Sili asababisha foleni ndefu Marekani
Wakaazi wa mji wa California walilazimika kutafuta njia mbadala baada ya sili mmoja kukwama barabarani mchana kutwa.
BBCSwahili
Habari Zinazoendana
5 years ago
Michuzi
PESA ZA BSS BADO, SILI BATA - MESHACK

Na Khadija Seif, Michuzi Tv
MSHINDI wa BSS mwaka 2019, Meshack Fukuta amesema kuwa akipata hela zake za ushindi ambazo ni shilingi Milioni 20 atazitumia kwa ajili ya muziki wake na sio kula bata kama watu ambavyo wamezoea.
Akizungumza na Michuzi Tv amesema kuwa hela ambazo anazitegemea kuzipata hivi karibu sio ndogo wala sio nyingi ila asipo tuliza akili anaweza kuja kujikuta amezitumia bila ya kutimiza malengo yake.
“Sijapata hela bado na ni lazima nijipange ili nisije kuchanganyikiwa...
10 years ago
GPL
MLELA: SILI ‘UNGA’, UMRI UMENIBADILISHA
11 years ago
Habarileo01 Apr
Mtoto asababisha fumanizi hospitali
TAFRANI ilizuka usiku wa kuamkia jana katika Hospitali ya Mwananyamala, Kinondoni jijini Dar es Salaam, ikihusisha wanandoa baada ya mke aliyekuwa amempeleka mtoto kutibiwa, kumbamba mumewe akimleta anayedaiwa kuwa kimada pia kupata matibabu hospitalini hapo.
11 years ago
Habarileo14 Aug
Mgonjwa asababisha tafrani Shinyanga
WAKAZI wa Manispaa ya Shinyanga, kwa siku mbili mfululizo walikumbwa na kiwewe, baada ya kuenea uvumi kwamba kuna mgonjwa wa mwenye homa hatari ya ebola, aliyefikishwa katika Hospitali ya Mkoa wa Shinyanga.
11 years ago
GPL
MCHEZA DENSI ASABABISHA VURUGU BRAZIL
11 years ago
GPL
Okwi asababisha mrembo azimie Taifa
11 years ago
GPL
KIBONDE WA CLOUDS FM ASABABISHA AJALI, ATIWA MBARONI LEO
10 years ago
Dewji Blog27 Jun
Komredi Kinana asababisha wapinzani lukuki kuhamia CCM Magu
Katibu Mkuu wa CCM, Abdulrahman Kinana akipokea kadi za vyma vya upinzani kutoka kwa watu waliovihama vyama hivyo na kujiunga na CCM, katika mkutano wa hadhara akatika Mji wa Kisesa, wilayani Magu, mkoani Mwanza leo,wakati wa ziara ya kuimarisha uhai wa chama, kukagua utekelezaji wa Ilani ya Uchaguzi pamoja na kusikiliza kero za Wananchi na kuzitafutia ufumbuzi.Kushoto ni Katibu wa CCM Mkoa wa Mwanza, Miraji Mtaturu. Zaidi ya wapinzani 50 walijiunga papo hapo.
Katibu Mkuu wa CCM,...