AIRTEL YAZINDUA WHATSAPP, FACEBOOK NA TWITTER BURE KUPITIA VIFURUSHI VYA YATOSHA

kampuni ya simu za mkononi ya Airtel inayoongoza kwa kutoa huduma bora imezindua huduma ya kibunifu itakayowawezesha wateja wake kupata na kuunganishwa kwenye mitandao ya kijamii ya Facebook, Whatsapp na twitter BURE kupitia huduma ya Airtel yatosha. Akiongelea kuhusu huduma hiyo Mkuu wa kitengo cha mawasiliano wa Airtel Bi Beatrice Singano Mallya alisema†sasa ni bure kabisa kwa wateja wetu wote wa Airtel kuunganishwa na...
GPL
Habari Zinazoendana
11 years ago
Michuzi
Airtel yazindua huduma ya kipekee ya vifurushi vya data maalum kwa simu na mahitaji ya kila mteja
Akiongea wakati wa uzinduzi wa huduma hiyo Mkurugenzi wa Masoko wa Airtel Tanzania Bw, Levi Nyakundi alisema “ ulimwengu wa leo matumizi ya huduma za intaneti/data au mtandao...
10 years ago
Michuzi.jpg)
Airtel yazindua promosheni ya Airtel yatosha Zaidi kwa Wakazi wa Mwaza
.jpg)
.jpg)
5 years ago
BBC20 May
Burundi election: Facebook, Twitter, WhatsApp blocked
9 years ago
Michuzi
WATEJA WA AIRTEL KUONA VIDEO ZA YOUTUBE BURE WAKIJIUNGA NA YATOSHA INTANETI


10 years ago
Michuzi
AIRTEL YAZINDUA KIFURUSHI CHA “YATOSHA NYTS” BILA KIKOMO

kifurushi cha ‘Yatosha Nyts’ itakayomwezesha mteja kupiga simu Airtel
kwenda Airtel na kutuma ujumbe mfupi (SMS) bila kikomo pamoja na
kupata kifurushi cha internet cha MB 10 kwa kiwango cha shilingi 300
tu. Kushoto ni Afisa Uhusiano na Matukio wa Airtel, Dangio Kaniki.

10 years ago
GPL
AIRTEL YAZINDUA KIFURUSHI CHA “YATOSHA NYTS” BILA KIKOMO
5 years ago
BBCSwahili16 Jun
WhatsApp Pay: Facebook yazindua huduma ya kutuma fedha bila malipo
11 years ago
GPLAIRTEL YAZINDUA LUKU OFA KUPITIA HUDUMA YA AIRTEL MONEY
11 years ago
Michuzi.jpg)
Airtel Yazindua LUKU OFA kupitia huduma ya Airtel Money
.jpg)
Kampuni ya simu za mkononi ya Airtel leo imezindua ofa mpya itakayowawezesha wateja wake kupata LUKU Bonus kila wakati watakaponunua LUKU kupita huduma Airtel Money. ofi hii ni mwendelezo wa dhamira ya Airtel katika kuhakikisha wateja wake wanapata huduma bora nchini.
Akiongea kuhusu ofaa hii Meneja wa kitengo...