MATUKIO YA BUNGE LEO KUPITIA SIMU TV

TBC.Baada ya malumbano Bungeni Leo yaliyopelekea kuahirishwa kwa Bunge, haya ni baadhi ya matukio yaliyotekea Bungeni.SIMUtv: Hivi ndivyo timbwili lilivyozuka bungeni leo hadi kupelekea kuahirishwa kwa kikao cha bunge.Tazama hapa. http://youtu.be/zFRWtB0lbKoSIMUtv: Naibu Waziri Tamisemi Mhe Majaliwa akijibu swali Bungeni Juu ya maegesho ya magari katika miji mbalimbali nchini. http://youtu.be/CTJ9oznbgEESIMUtv: Mbunge aibana serikali juu ya upotevu wa fedha za umma kama inavyoainisha...
Michuzi
Habari Zinazoendana
9 years ago
Michuzi
10 years ago
Michuzi
BUNGENI LEO KUPITIA SIMU TV
10 years ago
Michuzi
UCHAMBUZI WA MAGAZETI YA LEO NA TV MBALIMBALI KUPITIA SIMU TV
TBCSIMUtv: Habari kadhaa zimepewa uzito wa hali ya juu katika Magazeti ya Leo. Wajua ni habari gani? Tazama hapa. https://www.youtube.com/watch?v=0AJAUR8HoPI STAR TV Unajua leo June 27 kuna habari gani kuu katika magazeti ? Kuwa wa kwanza kufahamu kwa kuangalia uchambuzi hapa. SIMUtv https://www.youtube.com/watch?v=Oa-5Qa2Mse0
10 years ago
Michuzi
DONDOO ZA TAARIFA ZA HABARI KUTOKA TV MBALIMBALI LEO KUPITIA SIMU TV
SIMUtv: Kiongozi wa ACT Zitto Kabwe amewashauri Wakazi wa mikoa ya kusini Kuwashauri Wabunge wao kuhusu Mswaada wa Gesi kutojadiliwa. https://youtu.be/2fQQbAGvuts
SIMUtv: CHADEMA Maendeleo CHADEMA kimetoa rai kwa Mwanachama yeyote kuchukuliwa hatua endapo atabainika kukigawa chama...
10 years ago
Michuzi
MUHTASARI WA HABARI KATIKA TV MBALIMBALI NCHINI LEO KUPITIA SIMU TV
Zimekusanywa na Samuel Kamugisha
CHANNEL 10*Baraza la Taifa la elimu ya ufundi NACTE lafuta usajili wa vyuo 3 na 16 kushushwa hadhi katika jitihada za kulinda ubora wa elimu nchini. http://youtu.be/2HosRmHz7lU
*Jaji Augustino Ramadhani apata wadhamini mkoani Kilimanjaro huku akisema endapo atachaguliwa atashirikiana na wagombea wenziwe. http://youtu.be/qU7V9hQfIlI *Kada wa CCM Edward Lowassa asema hababaishwi na kashfa,vitisho na matusi anavyokumbana navyo kwani ana nia ya dhati ya kuongoza...
10 years ago
Michuzi
DONDOO ZA HABARI KUTOKA VITUO MBALIMBALI VYA TV LEO KUPITIA SIMU TV
Zimekusanywa na Samwel Kamugisha
Ch10 NewsSimutv:Kada wa CCM January Mkamba awasihi wagombea wenza wa uraisi kupitia chama chake kuacha kuchafuana kwani wao wote ni wamoja. http://youtu.be/xIXTuhLqDVw Simutv:Wafanyakazi wa tume ya utumishi wa umma watakiwa kuwa wabunifu zaidi ili kukabiliana na changamoto ufinyu wa bajeti badala ya kuwa walalamikaji. http://youtu.be/Qa7f6Ns-VAQSimutv:Katibu mkuu wa CCM Abdulahman Kinana awataka watendaji wa Halmashauri ya wilaya ya Kwimba kutenda haki kwa...