MAJAJI BONGO KUPIGWA RISASI

ENDAPO ulinzi binafsi na wa kazini hautaimarishwa kwa majaji, uwezekano ni mkubwa wa watu wabaya kuwavamia ofisini na kuwapiga risasi kwa sababu ya hukumu zao za kunyonga au kufunga watu jela maisha, Risasi Jumamosi limebaini. Mahakama Kuu ya Tanzania Kanda ya Dar es Salaam. Hilo limekuja kufuatia chanzo kimoja toka Mahakama Kuu ya Tanzania Kanda ya Dar es Salaam kupiga simu kwenye Ofisi za Magazeti Pendwa ya Global...
GPL
Habari Zinazoendana
11 years ago
Tanzania Daima19 Jun
Auawa kwa kupigwa risasi
MKAZI wa Kijiji cha Masuguru, Kata ya Masagala, wilayani Kishapu, Juma Masalu (25), ameuawa kwa kupigwa risasi baada ya kuingia katika mgodi wa Almasi unaomilikiwa na Wiliamson Diamond. Kaimu Kamanda...
11 years ago
Mwananchi08 Feb
Mtuhumiwa adaiwa kupigwa risasi
11 years ago
Habarileo12 Feb
Wanandoa wauawa kwa kupigwa risasi
MUME na mke wakazi wa kijiji cha Ndurumo kilichomo ndani ya makazi ya kambi ya wakimbizi ya Katumba wilayani Mlele, mkoani Katavi, wameuawa kwa kufyatuliwa risasi za moto wakiwa wamelala nyumbani mwao na mtu ambaye hajaweza kufahamika.
11 years ago
Tanzania Daima02 Jan
Wawili wafa kwa kupigwa risasi
WATU wawili wamefariki dunia kwa kupigwa risasi na watu wanaosadikiwa kuwa majambazi baada ya kuvamia Tarafa ya Ingwe, Wilaya ya Tarime, Mkoa wa Mara. Kamanda wa Polisi Tarime na Rorya,...
10 years ago
GPL
MARAIS WALIOUAWA KWA KUPIGWA RISASI
11 years ago
BBCSwahili01 May
Nguruwe wanaorandaranda kupigwa risasi India
11 years ago
GPL
MAMA AFUNGUKA KANGA MOKO KUPIGWA RISASI
10 years ago
GPL
ALIYEUAWA KWA KUPIGWA RISASI HUYU HAPA
9 years ago
Mwananchi29 Dec
Mfanyakazi wa Zantel auawa kwa kupigwa risasi