Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


TRAFIKI ALIYEGONGWA NA DALADALA JANA, AFARIKI DUNIA

WP 2806 CPL Riziki, akiwa chini baada ya kugongwa na daladala eneo la Mbagala Rangi 3 jana kabla ya kukimbizwa hospitali. ASKARI wa usalama barabarani, aliyejulikana kwa jina moja la Riziki, WP 2806 CPL Riziki, aliyegongwa na daladala aina ya DCM wakati akiwa katika harakati za kutimiza majukumu ya kazi eneo la Mbagala Rangi Tatu jijini Dar es Salaam jana asubuhi amefariki dunia leo.… ...

GPL

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Mwananchi

Trafiki aliyegongwa na gari afariki dunia

Aligongwa na daladala linalofanya safari zake kati ya Temeke na Kongowe alipokuwa akiyaongoza magari.

 

10 years ago

GPL

EXCLUSIVE: ALIYEPIGWA RISASI JANA AFARIKI DUNIA

Nyakiringa Stivin (39), mara baada ya kupigwa risasi tumboni. Kushoto kwake ni mkewe, Agness Lucas.
....wapita njiawakijaribu kutoa msaada kwa mtu huyo. Global Publishers jana ilikuwa ya kwanza kuripoti tukio la mwanamme mmoja kupigwa risasi maeneo ya Magomeni Mikumi ambaye hakuweza kutambulika mara moja, lakini sasa amejulikana na kwa taarifa zilizotolewa na ndugu, jamaa huyo… ...

 

10 years ago

Michuzi

MKE WA MWANAHABARI WA KAMPUNI YA GUARDIAN NA NIPASHE, THOBIAS MWANAKATWE AFARIKI DUNIA KWA KUGONGWA NA GARI JIJINI DAR ES SALAAM JANA

 Mke wa Thobias Mwanakatwe, Levina Michael Genda, enzi za uhai wake.Mwanahabari Thobias Mwanakatwe, \
akiwa na mke wake enzi za uhai wake.

Dotto Mwaibale
MWANAHABARI wa Kampuni ya The Guardian na Nipashe, Thobias Mwanakatwe, amepoteza mke wake baada ya kugongwa na gari eneo la Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere Dar es Salaam jana usiku majira ya saa 2:30.
Akizungumza na mtandao wa www.habari za jamii.com. Mwanakatwe amesema kifo cha ghafla cha mke wake ni pigo kubwa kwake na familia...

 

11 years ago

Mwananchi

Trafiki afa baada ya kukamata daladala

Ofisa wa polisi mwenye cheo cha Koplo, Wilson Mwakipesile wa Kikosi cha Usalama Barabarani mkoani Kilimanjaro amefariki dunia ghafla akiwa ndani ya daladala alilokuwa amelikamata.

 

10 years ago

Vijimambo

MKE WA MWANAHABARI WA KAMPUNI YA GUARDIAN NA NIPASHE, THOBIAS MWANAKATWE AFARIKI DUNIA KWA KUGONGWA NA GARI NJE YA UWANJA WA NDEGE WA KIMATAIFA WA JULIUS NYERERE DAR ES SALAAM JANA

 Mke wa Thobias Mwanakatwe, Levina Michael Genda, enzi za uhai wake.Mwanahabari Thobias Mwanakatwe, akiwa na mke wake enzi za uhai wake.

Dotto Mwaibale

MWANAHABARI wa Kampuni ya The Guardian na Nipashe, Thobias Mwanakatwe, amepoteza mke wake baada ya kugongwa na gari eneo la Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere Dar es Salaam jana usimu majira ya saa 2;30.

Akizungumza na mtandao wa www.habari za jamii.com. Mwanakatwe amesema kifo cha ghafla cha mke wake ni pigo kubwa kwake na familia...

 

10 years ago

GPL

ASKARI WA USALAMA BARABARANI AGONGWA NA DALADALA SIKU YA JANA, MBAGALA DAR

Askari wa usalama barabarani, aliyejulikana kwa jina la Riziki, WP 2806 CPL Riziki, akiwa hoi baada ya kugongwa na daladala Mbagala Rangi Tatu, jana asubuhi. Askari wa usalama barabarani, aliyejulikana kwa jina la Riziki, WP 2806 CPL Riziki, akiwa hoi baada ya kugongwa na daladala aina ya DCM wakati akiwa katika harakati za kutimiza majukumu ya kazi eneo la Mbagala Rangi Tatu, jana asubuhi. Habari zinasema kuwa baada ya ajali...

 

11 years ago

Mwananchi

Mtume aliyetabiri mwisho wa dunia afariki dunia

>Mtume wa Kanisa la World Message Last Warning ambaye alitabiri kwamba mwaka 2000 utakuwa mwisho wa dunia, Wilson Bushara (53) amefariki dunia.

 

9 years ago

Dewji Blog

Trafiki Mwanza atumbukiza Bajaji ya dereva wa Bodaboda mtaroni ….Je unaridhika na utendaji kazi wa Trafiki wapya Mkoani kwako?

Kupitia kipindi cha KAZI NA NGOMA ya JEMBE FM Mwanza stori ya Traffic aliyetumbukia mtaroni akiendesha bajaji ya mizigo aliyoikamata kutoka kwa dereva wa bodaboda imesikika, nini kisa na mkasa kwa ufupi ni kwamba> Mara baada ya kumkamata mwendeshaji Hamisi Omary kwa kusa la kupakia mzigo mkubwa wa mbao alimwamuru kulipa faini ya shilingi elfu 30, naye Hamisi akamwomba msamaha kwa Traffic huyo kwamba ni fedha nyingi sana ambayo hawezi kuilipa kwa hata kipato anachokipata toka kwa tajiri...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani