Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Mtoto asababisha fumanizi hospitali

TAFRANI ilizuka usiku wa kuamkia jana katika Hospitali ya Mwananyamala, Kinondoni jijini Dar es Salaam, ikihusisha wanandoa baada ya mke aliyekuwa amempeleka mtoto kutibiwa, kumbamba mumewe akimleta anayedaiwa kuwa kimada pia kupata matibabu hospitalini hapo.

habarileo

Read more


Habari Zinazoendana

5 years ago

Bongo5

Mama Aliyeibiwa Mtoto Hospitali, Afunguka

Asma Juma, mzazi aliyejifungua watoto mapacha na kudai kuibiwa mtoto mmoja katika hospitali ya Temeke, amefunguka kuelezea kilichotokea.

Mzazi huyo anawatuhumu wauguzi wa hospitali hiyo kumuiba mtoto wake huyo akidai, awali wakati alipokuwa na ujauzito picha za Ultrasound alizowahi kupima zilionyesha kuwa ana ujauzito wa mapacha na hata alipokuwa hospitalini hapo alimsikia nesi aliyekuwa akimuhudumia akithibitisha kua ana watoto wawili.

Akiongea na kipindi cha Power Breakfast cha Clouds...

 

10 years ago

GPL

MTOTO WA FAMILIA YA KIFALME UINGEREZA ATOLEWA HOSPITALI

Mtoto wa kike wa Prince William na Kate Middleton aliyezaliwa jana. Prince William na Kate Middleton wakiwa wamembeba binti yao. Prince William na Kate Middleton wakitoka Hospitali ya St Mary jijini London.…

 

5 years ago

Bongo5

Mama aishutumu hospitali ya Temeke kumuibia mtoto

Utata umeibuka baada ya mkazi wa Mbande jijini Dar es Salaam, kuishutumu Hospitali ya Wilaya ya Temeke kumuimbia mtoto mmoja, baada ya kujifungua pacha.

Wakazi wa Kata ya Chamazi mtaa wa Pande, Asma Juma na Mumewe, Amir Pazi wakimfurahia mmoja wa mtoto wao wanayedai alizaliwa mapacha katika Hospitali ya Rufaa ya Temeke Dar es Salaam, mwezi uliyopita na mmoja kupotea katika mazingira yasiyofahamika.

Mwanamke huyo, Asma Juma alisema kabla ya kwenda kupewa rufaa ya kujifungua katika hospitali...

 

11 years ago

CloudsFM

YULE MTOTO ALIYEFUNGIWA KWENYE BOKSI MOROGORO HUYU HAPA AKIWA KATIKA HOSPITALI YA MUHIMBILI

Mtoto aliyekuwa amefichwa kwenye boksi mkoani Morogoro, Nasra Mvungi ambaye alikuwa amelazwa katika Hospitali ya Mkoa wa Morogoro, amehamishiwa Hospitali ya Taifa Muhimbili (MNH), kwa uchunguzi zaidi.
Mganga Mkuu wa Hospitali ya Morogoro, Dk Godfrey Mtei alisema Nasra alipelekwa Muhimbili juzi usiku baada ya hali yake kutoridhisha.
Alisema afya ya Nasra ilibadilika ghafla juzi asubuhi na kushindwa kupumua vizuri, jambo lililowalazimu madaktari kumpeleka Muhimbili kwa gari maalumu la wagonjwa...

 

10 years ago

Habarileo

Mgonjwa asababisha tafrani Shinyanga

Mganga Mkuu wa Mkoa wa Shinyanga, Dk Ntuli KapologweWAKAZI wa Manispaa ya Shinyanga, kwa siku mbili mfululizo walikumbwa na kiwewe, baada ya kuenea uvumi kwamba kuna mgonjwa wa mwenye homa hatari ya ebola, aliyefikishwa katika Hospitali ya Mkoa wa Shinyanga.

 

11 years ago

GPL

MCHEZA DENSI ASABABISHA VURUGU BRAZIL

Moto ukiwaka katika Barabara baada ya kuzuka mapigano kati ya jeshi la polisi na wakaazi wenye hasira katika viunga vya mji mkuu Rio de Janeiro. Kumezuka mapigano kati ya jeshi la polisi na wakaazi wenye hasira usiku kucha katika mojawapo ya viunga vya mji mkuu Rio de Janeiro. Barabara zimefungwa mjini humo wakati risasi zikisikika kutoka eneo hilo na polisi waking'ang'ana kuwadhibiti wakaazi hao. Polisi wakipambana na wakaazi...

 

11 years ago

GPL

Okwi asababisha mrembo azimie Taifa

Kiungo mshambuliaji wa Yanga, Emmanuel Okwi. Na Lucy Mgina
BAO lililofungwa na kiungo mshambuliaji wa Yanga, Emmanuel Okwi dhidi ya Simba, lilisababisha maafa kwa mrembo baada ya kuzimia. Okwi alifunga bao hilo dakika za mwishoni akiunganisha krosi kwa kichwa kutoka kwa Haruna Niyonzima. Baada ya bao hilo kuingia, ndipo shabiki huyo aliyekuwa amekaa upande wa jukwaa la Yanga nyuma ya goli alianguka ghafla kabla ya kutolewa...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani