Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


CHEGE - CHAPA NYINGINE (OFFICIAL VIDEO)

GPL

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

Tanzania Daima

Chege aachia ‘Chapa Nyingine’

MSANII wa muziki wa kizazi kipya nchini kutoka kundi la TMK Wanaume Family, Saidi Juma ‘Chege’, ameachia ngoma yake mpya inayojulikana kwa jina la ‘Chapa Nyingine’. Akizungumza jijini Dar es...

 

11 years ago

GPL

MAKALA: CHEGE CHAPA NYINGINE

Said Nassoro ‘Chege Chigunda’. NAPOTAJA makundi yanayofanya vizuri katika muziki wa Bongo Fleva bila kupepesa ni lazima utalitaja Kundi la TMK Wanaume Family. Ndani yake kuna vichwa vingi ambavyo vinaunda kundi hilo na kati yao ni Aman James ‘Mheshimiwa Temba’ na Said Nassoro ‘Chege Chigunda’. Vijana hawa wamefanya mabadiliko makubwa katika muziki ndani na hata nje ya kundi. Kuna kazi za...

 

9 years ago

Africanjam.Com

NEW VIDEO: CHEGE ft. RUNTOWN & UHURU - SWEETY SWEETY (Official Video)



Published on Dec 18, 2015Watch and share , brand new music video "Sweety sweety" by Tanzania bongo flava artist Chege Featuring artist from Nigeria Runtown and Uhuru from South Africa xelimpilo.
Directed by Justin Campos | Produced by Dj Maphorisa.
Africanjam is website that was launched  in December 2013 (with another domain) and on April 2014 the new domain Africanjam(dot)com came into use. It was found by John Kapela who is currently in Dar es Salaam Tanzania. This site provides news from...

 

9 years ago

Bongo5

Video: Tazama kionjo cha video mpya ya Nonini aliyomshirikisha Chege — Wanajishuku

Rapper wa Kenya, Hubert “Nonini” Nakitare au kama anavyopenda kujiita Godfather wa Genge, anakaribia kuachia video mpya ya wimbo uitwao ‘Wanajishuku’ aliomshirikisha staa wa Tanzania, Chege Chigunda. Chege na Nonini ni washkaji wa muda mrefu ambao wamekuwa wakishirikiana katika kazi mbalimbali, na hii ni moja ya kazi ambazo wamekuwa wakifanya. Kwenye wimbo huu pia ameshirikishwa […]

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani