Kavumbagu mali ya Yanga

Straika wa Azam FC, Didier Kavumbagu. Wilbert Molandi na Sweetbert Lukonge  MAMBO yameiva kwani hadi sasa Yanga ina asilimia 80 za kumsajili straika wa Azam FC, Didier Kavumbagu na kudhihirisha kwamba fedha wakati mwingine inaweza kuwa si lolote katika uamuzi.Kavumbagu amebakiza mwezi mmoja tu kumaliza mkataba wake na Azam aliyojiunga nayo mwaka jana akitokea Yanga, hivyo sasa anarejea nyumbani. Mabosi wa Yanga wameshafanya...
GPL
Habari Zinazoendana
11 years ago
TheCitizen01 May
No regrets over leaving Yanga, says Kavumbagu
10 years ago
GPL
Kavumbagu awapa Yanga siku 30
10 years ago
GPL
Kavumbagu: Siendi Yanga, mimi ni wa Azam
11 years ago
GPLKavumbagu akabidhiwa kwa Brandts Yanga
11 years ago
GPL
Kavumbagu: Piga ua, Yanga bingwa msimu huu
11 years ago
Mwananchi30 Aug
Yanga: Okwi ni mali yetu
10 years ago
Mtanzania01 Sep
Yanga: Zutah bado ni mali yetu
NA JENNIFER ULLEMBO, DAR ES SALAAM
UONGOZI wa klabu ya Yanga umesema beki wa kimataifa wa timu hiyo, Joseph Zutah, bado ni mali yao halali licha ya kuwa jina lake halipo katika orodha ya wachezaji iliyowasilishwa Shirikisho la Soka Tanzania (TFF).
Akizungumza na MTANZANIA jana, Katibu Mkuu wa klabu hiyo, Jonas Tibohora, alisema jina la Zutah halipo kwenye orodha ya wachezaji watakaocheza msimu mpya wa Ligi Kuu lakini wana mipango ya muda mrefu na mchezaji huyo.
Tibohora alisema mpango wao...