Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


WhatsApp Pay: Facebook yazindua huduma ya kutuma fedha bila malipo

WhatsApp imezindua huduma ya malipo ya kidijitali nchini Brazil katika juhudi za kutumia umaarufu wake kuingia kwenye masoko yanayoibuka katika ulimwengu wa biashara.

BBCSwahili

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

GPL

AIRTEL YAZINDUA WHATSAPP, FACEBOOK NA TWITTER BURE KUPITIA VIFURUSHI VYA YATOSHA

kampuni ya simu za mkononi ya Airtel inayoongoza kwa kutoa huduma bora imezindua huduma ya kibunifu itakayowawezesha wateja wake kupata na kuunganishwa kwenye mitandao ya kijamii ya Facebook, Whatsapp na twitter BURE kupitia huduma ya Airtel yatosha. Akiongelea kuhusu huduma hiyo Mkuu wa kitengo cha mawasiliano wa Airtel Bi Beatrice Singano Mallya alisema” sasa ni bure kabisa kwa wateja wetu wote wa Airtel kuunganishwa na...

 

11 years ago

Mwananchi

Tanesco yazindua huduma mpya ya malipo

>Shirika la Umeme Tanzania (Tanesco) limezindua huduma ya malipo ya bili kwa mitandao kwa wateja wanaotumia mita, huku likijigamba kuvuka malengo ya kuunganisha umeme kwa wateja wanaotumia nishati hiyo.

 

10 years ago

Uhuru Newspaper

TPC yaboresha huduma ya kutuma fedha kwa mitandao

NA WILLIAM SHECHAMBO
SHIRIKA la Posta Tanzania (TPC), limesema liko mbioni kuboresha zaidi huduma zake ikiwemo ya kutuma fedha kwa mitandao ya simu, hatua ambayo itawezesha wananchi kutumia huduma za shirika hilo zitakazokuwa na ubora na unafuu kwa manufaa ya umma.
Pia limesema huduma za posta ni muhimu kwa maendeleo ya nchi yoyote duniani licha ya uwepo wa tekinolojia mbalimbali hususan barua pepe na simu za viganjani ambapo hata nchi zilizoendelea bado zinaendelea kutumia mawasiliano ya...

 

9 years ago

Michuzi

TASOI YAZINDUA KAMPENI YA SARATANI KWA KUTUMIA TEKNOLOJIA YA MAWASILIANO BILA MALIPO YOYOTE

Katibu Mkuu wa TASOI, Belinda Mlingo akizungumza na waandishi wa habari(hawapo pichani) wakati wa uzinduzi wa mpango mkakati endelevu wa kuendesha kampeni ya Mshikamano dhidi ya Saratani kwa kutumia technolojia ya mawasiliano bila malipo yoyote katika ukumbi wa Taasisi ya Saratani Ocean Road leo jijini Dar.Mshauri kutoka Taasisi ya Saratani Ocean Road, Dk. Dominista Kombe ambaye akitoa takwimu ya wagonjwa wanaofika kutibiwa katika hospitali hiyo.Mkurugenzi wa Idara ya Kinga Taasisi ya...

 

10 years ago

Michuzi

Airtel yazindua huduma ya kufanya malipo kwa kutumia kadi


11Mfanyabiashara na mmiliki wa duka la dawa katika eneo la Mrombo Arusha Bi elizabeth mshana akiongea na Afisa Uhusiano wa Airtel Jane Matinde juu ya huduma ya kufanya malipo kwa kutumia kadi ya Airtel Money Near Field Communication (NFC) based solution ya  Airtel Money. kadi hii maalum inamuwezesha mteja kufanya malipo kwa haraka kwa kugusisha kwenye kifaa maalum tu mara moja, kisha kuweka nambari ya siri na kufanya malipo mahali popote. kwa sasa huduma hii imeanza...

 

10 years ago

GPL

AIRTEL YAZINDUA HUDUMA YA KUFANYA MALIPO KWA KUTUMIA KADI‏

Mfanyabiashara na mmiliki wa duka la dawa katika eneo la Mrombo Arusha Bi elizabeth mshana akiongea na Afisa Uhusiano wa Airtel Jane Matinde juu ya huduma ya kufanya malipo kwa kutumia kadi ya Airtel Money Near Field Communication (NFC) based solution ya  Airtel Money. kadi hii maalum inamuwezesha mteja kufanya malipo kwa haraka kwa kugusisha kwenye kifaa maalum tu mara moja, kisha kuweka nambari ya siri na kufanya malipo...

 

11 years ago

Michuzi

CRDB yazindua huduma ya malipo ya gharama za matibabu kwa njia ya Kadi KCMC

Askofu mkuu wa kanisa la kiinjili la kilutheli dayosisi ya kaskazini Dk Martini Shao akiwa na mkurugenzi mkuu wa Benki ya CRDB pamoja na kaimu mkurugenzi wa hosptali ya KCMC .Prof Raimosi Ollomi wakati akizindua tawi dogo la Benki ya CRDB. Mkurugenzi mkuu wa Benki ya CRDB,Dk Charles Kimei akimuelekeza jambo Askofu Dk Martin Shao kabla ya uzinduzi wa huduma ya malipo ya gharama za matibabu kwa njia ya Kadi. Askofu mkuu wa kanisa la kiinjili la kilutheli dayosisi ya kaskazini,Dk Martin...

 

9 years ago

Dewji Blog

Kampuni ya Interswitch yazindua huduma ya malipo kwa njia ya mtandao jijini Dar leo

Mkurugenzi Mtendaji wa Kampuni ya Interswitch kwa Afrika Mashariki Bernard Matthewman, akizungumza na wadau mbalimbali Dar es Salaam leo , wakati wa uzinduzi wa kampuni hiyo hapa nchini uliofanyika Hoteli ya Hyatt Regency- Kilimanjaro pamoja na huduma ya malipo kwa njia ya mtandao.

Wadau wakiwa kwenye uzinduzi huo.

Wanahabari wakichukua taarifa hiyo.

Maofisa wa kampuni hiyo wakiwa kwenye uzinduzi huo.

Mmoja wa maofisa wa kampuni hiyo akiwa katika uzinduzi huo.

Mkutano na...

 

10 years ago

Dewji Blog

Tigo yashinda tuzo ya huduma bora ya kibunifu katika kutuma na kupokea fedha kimataifa

IMG_5163

 

Meneja Mkuu wa Tigo Tanzania, Diego Gutierrez.

Tigo Tanzania imeshinda tuzo ya “Huduma Bora ya Kibunifu” kutokana na huduma yake ya kutuma na kupokea fedha kimataifa kati ya Tigo Pesa Tanzania na Tigo Cash Rwanda katika kongamano na maonyesho ya kimawasiliano barani Afrika ijulikanayo kama AfricaCom iliyofanyika Cape Town, Afrika Kusini hivi karibuni.

Meneja Mkuu wa Tigo Tanzania, Diego Gutierrez, alisema kwamba tuzo hii ni matokeo ya kuwa na mwaka wenye mafanikio tele katika huduma zake...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani