MBINU ZA KUWA MTU MAARUFU KATIKA JAMII-4
![](http://api.ning.com:80/files/4S4DUD84Vb7rWRWLUl-HndoPjP-Ndgjgny6ECYqT52DbJ*RQ7c7s2bD6PieNzA32a847PUN-8G0bCpxW7ln7llGFzAQDuI3R/bill.jpg?width=650)
Tajiri William Henry "Bill" Gates III. Mpenzi msomaji wangu, wiki ya nne ya darasa zuri inamalizika leo, kwa kuangali baadhi ya vipengele muhimu vinavyoweza kusaidia mtu kuwa na umaarufu kwenye jamii. Soma kwa umakini mkubwa kuanzia pale tulipoishia wiki iliyopita. Wachagulie watu kitu kitakachokunufaisha Ulaghai mzuri zaidi ni ule unaoonekana kuwapa watu wengine chaguo la jambo la kufanya. Maadui zako watahisi wako huru...
GPL
Habari Zinazoendana
11 years ago
GPL![](http://dewjiblog.com/wp-content/uploads/2014/02/DSC_0851.jpg)
REDIO ZA JAMII NCHINI ZIMETAKIWA KUWA MAKINI NA UANDAAJI WA VIPINDI PAMOJA NA HABARI, KATIKA KUEPUSHA UIBUAJI WA MIGOGORO KATIKA JAMII ZINAZOWAZUNGUKA
10 years ago
Mwananchi06 Sep
Tabia inaweza kumjengea mtu uwezo wa kuaminiwa katika jamii anayoishi
11 years ago
Tanzania Daima13 Mar
Inawezekana kuwa na thamani katika jamii
KATIKA maisha, vijana wengi tunatamani kuwa na kiu ya mafanikio au kuleta mabadiliko pale tulipo. Lakini ni wachache ambao wameweza kufanikisha malengo yao na kuleta mabadiliko chanya katika jamii. Japokuwa...
10 years ago
Michuzi![](http://4.bp.blogspot.com/-Ffs4QgV-gWc/VVrtD_RDUcI/AAAAAAAHYL8/qY7kgShK6QU/s72-c/TUND%2B1.jpg)
Jamii yatakiwa kuwa na nidhamu na usimamizi mzuri katika shughuli za kujiletea maendelo
Akizungumza katika ufunguzi wa mafunzo kwa wajasiriamali vijana wa Halmashauri ya Wilaya ya Tunduru Kaimu Katibu Tawala wa Wilaya hiyo Bw. Manfred Hyera amesema chanzo cha mafanikio katika ujasiriamali nikuwa na nidhamu kwa jamii inayowazunguka kwani kwa kufanya hivyo kutawawezesha kuwaongezea kipato.
Bw.Hyera amesema kitendo cha baadhi ya wajasiriamali kutumia lugha chafu...
9 years ago
Bongo Movies14 Aug
Shamsa Ford: Natamani Kuolewa na Mtu Ambaye Si Maarufu
Muigizaji wa filamu za Bongo, Shamsa Ford ameweka wazi hisia zake za kutaka kuingia kwenye ndoa.
Shamsa ambaye kwa miezi kadhaa iliyopita amekuwa akikanusha kuwa na uhusiano na Nay Wa Mitego licha ya kuwepo kwa dalili nyingi zinazoashiria kuwa ni wapenzi, amesema sasa umefika muda anatamani kuolewa.
Muigizaji huyo wa ‘Chausiku’ ambaye ni mama wa mtoto mmoja, ameongeza kuwa licha ya kutamani kuwa mke wa mtu lakini nafasi hiyo hawezi kumpa mtu maarufu, kwa lugha nyingine hawezi kuolewa na...
10 years ago
Vijimambo![](http://3.bp.blogspot.com/-9FHUkKOOVas/VY1-KYLIF_I/AAAAAAAAfyM/Jv2ePmNpGv4/s72-c/1.jpg)
KINANA AWAELEZA WAKAZI WA MAGU HAKUNA MTU MAARUFU ZAIDI YA CCM
![](http://3.bp.blogspot.com/-9FHUkKOOVas/VY1-KYLIF_I/AAAAAAAAfyM/Jv2ePmNpGv4/s640/1.jpg)
![](http://1.bp.blogspot.com/-TvoprT1_BHI/VY1-RC19ZBI/AAAAAAAAfyk/mdOONd_aeVA/s640/2.jpg)
![](http://1.bp.blogspot.com/-QHXMji-yaqI/VY1--aTQnCI/AAAAAAAAf1A/0VIFDUhYcQw/s640/4.jpg)