majira ya saa tano asubuhi,mkuu huyo wa wilaya akaabukia katika soko kuu la manispaa ya Shinyanga lililojengwa kabla ya uhuru wa Tanganyika..Ikawa faraja kwa Wafanyabiashara wa soko hilo waliodai kwa kipindi kirefu wamekuwa wakiilalamikia halmashauri ya manispaa kutokana na kushindwa kulifanyia ukarabati soko hilo.Akiwa katika soko hilo...

 

9 years ago

Michuzi

MKUU WA WILAYA YA SHINYANGA AFANYA MKUTANO NA AKINA MAMA ZAIDI YA 300 KUPAMBA NA KIPINDUPINDU SHINYANGA


Hapa ni katika ukumbi wa NSSF mjini Shinyanga ambako wanawake/akina mama zaidi ya 300 wa manispaa ya Shinyanga wamekutana kujadili namna ya kupambana na ugonjwa wa Kipindupindu ambao umeukumba mkoa wa Shinyanga.Mkutano huo umeitishwa na mkuu wa wilaya ya Shinyanga Josephine Matiro.Akina mama hao waliojitokeza kwa wingi leo jioni Oktoba 06,2015 wameweka mikakati mbalimbali ya kutokemeza ugonjwa kipindupindu ambapo Jana pekee wagonjwa 9 wamelazwa katika kambi maalum jirani na hospital ya...

 

11 years ago

Habarileo

Mtoto asababisha fumanizi hospitali

TAFRANI ilizuka usiku wa kuamkia jana katika Hospitali ya Mwananyamala, Kinondoni jijini Dar es Salaam, ikihusisha wanandoa baada ya mke aliyekuwa amempeleka mtoto kutibiwa, kumbamba mumewe akimleta anayedaiwa kuwa kimada pia kupata matibabu hospitalini hapo.

 

9 years ago

BBCSwahili

Sili asababisha foleni ndefu Marekani

Wakaazi wa mji wa California walilazimika kutafuta njia mbadala baada ya sili mmoja kukwama barabarani mchana kutwa.

 

11 years ago

GPL

Okwi asababisha mrembo azimie Taifa

Kiungo mshambuliaji wa Yanga, Emmanuel Okwi. Na Lucy Mgina
BAO lililofungwa na kiungo mshambuliaji wa Yanga, Emmanuel Okwi dhidi ya Simba, lilisababisha maafa kwa mrembo baada ya kuzimia. Okwi alifunga bao hilo dakika za mwishoni akiunganisha krosi kwa kichwa kutoka kwa Haruna Niyonzima. Baada ya bao hilo kuingia, ndipo shabiki huyo aliyekuwa amekaa upande wa jukwaa la Yanga nyuma ya goli alianguka ghafla kabla ya kutolewa...

 

11 years ago

GPL

MCHEZA DENSI ASABABISHA VURUGU BRAZIL

Moto ukiwaka katika Barabara baada ya kuzuka mapigano kati ya jeshi la polisi na wakaazi wenye hasira katika viunga vya mji mkuu Rio de Janeiro. Kumezuka mapigano kati ya jeshi la polisi na wakaazi wenye hasira usiku kucha katika mojawapo ya viunga vya mji mkuu Rio de Janeiro. Barabara zimefungwa mjini humo wakati risasi zikisikika kutoka eneo hilo na polisi waking'ang'ana kuwadhibiti wakaazi hao. Polisi wakipambana na wakaazi...

 

11 years ago

GPL

KIBONDE WA CLOUDS FM ASABABISHA AJALI, ATIWA MBARONI LEO

Mtangazani Mahiri wa Redio Clouds FM Ephrahim Kibonde akidhibitiwa na Askari wa Usalama barabarani. Mtangazani Mahiri wa Redio 88.5 Clouds FM kupitia kipindi cha Jahazi, Ephrahim Kibonde akidhibitiwa na Askari wa Usalama barabarani wakati alipotakiwa kutii sheria bila shurti,mapema asubuhi hii jijini Dar es salaam. Kibonde anadaiwa kusababisha ajali asubuhi hii eneo la Makumbusho, ikiwa gari aliyokuwa akiendesha kuigonga gari ya...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani