Kavumbagu awapa Yanga siku 30
![](http://api.ning.com:80/files/qHkXSNTTQ9dH*qeE0zbJMtY**3hjYjn9jCinxrOezPFD8l5Ig2D*KkLoRbhp2rQs7snu1N8sZvJb2ERtNflQks3QEjTzC-PQ/kavu.jpg?width=650)
Mshambuliaji wa kimataifa wa Azam, Mrundi, Didier Kavumbagu. Hans Mloli,Dar es Salaam ISHU ya usajili wa mshambuliaji wa kimataifa wa Azam, Mrundi, Didier Kavumbagu, imechukua sura mpya baada ya kutoa kipindi cha muda wa mwezi mmoja ambapo ni sawa na siku 30, kabla hajajua kama atajiunga na Yanga ama la. Kavumbagu ambaye amekuwa lulu katika kikosi cha Azam tangu atue msimu huu klabuni hapo akitokea Yanga, amekuwa akihusishwa...
GPL
Habari Zinazoendana
10 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/9whBoo1pTWNEPDSwhZ76xPpeY*R3OOoAbWX9xQve6MMJ9E4xT6QYeCiRbQhKhZ7L1N6gv-CEz4raOLh0ztORbiORqWbsae3F/Kavumbagu.jpg?width=650)
Kavumbagu mali ya Yanga
11 years ago
TheCitizen01 May
No regrets over leaving Yanga, says Kavumbagu
10 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/NjHDmKPq-vBK3nlQ1NL4g53Q4B9TtQSmvHIJixEsliov*gPTuIxYD4kjHu0tG2zk9wIGo0QiTQtI-5tF6zJtj3Cz375X39gq/1jjkk.jpg?width=650)
Kavumbagu: Siendi Yanga, mimi ni wa Azam
11 years ago
GPLKavumbagu akabidhiwa kwa Brandts Yanga
11 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/0PKyB0rYTqrrVO3ue7F1u7snQaoQpTmqaWv3S5f2BPavLwpWwxcAMW1WR*Hvci19xmCG8Eh17oGSXkYJJ2OOhDzaPqHsq2Zu/kavumbagu.jpg?width=600)
Kavumbagu: Piga ua, Yanga bingwa msimu huu
11 years ago
Tanzania Daima21 Jan
DC awapa siku saba watendaji
MKUU wa Wilaya (DC) ya Nyang’hwale, mkoani Geita, Ibrahim Marwa, amewataka watumishi wa halmashauri hiyo kuanzia mkurugenzi wa wilaya na watendaji wa kata na vijiji kuhakikisha ndani ya siku saba...
10 years ago
Mwananchi15 Feb
Tambwe awapa raha Yanga