MAMA AFUNGUKA KANGA MOKO KUPIGWA RISASI
![](http://api.ning.com:80/files/Y-6c8O6EPx-3Vtun6PRaBtrUC4eEsyIFoyIqijJ-oYJyYsSG83iQqwi4OEdOIvNMMcAe*Gic3cEXKJZ0vEPK5Y41IqnicsTC/nabado.jpg)
Stori: Makongoro Oging’ na Haruni Sanchawa MAMA mzazi wa binti aliyesababisha wasichana wawili kujeruhiwa kwa kupigwa risasi na polisi baada ya kushiriki ngoma maarufu ya Kanga Moko iliyopigwa marufuku, huko Mwananyamala Kisiwani jijini Dar es Salaam, amefunguka na kusema kuwa hakukuwa na sherehe yoyote nyumbani kwake siku hiyo ya tukio. Grace Loy (20), mkazi wa Mwananyamala Mchangani, aliyepigwa risasi katika paja la...
GPL
Habari Zinazoendana
10 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/YLaeso7tISAEFhGnA0CF-8ZruaIQHuNgzHxvpLfeAiCs*rD*UEk8NWDhS-lEvaJwjOUCn0*S7iaBIVKMD8MArCe3c1wQlHbH/moko.jpg)
KANGA MOKO KAMA KAWA
11 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/Ug6ORo4NSNTH4yfWvQDCZycdWw7QNfZ1z-ciqF8rzlbrkcUGI*Mtl2PqLif8KSQc297MmWW4NSo2BsrzWttlljlWMgMkFbev/mnenguaji.jpg)
UNDANI MNENGUAJI WA KHANGA MOKO ALIYEPIGWA RISASI
10 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/xa7rDnAgaa7ceEmWfCqaSqANSXxWQ*WK50*BdkPfddBDyVhouvx-5iAdCJpytkO5Ht-gD-1DCvBemmP4cPeyfUIWAMegoDuC/FRONT.jpg?width=650)
MAJAJI BONGO KUPIGWA RISASI
11 years ago
Tanzania Daima19 Jun
Auawa kwa kupigwa risasi
MKAZI wa Kijiji cha Masuguru, Kata ya Masagala, wilayani Kishapu, Juma Masalu (25), ameuawa kwa kupigwa risasi baada ya kuingia katika mgodi wa Almasi unaomilikiwa na Wiliamson Diamond. Kaimu Kamanda...
11 years ago
Mwananchi08 Feb
Mtuhumiwa adaiwa kupigwa risasi
11 years ago
Tanzania Daima02 Jan
Wawili wafa kwa kupigwa risasi
WATU wawili wamefariki dunia kwa kupigwa risasi na watu wanaosadikiwa kuwa majambazi baada ya kuvamia Tarafa ya Ingwe, Wilaya ya Tarime, Mkoa wa Mara. Kamanda wa Polisi Tarime na Rorya,...
10 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/knSjhwKOr7vdk52AymDIq4KwyMPC8hRtJ6tmlceWsxX9ReLcKGizEWPvlmBR-iAkTQXE25mjt7Png72xHALIjtPRNXPHVrwh/marais.jpg)
MARAIS WALIOUAWA KWA KUPIGWA RISASI
11 years ago
Habarileo12 Feb
Wanandoa wauawa kwa kupigwa risasi
MUME na mke wakazi wa kijiji cha Ndurumo kilichomo ndani ya makazi ya kambi ya wakimbizi ya Katumba wilayani Mlele, mkoani Katavi, wameuawa kwa kufyatuliwa risasi za moto wakiwa wamelala nyumbani mwao na mtu ambaye hajaweza kufahamika.
11 years ago
BBCSwahili01 May
Nguruwe wanaorandaranda kupigwa risasi India