Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Mijeledi 91 kwa kucheza densi Iran

Watu 6 waliokamatwa kwa kucheza wimbo wa 'Happy' wamehukumiwa kifongo jela na adhabu ya kuchapwa mijeledi 91.

BBCSwahili

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

BBCSwahili

Polisi mashakani kwa kucheza densi India

Mgogoro umeibuka nchini India baada ya polisi mwanamke nchini humo kucheza densi ukumbini na muigizaji maarufu Shah Rukh Khan

 

11 years ago

GPL

MWANAMKE AHUKUMIWA KIFO, KUCHAPWA MIJELEDI 100 KWA KUBADILI DINI SUDAN

MAHAKAMA nchini Sudan imemhukumu kifo mwanamke mmoja anayedaiwa kubadili dini yake na kuolewa na mwanamume mkristo. Daktari Mariam Yahya Ibrahim Ishag, ambaye babake ni muislamu alishitakiwa kwa kosa la kuasi dini pamoja na kufanya zinaa kwa kuolewa na mwanamume mkristo, kitu ambacho dini ya kiisilamu imeharamisha kwa wanawake. Mariam mwenye umri wa miaka 27 ambaye ni mjamzito pia atapata adhabu ya mijeledi 100 kwa kosa la zinaa....

 

5 years ago

BBCSwahili

Kutoka kwa wachezaji densi aina ya Belly hadi wauzaji maua: Mashujaa 6 wanaopambana na janga la corona Afrika

Simulizi za kutia moyo Afrika kutoka kwa wanaofanya mambo ya kipekee kusaidia kukabiliana na virusi vya corona.

 

10 years ago

Habarileo

Mtoto akimbia kwao viboko, mijeledi

MTOTO mmoja mkazi wa wilayani Bunda mkoani Mara, amelazimika kukimbia kwao na kwenda kwenye nyumba ya mtu mwingine katika mtaa mwingine, kukwepa viboko.

 

11 years ago

Dewji Blog

Mfaransa Sean Garnier aja Tanzania kuonyesha umahiri wa kucheza mpira wa mtaani huku akibinuka sarakasi na kucheza dansi

Meneja Masoko wa Kampuni ya Mohan’s John Ntuli (kulia) akizungumza na waandishi wa habari wakati wa kumtambulisha Mwanamichezo kutoka nchini Ufaransa Sean Garnier (katikati) ambaye yuko nchini Tanzania kwa ziara maalum ya kimichezo. Pembeni ni Mkurugenzi wa Masoko Kampuni ya Mohan’s Vijay Joshi.

Mwanamichezo kutoka nchini Ufaransa Sean Garnier (katikati) ambaye yuko nchini Tanzania kwa ziara maalum ya kimichezo akifafanua machache mbele ya waandishi wa habari mara baada ya...

 

11 years ago

GPL

MFARANSA SEAN GARNIER AJA TANZANIA KUONYESHA UMAHIRI WA KUCHEZA MPIRA WA MTAANI HUKU AKIBINUKA SARAKASI NA KUCHEZA DANSI‏

 Meneja Masoko wa Kampuni ya Mohn's John Ntuli (kulia) akizungumza na waandishi wa habari wakati wa kumtambulisha Mwanamichezo kutoka nchini Ufaransa Sean Garnier (katikati) ambaye yuko nchini Tanzania kwa ziara maalum ya kimichezo. Pembeni ni Mkurugenzi wa Masoko Kampuni ya Mohan’s Vijay Joshi.…

 

5 years ago

BBCSwahili

Uchezaji wa densi uliobadili maisha ya wanawake

Wakati jeraha la uti wa mgongo lilipomaanisha kuwa Vickie Simmonds ataanza kutumia kiti cha gurudumu, aligundua mapenzi yake ya kudensi. Kwa usaidizi wa rafiki yake mkuu Amanda.

 

11 years ago

GPL

MCHEZA DENSI ASABABISHA VURUGU BRAZIL

Moto ukiwaka katika Barabara baada ya kuzuka mapigano kati ya jeshi la polisi na wakaazi wenye hasira katika viunga vya mji mkuu Rio de Janeiro. Kumezuka mapigano kati ya jeshi la polisi na wakaazi wenye hasira usiku kucha katika mojawapo ya viunga vya mji mkuu Rio de Janeiro. Barabara zimefungwa mjini humo wakati risasi zikisikika kutoka eneo hilo na polisi waking'ang'ana kuwadhibiti wakaazi hao. Polisi wakipambana na wakaazi...

 

5 years ago

BBCSwahili

Densi ya Drake yatamba kwenye mtandao wa TikTok

Mwanamuziki wa Rap Drake ametoa video ya wimbo wake mpya wa Tossie Slide akisakata densi ambayo imehamasisha densi mpya kwenye mtandao wa Tik Tok.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani