Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


KINANA AWAELEZA WAKAZI WA MAGU HAKUNA MTU MAARUFU ZAIDI YA CCM

 Katibu Mkuu wa CCM Ndugu Abdulrahman Kinana akishiriki kujaza maji kwenye madumu mara baada ya kutembelea mradi wa kusambaza maji Magu mjini,Pichani kushoto ni Mkuu wa mkoa wa Mwanza Mhe. Magessa Mulongo.Katibu Mkuu wa CCM Ndugu Abdulrahman Kinana akizungumza na Vijana wa Boda Boda Magu mjini wakati wa uzinduzi wa shina la Wajasiriamali la waendesha Boda Boda wa UVCCM Magu Mjini,Katibu Mkuu wa CCM aliwapongeza vijana hao kwa uamuzi wa kuanzisha umoja wao na kuwataka kufanya kazi kwa bidii...

Vijimambo

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Dewji Blog

Komredi Kinana asababisha wapinzani lukuki kuhamia CCM Magu

Katibu Mkuu wa CCM, Abdulrahman Kinana akipokea kadi za vyma vya upinzani kutoka kwa watu waliovihama vyama hivyo na kujiunga na CCM, katika mkutano wa hadhara akatika Mji wa Kisesa, wilayani Magu, mkoani Mwanza leo,wakati wa ziara ya kuimarisha uhai wa chama, kukagua utekelezaji wa Ilani ya Uchaguzi pamoja na kusikiliza  kero za Wananchi na kuzitafutia ufumbuzi.Kushoto ni Katibu wa CCM Mkoa wa Mwanza, Miraji Mtaturu. Zaidi ya wapinzani 50 walijiunga papo hapo.

  Katibu Mkuu wa CCM,...

 

10 years ago

GPL

KOMREDI KINANA ASABABISHA WAPINZANI LUKUKI KUHAMIA CCM MAGU‏

  Katibu Mkuu wa CCM, Abdulrahman Kinana akipokea kadi za vyma vya upinzani kutoka kwa watu waliovihama vyama hivyo na kujiunga na CCM, katika mkutano wa hadhara akatika Mji wa Kisesa, wilayani Magu, mkoani Mwanza.
 Komredi Kinana akipokea kadiu kutoka kwa aliyekuwa…

 

11 years ago

GPL

MAGU: INAPAKANA NA ZIWA VICTORIA LAKINI MAJI HAKUNA

Mheshimiwa Dk. Festus Bulugu Limbu (katikati) akifafanua jambo. Makala: Gabriel Ng’osha Magu ni moja kati ya wilaya saba zinazounda Mkoa wa Mwanza. Pia ni jimbo la uchaguzi linaloongozwa na Mheshimiwa Dk. Festus Bulugu Limbu kwa tiketi ya Chama Cha Mapinduzi. Upande wa Kaskazini, Magu inapakana na Ziwa Victoria, Kusini inapakana na Wilaya za Kwimba, Misungwi na Mkoa wa Shinyanga kwa upande wa Mashariki. Uwazi lilichanja...

 

11 years ago

Michuzi

WAKAZI WA SUMBAWANGA VIJIJIJINI WAVUTIWA NA UTENDAJI KAZI WA KATIBU MKUU WA CCM,NDUGU KINANA.

Katibu Mkuu wa CCM, Abdulrahman Kinana akihutubia maelfu ya wananchi, katika kijiji cha Ilemba, kata ya Ilemba, alipohutubia wananchi katika kata hiyo akiwa katika  ziara ya kukagua utekelezaji wa ilani ya Chama, kusikiliza kero za wananchi na kujadiliana nao njia za kuzitatua katika wilaya Sumbawanga Vijijini mkoani Rukwa. Baadhi ya Wanachama wapya wapato 300 kutoka kata ya Ilemba, waliojiunga na chama cha CCM,wakila kiapo mara baada ya kukabidhiwa kadi za chama hicho na Katibu Mkuu...

 

9 years ago

StarTV

Wakazi Magu waombwa kuchagua viongozi watakao tatua changamoto ya maji.

Wakazi wa Magu mkoani Mwanza wameelezwa kuwa njia pekee ya kutatua matatizo ya kijamii ikiwemo ukosefu wa maji katika jimbo hilo ni kuchagua viongozi wanaokerwa na matatizo yanayoikumba jamii nzima na sio tatizo la mtu mmojammoja.

Katibu wa CCM mkoa wa Mwanza Miraji Mtaturu amesema jimbo la Magu linakabiliwa na changamoto nyingi ikiwemo tatizo la maji ambalo linahitaji ufumbuzi wa haraka pamoja na changamoto mbalimbali zinazo ikabili jamii..

 Katika ufunguzi wa kampeni katika jimbo la Magu...

 

10 years ago

Michuzi

KATIBU MKUU WA CCM,NDUGU KINANA AWASHUKURU WAKAZI WA TANGA KWA KUFANYA VYEMA UCHAGUZI WA SERIKALI ZA MITAA.

 Wananchi wa Tanga mjini wakimpa mkono wa kumuga Katibu Mkuu wa CCM Ndugu Abdulrahman Kinana mara baada ya kumaliza mkutano wake wa kuwashukuru Watanzania kwa kuichagua CCM na kuwashukuru kwa imani yao kwa kutambua chama kinaweza kuongoza.  Wananchi wakiwa wamefurika uwanjani Tangamano kumsikiliza Katibu Mkuu wa CCM wakati wa kuwashukuru wananchi hao kwa kuichagua CCM kwenye uchaguzi wa Serikali za mitaa uliofanyika mwezi Desemba 2014.  Wananchi wakiwa wamefurika uwanjani Tangamano...

 

11 years ago

GPL

MBINU ZA KUWA MTU MAARUFU KATIKA JAMII-4

Tajiri William Henry "Bill" Gates III. Mpenzi msomaji wangu, wiki ya nne ya darasa zuri inamalizika leo, kwa kuangali baadhi ya vipengele muhimu vinavyoweza kusaidia mtu kuwa na umaarufu kwenye jamii. Soma kwa umakini mkubwa kuanzia pale tulipoishia wiki iliyopita. Wachagulie watu kitu kitakachokunufaisha
Ulaghai mzuri zaidi ni ule unaoonekana kuwapa watu wengine chaguo la jambo la kufanya.  Maadui zako watahisi wako huru...

 

9 years ago

Bongo Movies

Shamsa Ford: Natamani Kuolewa na Mtu Ambaye Si Maarufu

Muigizaji wa filamu za Bongo, Shamsa Ford ameweka wazi hisia zake za kutaka kuingia kwenye ndoa.

Shamsa ambaye kwa miezi kadhaa iliyopita amekuwa akikanusha kuwa na uhusiano na Nay Wa Mitego licha ya kuwepo kwa dalili nyingi zinazoashiria kuwa ni wapenzi, amesema sasa umefika muda anatamani kuolewa.

Muigizaji huyo wa ‘Chausiku’ ambaye ni mama wa mtoto mmoja, ameongeza kuwa licha ya kutamani kuwa mke wa mtu lakini nafasi hiyo hawezi kumpa mtu maarufu, kwa lugha nyingine hawezi kuolewa na...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani