Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


ESHE BUHETI: NAMVALIA KHANGA MOKO MUME WANGU TU

Katika safu hii wiki hii tunaye mwanadada anayeyaendesha maisha yake kwa kuuza sura kwenye filamu Bongo. Huyu si mwingine bali ni Eshe Buheti. Mkali katika tasnia ya filamu Bongo, Eshe Buheti. Kama ilivyo ada naye aliwekwa mtukati na mwandishi wetu Imelda Mtema na kuulizwa maswali ambayo alitoa ushirikiano katika kuyajibu.Ijumaa: Unaonekana kutoandamwa na skendo kama inavyokuwa kwa mastaa wengine, hii inatokana na nini? Eshe:...

GPL

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

GPL

KHANGA MOKO NUSURA ABAKWE CHOONI

KAMA kawa kama dawa, ni Ijumaa nyingine ambayo mapaparazi wetu wanaotii amri za Mkuu wao walijiachia viwanja mbalimbali kusaka matukio na kuwasiliana moja kwa moja na Mkuu wao aliyekuwa makao makuu ya ofisi za gazeti hili zilizopo Bamaga Mwenge jijini Dar es Salaam. Kikosi cha mapaparazi hao ni Musa Mateja ‘Toz’, Issa Mnally ‘Mzee wa GX100’, Dustan Shekidele ‘Mkude Simba’ na Mpigapicha Mkuu,...

 

11 years ago

GPL

UNDANI MNENGUAJI WA KHANGA MOKO ALIYEPIGWA RISASI

Stori: Shakoor Jongo na Emelda Tarimo MNENGUAJI wa Kundi la Kanga Moko, Zawia Hamis  ambaye usiku wa Jumatano iliyopita alipigwa risasi mbili mwilini  na mtu aliyedaiwa ni askari polisi, ameweka undani wa sakata hilo. Mnenguaji wa Kundi la Kanga Moko, Zawia Hamis akionyesha sehemu alikopigwa risasi mbili mwilini na mtu aliyedaiwa ni askari polisi. Akizungumza na… ...

 

11 years ago

GPL

MAMA: WACHAWI WANANITESA, WATOTO WANGU 8, MUME WANGU WAMEKUFA KWA UGONJWA WA AJABU

STORI: MAKONGORO OGING’
Regina Kihosa (62), mkazi wa Kosolameba mkoani Kigoma amelazwa katika Hospitali ya Taifa Muhimbili kufuatia gonjwa la ajabu lililompata huku akidai kwamba limetokana na wachawi ambao wanausumbua mji wake. Regina Kihosa akiteseka kwa gonjwa la ajabu. KWANZA AMEPOTEZA WATOTO WANANE
Mama huyo amelazwa katika hospitali hiyo jengo la Sewahaji,wodi namba 24 akiendelea na matibabu na ana mawazo mengi...

 

10 years ago

GPL

DIVA: ZITTO NI MUME WANGU

Na Shakoor Jongo
MTANGAZAJI wa Kipindi cha Ala za Roho kinachorushwa kupitia Radio Clouds FM ya jijini Dar, Loveness Malinzi ‘Diva’ kwa mara ya kwanza, amejilipua kuzungumzia uhusiano wake na Zitto Kabwe kwamba walikuwa mke na mume. Mtangazaji wa Kipindi cha Ala za Roho, Loveness Malinzi ‘Diva’ akipozi. Katika mahojiano maalum na mwanahabari wetu jijini Dar juzi, Diva alisema anashangazwa na baadhi...

 

11 years ago

GPL

SHAMSA: MSIMSOGELEE MUME WANGU!

Stori:  Gladness Mallya
MWADADADA anayefanya poa Bongo Movies, Shamsa Ford amewataka wanawake wanaomfuatilia mumewe, Dickson waache mara moja. Shamsa Ford. Shamsa alisema, anakerwa sana na tabia ya wanawake wanaomfuata mumewe kwani hata wale wa ‘zilipendwa’ wameanza kujirudisha upya kitu ambacho hatakubaliana nacho. “Hawa wanawake hawana adabu wala aibu, ninawatahadharisha tu, wakae  mbali na mume...

 

10 years ago

GPL

SHAMSA: SIJAACHANA NA MUME WANGU

Na IMELDA MTEMA/Uwazi MSANII wa filamu anayetamba na Filamu ya Chausiku, Shamsa Ford amewafungukia watu wanaoeneza taarifa kuwa ameachana na mumewe, Dickson Matoke kwamba hakuna kitu kama hicho. Msanii wa filamu anayetamba na Filamu ya Chausiku, Shamsa Ford. Akizungumza na Uwazi, Shamsa alisema kuwa hajaachana na mumewe huyo na wote wanaosema hivyo watakuwa wanamtaka.“Bado nipo na mume wangu tena kajaa tele, nashangaa hao...

 

10 years ago

Bongo Movies

Shamsa: Sijutii Kuachana na Mume Wangu

Staa mrembo kutoka Bongo Movies, Shamsa Ford amesema kamwe hatajutia kitendo cha kuachana na  mumewe, Dickson.

Akiongea na gazeti la Amani Shamsa alisema kuwa kipindi chote  wakati yupo kwenye uhusiano na mumewe huyo waliefunga naye ndo ya kimilia alikuwa akiteseka  na kupata shuruba nyingi japo hakuwa tayari kuziweka hadharani.

“Sijutii kuachana na mume wangu, nimepitia mateso mengi, sikotayari kurudi japokuwa nina motto naye” Shamsa alisema.

Kwa sasa inadaiwa Shamsa anatoka na Staa wa...

 

9 years ago

Global Publishers

Mume Wangu Anaishi Mara ya Pili – 5

ILIPOISHIA WIKI ILIYOPITA:

Nilianza kusali sala zote ninazozijua mimi huku nikiendelea kuangalia nje kwa ujasiri wa hali ya juu.

“Hujambo mama Kisu?” nilisalimiwa na mtu kutoka kushoto kwangu kwenye siti niliyokaa. Nikashtuka sana.

ENDELEA MWENYEWE SASA…

Niligeuka kumwangalia, nikamwona mwanaume mmoja, sura yake si ngeni hata kidogo lakini sikukumbuka nilimwonea wapi!

“Sijambo, mzima wewe?” nilimjibu.

“Mimi mzima, sijui wewe?”

“Hata mimi pia sijambo. Unatoka wapi, unakwenda wapi?”...

 

11 years ago

Mwananchi

‘Nilimshuhudia mume wangu akimbaka mwanangu’

Kutokana na kumwamini mumewe, Rehema Saidi, mkazi wa kijiji cha Rahaleo, Kata ya Mkunya Wilaya ya Newala mkoani Mtwara, hakuwahi kutia shaka pale alipomwacha na watoto, wakati yeye alipolazimika kutoka kwenda sehemu yoyote kwa ajili ya shughuli za kifamilia.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani