Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Mama aishutumu hospitali ya Temeke kumuibia mtoto

Utata umeibuka baada ya mkazi wa Mbande jijini Dar es Salaam, kuishutumu Hospitali ya Wilaya ya Temeke kumuimbia mtoto mmoja, baada ya kujifungua pacha.

Wakazi wa Kata ya Chamazi mtaa wa Pande, Asma Juma na Mumewe, Amir Pazi wakimfurahia mmoja wa mtoto wao wanayedai alizaliwa mapacha katika Hospitali ya Rufaa ya Temeke Dar es Salaam, mwezi uliyopita na mmoja kupotea katika mazingira yasiyofahamika.

Mwanamke huyo, Asma Juma alisema kabla ya kwenda kupewa rufaa ya kujifungua katika hospitali...

Bongo5

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

GPL

MWILI WA MAMA MZAZI WA KULWA MWAIBALE WAAGWA HOSPITALI YA TEMEKE

Jeneza lililokuwa na mwili wa marehemu, likiwa ndani ya Hospitali ya Temeke, muda mfupi kabla ya kuagwa kwa safari ya kuelekea Mbeya kwa mazishi. Picha ya marehemu enzi za uhai wake. Waombolezaji wakibeba jeneza lenye mwili wa marehemu, kuelekea kwenye gari, tayari kwa safari ya kuelekea Mbeya kwa mazishi.…

 

10 years ago

Vijimambo

AKINA MAMA WA KIKUNDI CHA ZITEZEN FOUNDATIO WATOA MSAADA WA MAGODORO KATIKA HOSPITALI YA TEMEKE

Akina mama Wa Citizen Foundation wakiongozwa na askari polisi wa kituo cha cahng'ombe wakati wakifanya maandamano kutoka kituoni hapo kwenda kukabidhi msaada wa magodoro hospitali ya temeke.
 Akina mama wa Citizen Foundation wakiwa nje ya Hospitali ya Wilaya ya Temeke na walikokwenda kukabidhi magodoro.
 Mwenyekiti wa Citezen Foundation, Lilian Wasira akimkabidhi moja ya magodoro, Amosi Kabelege ambaye ni Msimamizi Mkuu wa Hospitali ya Temeke. Mwenyekiti wa Citizen Foundation, Lilian Wasira...

 

10 years ago

Michuzi

WAKINA MAMA WA KIKUNDI CHA ZITEZEN FOUNDATIO WATOA MSAADA WA MAGODORO KATIKA HOSPITALI YA TEMEKE

Akina mama wa Kikundi cha Citizen cha Tabata jijini Dar es Salaam, jana kilitoa magodoro 50 na katoni 25 za maji na 25 za soda aina ya Cocacola ikiwa ni kuadhimisha Siku ya Akina mama Duniani.
Akizungumza wakati akikabidhi msaada huo, Mwenyekiti wa kikundi hicho, Lilian Wasira alisema wameguswa sana na tatizo la akina mama kujifungulia sakafuni ndiyo maana wakaona watoe msaada huo.
Lilian alisema, wameamua kufanya hivyo badala ya kusherehea siku hiyo kwenye kumbi za burudani huku wenzao...

 

5 years ago

Bongo5

Mama Aliyeibiwa Mtoto Hospitali, Afunguka

Asma Juma, mzazi aliyejifungua watoto mapacha na kudai kuibiwa mtoto mmoja katika hospitali ya Temeke, amefunguka kuelezea kilichotokea.

Mzazi huyo anawatuhumu wauguzi wa hospitali hiyo kumuiba mtoto wake huyo akidai, awali wakati alipokuwa na ujauzito picha za Ultrasound alizowahi kupima zilionyesha kuwa ana ujauzito wa mapacha na hata alipokuwa hospitalini hapo alimsikia nesi aliyekuwa akimuhudumia akithibitisha kua ana watoto wawili.

Akiongea na kipindi cha Power Breakfast cha Clouds...

 

11 years ago

Tanzania Daima

Clouds yatoa msaada hospitali Temeke

KAMPUNI ya Clouds Media Group imetoa msaada wa vifaa vya hospitali kwa Hospitali ya Temeke, Dar es Salaam. Akizungumza baada ya kukabidhiwa  vifaa hivyo ambavyo vitatumika kwa wajawazito na wagonjwa...

 

10 years ago

Michuzi

MAMA SALMA KIKWETE AKABIDHI MASHINE YA KUPIMIA SARATANI YA MATITI KWA AKINA MAMA HOSPITALI KUU YA JESHI LUGALO

Mke wa Rais na Mwenyekiti wa WAMA Mama Salma Kikwete akikabidhi mashine ya kupimia saratani ya matiti kwa akina mama kwa uongozi kwa Mnadhimu Mkuu wa Jeshi la Ulinzi la Wananchi Luteni Jenerali Samuel Ndomba (kulia). Hafla ya makabidhiano hayo ilifanyika kwenye Hospitani Kuu ya Jeshi Lugalo kwenye Kitengo cha Uzazi na Mtoto kilichoko Mwenge tarehe 27.2.2015. Aliyesimama pembeni kwa Mama Salma ni Katibu Mkuu wa Wizara ya Afya na Ustawi wa Jamii Dkt. Donan Mmbando na aliyesimama kulia kwa...

 

9 years ago

Michuzi

PSPF YAIPATIA HOSPITALI YA TEMEKE VITANDA, MAGODORO NA MASHUKA

MFUKO wa Pensheni wa PSPF, imeisaidia hospitali ya wilaya ya Temeke, vitanda, magodoro na mashuka ili kusaidia serikali katika juhudi zake za kupunguza uhaba wa vifaa vya hospitali za umma.
Msaada huo ambao ni utekelezaji wa maombi ya Mbunge wa viti maalum, Angela Kairuki, alioutoa kwa uongozi wa PSPF, baada ya kutembelea hospitali hiyo wakati akiwa naibu waziri wa Sheria na Katiba, na kukuta akina mama wajawazito waliofika hospitalini hapo kujifungua wengine wakilala chini kutokana na uhaba...

 

11 years ago

GPL

EMMANUEL TEMU AAGWA LEO HOSPITALI YA TEMEKE JIJINI DAR

Mama wa marehemu Emmanuel, Hilda Lewi Nambuo Temu akiaga mwili wa mwanaye kwa simanzi. Ndugu, jamaa na marafiki wakiaga mwili wa marehemu Emmanuel.…

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani