Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


MTOTO WA FAMILIA YA KIFALME UINGEREZA ATOLEWA HOSPITALI

Mtoto wa kike wa Prince William na Kate Middleton aliyezaliwa jana. Prince William na Kate Middleton wakiwa wamembeba binti yao. Prince William na Kate Middleton wakitoka Hospitali ya St Mary jijini London.…

GPL

Read more


Habari Zinazoendana

9 years ago

Bongo5

Lamar Odom atolewa kwenye hospitali ya Las Vegas, apelekwa Los Angeles

Mchezaji wa kikapu wa NBA, Lamar Odom amewasili jijini Los Angeles Jumatatu usiku akiwa na mke wake wa zamani, Khloe Kardashian baada ya kusafirishwa kwa helicopter kutoka kwenye hospitali ya Sunrise ya jijini Las Vegas. Staa huyo wa NBA atakuwa akipokea matibabu jijini L.A. baada ya Jumanne iliyopita kupatikana akiwa hajitambui kwenye danguro huko Nevada. […]

 

11 years ago

Tanzania Daima

Mtoto anayelisha familia aanza kupokea misaada

BAADA ya gazeti hili kuandika makala kuhusu mtoto Hamad Nuruabeid (4) anayeishi Mkata Mashariki, wilayani Handeni, Mkoa wa Tanga ambaye analisha familia yake kwa kuokota chupa tupu za maji, ameanza...

 

11 years ago

Tanzania Daima

HAMAD NURUABEID: Mtoto wa miaka 4 anayelisha familia

ANA miaka minne, anakula mlo mmoja saa 9 alasiri, mlo huo ukipatikana  huanza kufanya kazi ya kuokota chupa za maji. Ikiwa ni zaidi ya miaka 10 imepita tangu mkataba wa...

 

5 years ago

BBCSwahili

Virusi vya corona: Hospitali za Uingereza zaanza kufanyia majaribio dawa mpya

Dawa mpya iliotengenezwa na wanasayansi wa Uingereza kutibu Covid 19 inafanyiwa majaribio katika chuo kikuu cha Southampton.

 

10 years ago

Vijimambo

UTATA MTOTO WA FLORA... FAMILIA YAMWEKA KIKAANGONI...MWENYEWE AJIKAANGA

Mwimba Injili maarufu Bongo, Flora Mbasha akiwa amejifungua kitoto kichanga Hospitalini.Kwa mujibu wa chanzo makini kilicho karibu na familia ya Mbasha, familia hiyo ilikutana Jumamosi iliyopita nyumbani kwa Ima, Tabata-Kimanga, Dar ili kulizungumza suala hilo na kuona kama wanaweza kukubaliana kukilea kichanga hicho endapo ni damu yao.“Ndugu walitofautiana, kila mtu alikuwa na mtazamo wake hivyo wakaona bora wakutane na kutafuta jibu la pamoja kama wanalea au hawalei,” kilisema chanzo...

 

10 years ago

BBCSwahili

Mtoto wa wazazi watatu kuzaliwa Uingereza

Wabunge nchini Uingereza wameunga mkono sheria inayoruhusu uzaaji wa wa watoto wenye vinasaba, kutoka kwa wanawake wawili na mwaume mmoja,

 

10 years ago

Michuzi

Familia ya mtoto aliyegongwa na fuso na kukatwa miguu anaomba msaada wa kisheria

Naibu Kamanda wa UVCCM ,Innocent Melleck akiwa na mama mzazi wa mtoto Felista ,Beatrice Shirima mara baada ya kukabidhi kiti cha walemavu cha magurudumu kwa ajili ya kusaidia kutoka eneo moja hadi jingine.Naibu kamanda wa UVCCM wilaya ya Moshi vijijini ,Innocent Melleck akikabidhi Pempers kwa mama wa mtoto Felista ,Beatrice Shirima kwa ajili ya kumsaidia mtoto huyo aliyepata ulemavu wa miguu miwli baada ya kugongwa na gari aina ya Fuso.(Na Dixon Busagaga).Naibu kamanda wa UVCCM wilaya ya...

 

5 years ago

Michuzi

MTOTO WA MIAKA 13 AFARIKI KWA CORONA UINGEREZA

 Na Leandra Gabriel, Michuzi TV
MTOTO wa miaka 13 amefariki dunia nchini Uingereza mara baada ya kukutwa na maambukizi ya virusi vya Corona (Covid-19) hospitali King's College ya Mjini London na ndugu wa mtoto huyo wamevieleza vyombo vya habari.
Mtoto huyo raia wa Uingereza alifariki dunia siku ya Jumatatu ameelezwa kuwa ni muingereza mdogo zaidi kufariki kwa virusi hivyo.
Familia ya mtoto huyo imevieleza vyombo vya habari kuwa mtoto huyo (Ismail Mohamed Abdulwahab) alianza kuonesha...

 

11 years ago

Habarileo

Mtoto asababisha fumanizi hospitali

TAFRANI ilizuka usiku wa kuamkia jana katika Hospitali ya Mwananyamala, Kinondoni jijini Dar es Salaam, ikihusisha wanandoa baada ya mke aliyekuwa amempeleka mtoto kutibiwa, kumbamba mumewe akimleta anayedaiwa kuwa kimada pia kupata matibabu hospitalini hapo.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani