Komredi Kinana asababisha wapinzani lukuki kuhamia CCM Magu
Katibu Mkuu wa CCM, Abdulrahman Kinana akipokea kadi za vyma vya upinzani kutoka kwa watu waliovihama vyama hivyo na kujiunga na CCM, katika mkutano wa hadhara akatika Mji wa Kisesa, wilayani Magu, mkoani Mwanza leo,wakati wa ziara ya kuimarisha uhai wa chama, kukagua utekelezaji wa Ilani ya Uchaguzi pamoja na kusikiliza kero za Wananchi na kuzitafutia ufumbuzi.Kushoto ni Katibu wa CCM Mkoa wa Mwanza, Miraji Mtaturu. Zaidi ya wapinzani 50 walijiunga papo hapo.
Katibu Mkuu wa CCM,...
Dewji Blog
Habari Zinazoendana
10 years ago
GPLKOMREDI KINANA ASABABISHA WAPINZANI LUKUKI KUHAMIA CCM MAGU
10 years ago
Michuzi
KATIBU MKUU WA CCM,KOMREDI KINANA AMALIZA ZIARA YAKE YA SIKU 15 KISIWANI UNGUJA NA PEMBA LEO.

Kinana amemaliza ziara ya siku 15 katika visiwa vya Unguja na Pemba Zanzibar ambapo amekagua na kushiriki ujenzi katika miradi 40 mikoa...
10 years ago
Vijimambo
KINANA AWAELEZA WAKAZI WA MAGU HAKUNA MTU MAARUFU ZAIDI YA CCM



10 years ago
Michuzi
KATIBU MKUU WA CCM KOMREDI KINANA AHANI MSIBA WA MAREHEMU MHE.SAMUEL LUANGISA MJINI BUKOBA LEO


11 years ago
Vijimambo
SIKU YA 29 YA ZIARA YA KINANA WAPINZANI WAZIDI KURUDI CCM





11 years ago
Mwananchi15 Oct
Wapinzani wakimdharau Kinana, CCM itashinda kirahisi 2015
10 years ago
Michuzi24 Nov
VIONGOZI WA SUDANI KUSINI WAMFUATA KOMREDI KINANA MASASI KUPATANISHWA
10 years ago
GPLKOMREDI KINANA AZIDI KUCHANA MBUGA, ATUA KYERWA, KAGERA
10 years ago
Dewji Blog07 Jun
Komredi Kinana, Nape wahani msiba wa Jaji Mstaafu Lwangisa Bukoba mjini

Katibu Mkuu wa CCM, Ndugu Abdulrahman Kinana akitia saini kwenye kitabu cha kumbukumbu ya maombolezo ya Marehemu Jaji Mstaafu Samuel Luangisa nyumbani kwake kwa marehemu Kitendagulo, mjini Bukoba mkoani Kagera.Marehemu Luangisa ni miongoni mwa Waasisi wa Taifa na katika vipindi tofauti tofauti alikuwa mkuu wa Mkoa wa Ziwa Magharibi (Kagera),Mbunge na Meya wa Manispaa ya Bukoba pamoja na nyadhifa nyingine.

Katibu Mkuu wa CCM,Ndugu Abdulrahman Kinana akiweka shada la maua kwenye kaburi...