EXCLUSIVE: ALIYEPIGWA RISASI JANA AFARIKI DUNIA
Nyakiringa Stivin (39), mara baada ya kupigwa risasi tumboni. Kushoto kwake ni mkewe, Agness Lucas. ....wapita njiawakijaribu kutoa msaada kwa mtu huyo. Global Publishers jana ilikuwa ya kwanza kuripoti tukio la mwanamme mmoja kupigwa risasi maeneo ya Magomeni Mikumi ambaye hakuweza kutambulika mara moja, lakini sasa amejulikana na kwa taarifa zilizotolewa na ndugu, jamaa huyo… ...
GPL
Habari Zinazoendana
11 years ago
Mwananchi24 Jan
Mtoto aliyepigwa na babake na kulazwa afariki dunia
10 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/gLRz0qCeA0VXrdVhqxOkZXhDR1-YdgFH8iG69asvHw1IqnsSgLgPIaIA*3YobwyMUgnMjwPm4JhD8NI3pf0mF2YAI-TfYISM/breakingnews.gif)
TRAFIKI ALIYEGONGWA NA DALADALA JANA, AFARIKI DUNIA
11 years ago
Mwananchi06 Jul
Aliyepigwa risasi atoa ya moyoni
10 years ago
BBCSwahili09 Aug
Mwanaharakati aliyepigwa risasi aondoka Burundi
10 years ago
Tanzania Daima19 Oct
Aliyepigwa risasi adai kukosa haki
MKAZI wa Kigamboni, Baraka Mashauri (27), aliyepigwa risasi katika mguu wake kulia na askari polisi wa kituo kidogo cha Gymkhana jijini Dar es Salaam, amelalamika haki kutotendeka katika suala lake....
11 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/Ug6ORo4NSNTH4yfWvQDCZycdWw7QNfZ1z-ciqF8rzlbrkcUGI*Mtl2PqLif8KSQc297MmWW4NSo2BsrzWttlljlWMgMkFbev/mnenguaji.jpg)
UNDANI MNENGUAJI WA KHANGA MOKO ALIYEPIGWA RISASI
10 years ago
Habarileo16 Jul
Aliyepigwa risasi nane azinduka, ataja ‘muuaji’
MKAZI wa eneo la Kanisani, Kata ya Sokon One mjini hapa ambaye alipoteza fahamu kwa zaidi ya wiki na kulazimika kupumua kwa msaada wa mashine katika Hospitali ya Selian alikokuwa amelazwa baada ya kupigwa risasi nane, amezinduka na kutaja jina la mmoja wa wabaya wake.
10 years ago
GPLPROFESA ALIYEPIGWA RISASI AZIKWA JIJINI DAR LEO
11 years ago
GPLMWILI WA SISTA ALIYEPIGWA RISASI WAAGWA JIJINI DAR LEO