Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Mama Aliyeibiwa Mtoto Hospitali, Afunguka

Asma Juma, mzazi aliyejifungua watoto mapacha na kudai kuibiwa mtoto mmoja katika hospitali ya Temeke, amefunguka kuelezea kilichotokea.

Mzazi huyo anawatuhumu wauguzi wa hospitali hiyo kumuiba mtoto wake huyo akidai, awali wakati alipokuwa na ujauzito picha za Ultrasound alizowahi kupima zilionyesha kuwa ana ujauzito wa mapacha na hata alipokuwa hospitalini hapo alimsikia nesi aliyekuwa akimuhudumia akithibitisha kua ana watoto wawili.

Akiongea na kipindi cha Power Breakfast cha Clouds...

Bongo5

Read more


Habari Zinazoendana

9 years ago

BBCSwahili

Mtoto aliyeibiwa apatikana baada ya miezi 4

Mahakama nchini El Salvador imeamuru mtoto aliyebadilishwa punde baada ya kuzaliwa kukutanishwa na wazazi wake halisi miezi minne baadaye

 

5 years ago

BBCSwahili

Wazazi wampata mtoto wao aliyeibiwa miaka 32 iliyopita China

Familia moja China, aliyoibiwa mtoto wao wa kiume katika hoteli mwaka 1988 imempata baada ya miaka 32.

 

5 years ago

Bongo5

Mama aishutumu hospitali ya Temeke kumuibia mtoto

Utata umeibuka baada ya mkazi wa Mbande jijini Dar es Salaam, kuishutumu Hospitali ya Wilaya ya Temeke kumuimbia mtoto mmoja, baada ya kujifungua pacha.

Wakazi wa Kata ya Chamazi mtaa wa Pande, Asma Juma na Mumewe, Amir Pazi wakimfurahia mmoja wa mtoto wao wanayedai alizaliwa mapacha katika Hospitali ya Rufaa ya Temeke Dar es Salaam, mwezi uliyopita na mmoja kupotea katika mazingira yasiyofahamika.

Mwanamke huyo, Asma Juma alisema kabla ya kwenda kupewa rufaa ya kujifungua katika hospitali...

 

10 years ago

Michuzi

MAMA SALMA KIKWETE AKABIDHI MASHINE YA KUPIMIA SARATANI YA MATITI KWA AKINA MAMA HOSPITALI KUU YA JESHI LUGALO

Mke wa Rais na Mwenyekiti wa WAMA Mama Salma Kikwete akikabidhi mashine ya kupimia saratani ya matiti kwa akina mama kwa uongozi kwa Mnadhimu Mkuu wa Jeshi la Ulinzi la Wananchi Luteni Jenerali Samuel Ndomba (kulia). Hafla ya makabidhiano hayo ilifanyika kwenye Hospitani Kuu ya Jeshi Lugalo kwenye Kitengo cha Uzazi na Mtoto kilichoko Mwenge tarehe 27.2.2015. Aliyesimama pembeni kwa Mama Salma ni Katibu Mkuu wa Wizara ya Afya na Ustawi wa Jamii Dkt. Donan Mmbando na aliyesimama kulia kwa...

 

11 years ago

GPL

MAMA MKUBWA WA MTOTO ALIYEUNGUA MOTO ATOWEKA NA MTOTO HUYO KUSIKO JULIKANA.‏

Huyu ndiye Mama mkubwa wa mtoto Adolotea Nyavike Bi. Salome Kiegu(35) ambaye ametoweka na mtoto huyo kusiko julikana wakati wasamalia wema wakitaka kutoa misaada kwa nototo huyo. Mtoto Adolotea Njavike(1.4) ambae Kichwa na Kiwiliwili…

 

10 years ago

Vijimambo

SUGU ASHINDA KESI DHIDI YA MAMA MTOTO WAKE FAIZA, MAHAKAMA YAAMUA APEWE MTOTO

Mbunge wa Mbeya mjini, Joseph Mbilinyi (Sugu) ameshinda kesi aliyomfungulia aliyewahi kuwa mchumba wake Faiza Ally ambaye pia ni mama wa mtoto wake wa kike aitwaye Sasha.Kwa mujibu wa maelezo ya Faiza kupitia akaunti yake ya Instagram, mahakama imetoa hukumu ambayo ni mtoto achukuliwe na kulelewa na baba yake mzazi.Sugu alimshitaki Faiza kwa madai kuwa hana maadili na ana hofia kuwa atamharibu mtoto wao, hivyo alitaka kumchukua mtoto kutoka kwa mama yake aishi naye.

Hiki ndicho amekiandika...

 

10 years ago

GPL

RAY ABANWA MTOTO WA JOHARI, AFUNGUKA!

Brighton Masalu na Musa Mateja
SIKU chache baada ya kuripotiwa na gazeti pacha la hili, Risasi Jumamosi kuwa staa wa sinema za Kibongo, Blandina Chagula ‘Johari’ alibeba mimba na kuzaa kwa siri huku tetesi zikivuma kuwa baba wa mtoto huyo ni msanii mwenzake, Vincent Kigosi ‘Ray’, mambo yameanza kunoga baada ya Ray kufunguka kuwa hahusiki kwa lolote, Risasi Mchanganyiko ‘limemzingira’. ...

 

11 years ago

GPL

MAMA AFUNGUKA KANGA MOKO KUPIGWA RISASI

Stori: Makongoro Oging’ na Haruni Sanchawa
MAMA mzazi wa binti aliyesababisha wasichana wawili kujeruhiwa kwa kupigwa risasi na polisi baada ya kushiriki ngoma maarufu ya Kanga Moko iliyopigwa marufuku, huko Mwananyamala Kisiwani jijini Dar es Salaam, amefunguka na kusema kuwa hakukuwa na sherehe yoyote nyumbani kwake siku hiyo ya tukio. Grace Loy (20), mkazi wa Mwananyamala Mchangani, aliyepigwa risasi katika paja la...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani