Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


UNDANI MNENGUAJI WA KHANGA MOKO ALIYEPIGWA RISASI

Stori: Shakoor Jongo na Emelda Tarimo MNENGUAJI wa Kundi la Kanga Moko, Zawia Hamis  ambaye usiku wa Jumatano iliyopita alipigwa risasi mbili mwilini  na mtu aliyedaiwa ni askari polisi, ameweka undani wa sakata hilo. Mnenguaji wa Kundi la Kanga Moko, Zawia Hamis akionyesha sehemu alikopigwa risasi mbili mwilini na mtu aliyedaiwa ni askari polisi. Akizungumza na… ...

GPL

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

GPL

KHANGA MOKO NUSURA ABAKWE CHOONI

KAMA kawa kama dawa, ni Ijumaa nyingine ambayo mapaparazi wetu wanaotii amri za Mkuu wao walijiachia viwanja mbalimbali kusaka matukio na kuwasiliana moja kwa moja na Mkuu wao aliyekuwa makao makuu ya ofisi za gazeti hili zilizopo Bamaga Mwenge jijini Dar es Salaam. Kikosi cha mapaparazi hao ni Musa Mateja ‘Toz’, Issa Mnally ‘Mzee wa GX100’, Dustan Shekidele ‘Mkude Simba’ na Mpigapicha Mkuu,...

 

10 years ago

GPL

ESHE BUHETI: NAMVALIA KHANGA MOKO MUME WANGU TU

Katika safu hii wiki hii tunaye mwanadada anayeyaendesha maisha yake kwa kuuza sura kwenye filamu Bongo. Huyu si mwingine bali ni Eshe Buheti. Mkali katika tasnia ya filamu Bongo, Eshe Buheti. Kama ilivyo ada naye aliwekwa mtukati na mwandishi wetu Imelda Mtema na kuulizwa maswali ambayo alitoa ushirikiano katika kuyajibu.Ijumaa: Unaonekana kutoandamwa na skendo kama inavyokuwa kwa mastaa wengine, hii inatokana na nini? Eshe:...

 

11 years ago

GPL

MAMA AFUNGUKA KANGA MOKO KUPIGWA RISASI

Stori: Makongoro Oging’ na Haruni Sanchawa
MAMA mzazi wa binti aliyesababisha wasichana wawili kujeruhiwa kwa kupigwa risasi na polisi baada ya kushiriki ngoma maarufu ya Kanga Moko iliyopigwa marufuku, huko Mwananyamala Kisiwani jijini Dar es Salaam, amefunguka na kusema kuwa hakukuwa na sherehe yoyote nyumbani kwake siku hiyo ya tukio. Grace Loy (20), mkazi wa Mwananyamala Mchangani, aliyepigwa risasi katika paja la...

 

11 years ago

Mwananchi

Aliyepigwa risasi atoa ya moyoni

Askari Magereza wa kike aliyejeruhiwa kwa risasi baada ya basi la jeshi hilo kushambuliwa kwa risasi na majambazi, amesema hakuhisi mpenyo wa risasi katika titi lake la kushoto mpaka alipokaguliwa na askari mwenzake.

 

10 years ago

BBCSwahili

Mwanaharakati aliyepigwa risasi aondoka Burundi

Pierre Claver Mbonimpa aliyeshambuliwa katika mji mkuu wa Burundi, mapema wiki hii anaenda Ulaya kupokea matibabu.

 

10 years ago

Tanzania Daima

Aliyepigwa risasi adai kukosa haki

MKAZI wa Kigamboni, Baraka Mashauri (27), aliyepigwa risasi katika mguu wake kulia na askari polisi wa kituo kidogo cha Gymkhana jijini Dar es Salaam, amelalamika haki kutotendeka katika suala lake....

 

10 years ago

Habarileo

Aliyepigwa risasi nane azinduka, ataja ‘muuaji’

Kamanda wa Polisi Mkoa wa Arusha Liberatus SabasMKAZI wa eneo la Kanisani, Kata ya Sokon One mjini hapa ambaye alipoteza fahamu kwa zaidi ya wiki na kulazimika kupumua kwa msaada wa mashine katika Hospitali ya Selian alikokuwa amelazwa baada ya kupigwa risasi nane, amezinduka na kutaja jina la mmoja wa wabaya wake.

 

10 years ago

GPL

EXCLUSIVE: ALIYEPIGWA RISASI JANA AFARIKI DUNIA

Nyakiringa Stivin (39), mara baada ya kupigwa risasi tumboni. Kushoto kwake ni mkewe, Agness Lucas.
....wapita njiawakijaribu kutoa msaada kwa mtu huyo. Global Publishers jana ilikuwa ya kwanza kuripoti tukio la mwanamme mmoja kupigwa risasi maeneo ya Magomeni Mikumi ambaye hakuweza kutambulika mara moja, lakini sasa amejulikana na kwa taarifa zilizotolewa na ndugu, jamaa huyo… ...

 

10 years ago

GPL

PROFESA ALIYEPIGWA RISASI AZIKWA JIJINI DAR LEO

Mwili wa aliyekuwa Mhadhiri wa Chuo Kikuu cha Dar es Salaam (UDSM), Profesa Athuman Livigha ukiwasili nyumbani kwake Bunju jijini Dar leo. Makamu Mkuu wa UDSM, Profesa Rwekaza Mukandala (wa pili kushoto)…

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani