BUNGENI LEO KUPITIA SIMU TV
![](http://img.youtube.com/vi/9bir_jqGd8Y/default.jpg)
SIMUtv: Naibu waziri wa mambo ya ndani Mh.Silima akijibu swali juu ya hali ya ugaidi hapa nchini licha ya kifo cha kiongozi wa kundi la kigaidi Osama bin Ladden https://youtu.be/9bir_jqGd8YSIMUtv: Tamko la serikali juu ya wakulima waliotumia sera za kilimo nchini Mkatika kuongeza kiwango cha uzalishaji wa mazao ya kilimo. http://youtu.be/CVv08Qx_0cQSIMUtv: Serikali imeombwa kuwashirikisha wadau mbalimbali toka sekta binafsi kuwekeza katika usafiri visiwani ili kurahisisha huduma za...
Michuzi
Habari Zinazoendana
10 years ago
Michuzi![](http://img.youtube.com/vi/zFRWtB0lbKo/default.jpg)
MATUKIO YA BUNGE LEO KUPITIA SIMU TV
10 years ago
Michuzi![](http://img.youtube.com/vi/CqsysU-EcX8/default.jpg)
UCHAMBUZI WA MAGAZETI YA LEO NA TV MBALIMBALI KUPITIA SIMU TV
TBCSIMUtv: Habari kadhaa zimepewa uzito wa hali ya juu katika Magazeti ya Leo. Wajua ni habari gani? Tazama hapa. https://www.youtube.com/watch?v=0AJAUR8HoPI STAR TV Unajua leo June 27 kuna habari gani kuu katika magazeti ? Kuwa wa kwanza kufahamu kwa kuangalia uchambuzi hapa. SIMUtv https://www.youtube.com/watch?v=Oa-5Qa2Mse0
10 years ago
Michuzi![](http://img.youtube.com/vi/XJBQMYwTJRM/default.jpg)
MUHTASARI WA HABARI KATIKA TV MBALIMBALI NCHINI LEO KUPITIA SIMU TV
Zimekusanywa na Samuel Kamugisha
CHANNEL 10*Baraza la Taifa la elimu ya ufundi NACTE lafuta usajili wa vyuo 3 na 16 kushushwa hadhi katika jitihada za kulinda ubora wa elimu nchini. http://youtu.be/2HosRmHz7lU
*Jaji Augustino Ramadhani apata wadhamini mkoani Kilimanjaro huku akisema endapo atachaguliwa atashirikiana na wagombea wenziwe. http://youtu.be/qU7V9hQfIlI *Kada wa CCM Edward Lowassa asema hababaishwi na kashfa,vitisho na matusi anavyokumbana navyo kwani ana nia ya dhati ya kuongoza...
10 years ago
Michuzi![](http://img.youtube.com/vi/OA_1ADJ66GY/default.jpg)
DONDOO ZA TAARIFA ZA HABARI KUTOKA TV MBALIMBALI LEO KUPITIA SIMU TV
SIMUtv: Kiongozi wa ACT Zitto Kabwe amewashauri Wakazi wa mikoa ya kusini Kuwashauri Wabunge wao kuhusu Mswaada wa Gesi kutojadiliwa. https://youtu.be/2fQQbAGvuts
SIMUtv: CHADEMA Maendeleo CHADEMA kimetoa rai kwa Mwanachama yeyote kuchukuliwa hatua endapo atabainika kukigawa chama...
10 years ago
Michuzi![](http://img.youtube.com/vi/hyUCdiGfgUI/default.jpg)
DONDOO ZA HABARI KUTOKA VITUO MBALIMBALI VYA TV LEO KUPITIA SIMU TV
Zimekusanywa na Samwel Kamugisha
Ch10 NewsSimutv:Kada wa CCM January Mkamba awasihi wagombea wenza wa uraisi kupitia chama chake kuacha kuchafuana kwani wao wote ni wamoja. http://youtu.be/xIXTuhLqDVw Simutv:Wafanyakazi wa tume ya utumishi wa umma watakiwa kuwa wabunifu zaidi ili kukabiliana na changamoto ufinyu wa bajeti badala ya kuwa walalamikaji. http://youtu.be/Qa7f6Ns-VAQSimutv:Katibu mkuu wa CCM Abdulahman Kinana awataka watendaji wa Halmashauri ya wilaya ya Kwimba kutenda haki kwa...
10 years ago
VijimamboUZINDUZI WA UTARATIBU MPYA WA KUSAJILI NA KUHAKIKI NAMBA ZA SIMU ZA MKONONI KWA TEKNOLOJIA MPYA YA KYC KUPITIA SMARTPHONE LEO JIJINI DAR.
11 years ago
BBCSwahili03 Mar
Piga simu kupitia Whatsapp?
10 years ago
Habarileo04 Sep
Wanaopotosha, kukashifu kupitia simu wasakwa
POLISI imeanza operesheni ya kuchunguza watu wanaojihusisha na udanganyifu au upotoshaji wa aina yoyote kupitia simu za mikononi au mitandao ya kijamii kwa ajili ya kuchukua hatua za kisheria.
10 years ago
VijimamboKAMPUNI YA SIMU YA TIGO, HUAWEI WAZINDUA SIMU YA WATU WA HALI YA CHINI JIJINI DAR ES SALAAM LEO