Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Piga simu kupitia Whatsapp?

Baada ya Facebook kununua Whatsapp kwa bilioni 19 dola za kimarekani, sasa huduma hiyo itaanzisha huduma ya kupiga simu

BBCSwahili

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Mwananchi

Piga mswaki, piga deki, piga amani

Mimi sipendi barua ya vitisho, hata kidogo. Na sipendi zaidi iwapo mtishaji hana hata uthubutu wa kutaja yeye ni nani. Ndiyo maana nilikasirika kupata barua jana. Sijui ilitoka kwa nani, lakini bila shaka mtaweza kuhisi.

 

10 years ago

Bongo5

Muda si mrefu utaanza kupiga na kupokea simu kwa WhatsApp!

WhatsApp inajipanga kuongeza upigaji na upokeaji simu (voice calls) kwenye app yake kwa mara ya kwanza. Watumiaji wa app hiyo wataweza kupiga simu kwa watu walionao kwenye contacts vile vile kama wanavyoweza kuwatumia ujumbe. Mtandao wa Uholanzi, AndroidWorld umeweka screenshots za majaribio ya huduma hiyo.

 

11 years ago

GPL

AIRTEL YAZINDUA WHATSAPP, FACEBOOK NA TWITTER BURE KUPITIA VIFURUSHI VYA YATOSHA

kampuni ya simu za mkononi ya Airtel inayoongoza kwa kutoa huduma bora imezindua huduma ya kibunifu itakayowawezesha wateja wake kupata na kuunganishwa kwenye mitandao ya kijamii ya Facebook, Whatsapp na twitter BURE kupitia huduma ya Airtel yatosha. Akiongelea kuhusu huduma hiyo Mkuu wa kitengo cha mawasiliano wa Airtel Bi Beatrice Singano Mallya alisema” sasa ni bure kabisa kwa wateja wetu wote wa Airtel kuunganishwa na...

 

10 years ago

Michuzi

BUNGENI LEO KUPITIA SIMU TV

SIMUtv: Naibu waziri wa mambo ya ndani Mh.Silima akijibu swali juu ya hali ya ugaidi hapa nchini licha ya kifo cha kiongozi wa kundi la kigaidi Osama bin Ladden    https://youtu.be/9bir_jqGd8YSIMUtv: Tamko la serikali juu ya wakulima waliotumia sera za kilimo nchini Mkatika kuongeza kiwango cha uzalishaji wa mazao ya kilimo.   http://youtu.be/CVv08Qx_0cQSIMUtv: Serikali imeombwa kuwashirikisha wadau mbalimbali toka sekta binafsi kuwekeza katika usafiri visiwani ili kurahisisha huduma za...

 

10 years ago

Michuzi

MATUKIO YA BUNGE LEO KUPITIA SIMU TV

TBC.Baada ya malumbano Bungeni Leo yaliyopelekea kuahirishwa kwa Bunge, haya ni baadhi ya matukio yaliyotekea Bungeni.SIMUtv: Hivi ndivyo timbwili lilivyozuka bungeni leo hadi kupelekea kuahirishwa kwa kikao cha bunge.Tazama hapa.    http://youtu.be/zFRWtB0lbKoSIMUtv:  Naibu Waziri Tamisemi Mhe Majaliwa akijibu swali Bungeni Juu ya maegesho  ya magari katika miji mbalimbali nchini.   http://youtu.be/CTJ9oznbgEESIMUtv:  Mbunge aibana serikali juu ya upotevu wa fedha za umma kama inavyoainisha...

 

10 years ago

Habarileo

Wanaopotosha, kukashifu kupitia simu wasakwa

POLISI imeanza operesheni ya kuchunguza watu wanaojihusisha na udanganyifu au upotoshaji wa aina yoyote kupitia simu za mikononi au mitandao ya kijamii kwa ajili ya kuchukua hatua za kisheria.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani