RMO SHINYANGA : SIYO KILA MGONJWA MWENYE DALILI ZA CORONA, ANA CORONA
Mganga Mkuu wa Mkoa wa Shinyanga Dkt. Yudas Ndungile akifungua Mafunzo juu ya ugonjwa wa Corona kwa watoa huduma za afya kutoka katika vituo vya afya halmashauri ya wilaya ya Ushetu,Kahama Mji na Msalala yaliyofadhiliwa na Shirika la LifeWater International leo Alhamis Mei 7,2020 kwenye Ukumbi wa Kahama College of Health Sciences mjini Kahama. Picha zote na Kadama Malunde - Malunde 1 blogMganga Mkuu wa Mkoa wa Shinyanga Dkt. Yudas Ndungile akiwasisitiza wataalamu wa afya kutumia taaluma yao...
Michuzi
Habari Zinazoendana
5 years ago
BBCSwahili22 Apr
Virusi vya corona: 'Kila anayekufa sio mgonjwa wa corona' asema Magufuli
5 years ago
Michuzi5 years ago
BBCSwahili26 Jun
Virusi vya corona: Watoto wengi walioapata corona hawakuonesha dalili
5 years ago
BBCSwahili26 Mar
Coronavirus: Kenya yatangaza kifo cha kwanza cha mgonjwa mwenye virusi vya corona
5 years ago
BBCSwahili07 Jun
Virusi vya corona: Rais Magufuli asema ana imani ugonjwa wa corona umeondolewa kwa nguvu za Mwenyezi Mungu
5 years ago
BBCSwahili06 Apr
Virusi vya Corona: Boris Jonhson alazwa hospitali akionyesha dalili za virusi vya corona
5 years ago
BBCSwahili23 Apr
Dalili potofu za Corona zitaondolewa YouTube
5 years ago
CCM BlogTANZANIA YATHIBITISHA KUPATA MGONJWA W CORONA
Waziri huyo ameyasema hayo leo Jumatatu Machi 16, 2020, alipokutana na waandishi wa habari katika ofisi za Taasisi ya Taifa ya Utafiti wa Magonjwa ya Binadamu Tafiti za Tiba (NIMRI).
Kwa mujibu wa taarifa kwa...
5 years ago
CCM BlogMGONJWA WA TATU WA CORONA APONA NA KURUHUSIWA
• Mwingine mmoja kusubiri kipimo cha mwisho
Na. WAMJW-Dar es Salaam
Waziri wa Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto, Ummy Mwalimu amesema kuwa mgonjwa wa tatu aliyeambukizwa ugonjwa wa corona nchini amepona na kuruhusiwa kurudi nyumbani, huku mgonjwa mwingine mmoja kipimo cha pili ameonyesha negative hivyo anasubiri kipimo cha mwisho kuthibitishwa kupona.
Waziri Ummy ameyasemahaya leo jijini hapa kuwa mmoja wa wagonjwa hao ni yule aliyekuwa amelazwa kwenye kituo maalumu ya tiba...