TPC yaboresha huduma ya kutuma fedha kwa mitandao
NA WILLIAM SHECHAMBO
SHIRIKA la Posta Tanzania (TPC), limesema liko mbioni kuboresha zaidi huduma zake ikiwemo ya kutuma fedha kwa mitandao ya simu, hatua ambayo itawezesha wananchi kutumia huduma za shirika hilo zitakazokuwa na ubora na unafuu kwa manufaa ya umma.
Pia limesema huduma za posta ni muhimu kwa maendeleo ya nchi yoyote duniani licha ya uwepo wa tekinolojia mbalimbali hususan barua pepe na simu za viganjani ambapo hata nchi zilizoendelea bado zinaendelea kutumia mawasiliano ya...
Uhuru Newspaper
Habari Zinazoendana
5 years ago
BBCSwahili16 Jun
WhatsApp Pay: Facebook yazindua huduma ya kutuma fedha bila malipo
10 years ago
Dewji Blog17 Dec
Wateja wa Tigo na ZANTEL sasa kufurahia huduma salama na uhakika ya kutumiana fedha kwenye Mitandao yao kwa 100%
Meneja Chapa wa Tigo William Mpinga akizungumza na waandishi wa habari (hawapo pichani) mjini Zanzibar mapema leo kuhusu ushirikiano kati ya TigoPesa na EzyPesa ambapo sasa wateja kutoka mitandao hiyo miwili wataweza kutuma na kupokea pesa kutoka mtandao hiyo moja kwa moja kutoka kwa wakala wa mtandao wao bila kuwa na ulazima tena wa mteja kutafuta wakala wa mtandao wa mtu aliyemtumia pesa.
Mkurugenzi wa Huduma za Kutuma na Kupokea Fedha wa Tigo Andrew Hodgson akitoa maelezo kwa waandishi...
10 years ago
Dewji Blog02 Dec
Tigo yashinda tuzo ya huduma bora ya kibunifu katika kutuma na kupokea fedha kimataifa
Meneja Mkuu wa Tigo Tanzania, Diego Gutierrez.
Tigo Tanzania imeshinda tuzo ya “Huduma Bora ya Kibunifu” kutokana na huduma yake ya kutuma na kupokea fedha kimataifa kati ya Tigo Pesa Tanzania na Tigo Cash Rwanda katika kongamano na maonyesho ya kimawasiliano barani Afrika ijulikanayo kama AfricaCom iliyofanyika Cape Town, Afrika Kusini hivi karibuni.
Meneja Mkuu wa Tigo Tanzania, Diego Gutierrez, alisema kwamba tuzo hii ni matokeo ya kuwa na mwaka wenye mafanikio tele katika huduma zake...
9 years ago
Dewji Blog09 Oct
Benki ya BOA waletea wateja wake huduma mpya ya kutuma fedha Kimataifa ya ‘WARI’
Mkurugenzi wa ICT , Bw. Willington Munya akizungumza na waandishi wa habari (hawapo pichani) wakati wa utambulisho wa huduma hiyo mpya ya BOA. anayefuatia ni Meneja wa E.Banking, Bi. Editha Jumbe na wa mwisho ni Afisa masoko Danieli Sarungi. ( Picha na Niccomediatz).
Benk ya BOA Tanzania imeleta huduma mpya kwa wateja wake ijulikanayo kama WARI-huduma ya kutuma fedha kimataifa ambapo kwa sasa huduma hiyo imeingia nchini na mteja anaweza kutuma na kupokea fedha ndani na nje bila ya kuwa...
10 years ago
MichuziMSD YABORESHA HUDUMA ZA UTOAJI TAARIFA KWA WATEJA WAKE.
Na Avila Kakingo,Globu ya Jamii. BOHARI ya dawa (MSD) imeboresha huduma kwa wateja wake kwa kutoa taarifa zinazomhusu mteja kwa kuziweka wazi katika tovuti yao.
Akizungumza na...
10 years ago
Michuzi![](http://4.bp.blogspot.com/-BFXB-xVSOyQ/VTEuHJLbzGI/AAAAAAAHRus/E2C7xx1ygh8/s72-c/unnamedk.jpg)
MSD YABORESHA HUDUMA ZA UTOAJI TAARIFA KWA WATEJA WAKE
BOHARI ya dawa (MSD) imeboresha huduma kwa wateja wake kwa kutoa taarifa zinazomhusu mteja kwa kuziweka wazi katika tovuti yao.
Amesema hayo Kaimu Mkurugenzi Huduma kwa Wateja na Shughuli za Bohari ya Dawa (MSD), Edward Terry, akizungumza na wandishi wa habari katika ukumbi wa Habari MAELEZO jijini Dar es Salaam leo.
Terry amesema kuwa taarifa hizo ni za mali inayopatikanagharani, taarifa za kiasi cha fedha za wateja kilichopo katika kila...
11 years ago
Tanzania Daima19 Jan
TPC: Tunaboresha huduma zetu
SHIRIKA la Posta Tanzania (TPC) limo katika hatua ya utekelezaji wa mpango wa miaka 10 ili kuendelea kuboresha huduma zake. Kaimu Masta Mkuu wa TPC, Fadya Zam, alisema hayo jana...
11 years ago
Habarileo13 May
Tigo yaboresha huduma zake
KAMPUNI ya simu za mikononi ya Tigo Tanzania, imezindua huduma mpya ya kutuma na kupokea fedha kwa njia rahisi na ya ufanisi zaidi kwa wateja wenye simu zenye programu aina ya android na iOS, ambayo ni huduma ya kwanza ya aina hiyo Afrika Mashariki.
11 years ago
MichuziBENKI YA CRDB YABORESHA HUDUMA ZA SIMBANKING