Andrey Coutinho amwaga wino Jangwani
Kiungo wa Yanga, Mbrazil Andrey Coutinho (kulia).
Na MOblog Team
Kiungo wa Yanga, Mbrazil Andrey Coutinho, amemwaga wino wa kukipiga Jangwani kwa kipindi cha miaka miwili, huku akikabidhiwa jezi namba 7 iliyokuwa ikivaliwa na Didier Kavumbagu aliyejiunga na Azam FC.
Nyota huyo aliyetua nchini siku moja baada ya Maximo kuwasili na kusaini mkataba wa kuinoa Yanga kwa kipindi kama hicho, ameomba sapoti ya wachezaji wenzake na mashabiki wa timu hiyo ili aweze kutimiza malengo ya kuisaidia...
Dewji Blog
Habari Zinazoendana
9 years ago
Mwananchi26 Sep
Vipimo vyamchongea Andrey Coutinho
11 years ago
Tanzania Daima22 Jul
Jaja amwaga wino Yanga
HATIMAYE Klabu ya Yanga, jana ilimsainisha mkataba wa miaka miwili Mbrazil Geilson Santos Santana ‘Jaja’, wa kukipiga katika kikosi cha timu hiyo kuanzia msimu ujao. Jaja, anakuwa nyota wa pili...
10 years ago
Mtanzania25 May
Mwalyanzi amwaga wino Simba
NA MWALI IBRAHIM, DAR ES SALAAM
KLABU ya Simba imejibu mapigo ya wapinzani wao wa jadi, Yanga, baada ya kumnasa aliyekuwa kiungo wa Mbeya City, Peter Mwalyanzi na kumpa mkataba wa miaka miwili kuitumikia timu hiyo msimu ujao.
Jana Simba iliangukia pua kwenye mbio za kumnasa winga Deus Kaseke, aliyekuwa amemaliza mkataba wake Mbeya City kama Mwalyanzi, baada ya Yanga kumuwahi na kumsajili.
Wakati Simba ikiinasa saini ya Mwalyanzi, imefanikiwa kuzizidi kete Azam FC na Yanga ambazo awali...
10 years ago
Mwananchi30 Oct
Shinyanga wagombea jezi za Andrey Coutinho
10 years ago
Michuzi![](http://1.bp.blogspot.com/-8rfCugSOkgo/VcEtlCubueI/AAAAAAAHuQI/2-hP9f75hEg/s72-c/sa1.jpg)
JK AMWAGA WINO MISWADA MITANO YA SHERIA
Katika sherehe iliyofanyika katika Ukumbi mpya wa Ikulu, Dar Es Salaam,Rais Kikwete ameridhia Muswada wa Sheria ya Mafuta na Gesiasilia, Muswada wa Uwazi na Uwajibikaji, Muswada wa Usimamizi wa Mapato ya Mafuta na Gesiasilia, Muswada...
11 years ago
Tanzania Daima10 Jan
Cheka amwaga wino kuzichapa na Mrusi
BONDIA mahiri wa ngumi za kulipwa Tanzania, Francis Cheka, jana alimwaga wino kupigana na Mrusi, Valey Brudov, mwezi ujao huku akiitupia lawama serikali kwa kutothamini wanamichezo hapa nchini. Cheka, bondia...
10 years ago
Tanzania Daima13 Sep
Andrey Coutinho amtesa Marcio Maximo Yanga SC
KOCHA Mkuu wa Yanga, Mbrazil Marcio Maximo,amesema hana uhakika kama Andrey Coutinho atacheza mechi ya Ngao ya Jamii dhidi ya Azam FC, itakayochezwa kesho katika Uwanja wa Taifa, jijini Dar...
10 years ago
Michuzi![](http://2.bp.blogspot.com/-UQ22ksITao8/VHxuKjkl2SI/AAAAAAAG0kk/Ikvu1rj3ZHU/s72-c/emerson_310_230.jpg)
Kiungo Mbrazil Emerson De Olivera amwaga wino Yanga
![](http://2.bp.blogspot.com/-UQ22ksITao8/VHxuKjkl2SI/AAAAAAAG0kk/Ikvu1rj3ZHU/s1600/emerson_310_230.jpg)
Kiungo Mbrazil Emerson De Olivera Neves Roque pichani kushoto akisaini mkataba leo jijini Dar,wa kutumikia Klabu ya Young Africans,Kulia ni Afisa Habari wa klabu hiyo Baraka Kizuguto.
Dar es Salaam. Wakati Yanga ikimpa mkataba wa mwaka mmoja kiungo Emerson De Oliveira, watani zao Simba wamemtema rasmi mshambuliaji Paul Kiongera.
Emerson amesaini mkataba huo baada ya benchi la ufundi chini ya Mbrazil Marcio Maximo kuridhika na kiwango chake na sasa ataitumikia timu hiyo ya Jangwani.
Emerson...
10 years ago
Michuzi![](http://3.bp.blogspot.com/-RJJr8Zgmh9g/VKQCd2NFAOI/AAAAAAAG6y0/r0f6kuhD-TI/s72-c/1331248128Goran-Kopunovic.jpg)
GORAN AMWAGA WINO KWA MWAKA MMOJA KUINOA SIMBA
![](http://3.bp.blogspot.com/-RJJr8Zgmh9g/VKQCd2NFAOI/AAAAAAAG6y0/r0f6kuhD-TI/s1600/1331248128Goran-Kopunovic.jpg)
Mmoja wa viongozi wa Simba aliiambia blog ya jamii kuwa kocha huyo aliyewasili leo asubuhi na kufikia kwenye hotel ya Double Tree Masaki ataondoka kesho kwenda Zanzibar kujiunga na timu hiyo ya wekundu wa Msimbazi inayoshiriki michuano ya Kombe la Mapinduzi.
Naye Kopunovic akizungumza muda mfupi baada ya kukanyaga hardhi ya Tanzania alisema "Nimekuja kufanya kazi, naamini nitapata...