Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Kavumbagu: Siendi Yanga, mimi ni wa Azam

Straika hatari wa Azam FC, Mrundi, Didier Kavumbagu. Said Ally Dar es Salaam
HUKU mkataba wake ukiwa unaelekea ukingoni na zikiibuka fununu za kuwindwa na Yanga, straika hatari wa Azam FC, Mrundi, Didier Kavumbagu, ameweka wazi kuwa hana mpango na wala hawezi kuhama ndani ya kikosi chake hicho kwa sasa. Mshambuliaji huyo ambaye pia aliwahi kuichezea timu ya Atletico ya Burundi kabla ya kutua Yanga, kwa sasa yupo huru kujiunga...

GPL

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

Tanzania Daima

Kavumbagu atua Azam FC

MABINGWA wa soka Tanzania Bara, Azam FC, wamemtwaa mshambuliaji mahiri wa Yanga, Didier Kavumbagu na kumwaga wino kukipiga Azam Complex kwa mwaka mmoja. Kavumbagu alitua Yanga mwaka 2013 akitokea Atletico...

 

11 years ago

Mwananchi

USAJILI: Kavumbagu asaini Azam

>Harakati za usajili jana zilishika kasi wakati klabu ya Yanga ilipopata ‘pigo la mwaka’ baada ya mtikisaji wake nyavu, Didier Kavumbagu (pichani) kutia wino kwenye fomu za mabingwa wapya wa soka nchini, Azam FC.

 

11 years ago

GPL

Kavumbagu asaini Azam mwaka mmoja

Didier Kavumbagu akiwa na Viongozi wa timu ya Azam Fc. Hans Mloli na Sweetbert Lukonge
UKISUSA sisi twala! Hivyo ndiyo Azam wanavyoweza kusema baada ya kumsainisha mkataba wa mwaka mmoja mshambuliaji wa Yanga, Didier Kavumbagu. Kavumbagu alimaliza mkataba na Yanga baada ya msimu uliomalizika hivi karibuni na Yanga hawakufanya naye mazungumzo yoyote, hali iliyoonekana kuwa walikuwa wakisita kumpa mkataba mpya.… ...

 

9 years ago

TheCitizen

Kavumbagu says Azam will clinch Premier League title

Azam FC forward Didier Kavumbagu believes that this season’s Premier League title will go to Chamazi.

 

10 years ago

GPL

Kavumbagu mali ya Yanga

Straika wa Azam FC, Didier Kavumbagu. Wilbert Molandi na Sweetbert Lukonge
 MAMBO yameiva kwani hadi sasa Yanga ina asilimia 80 za kumsajili straika wa Azam FC, Didier Kavumbagu na kudhihirisha kwamba fedha wakati mwingine inaweza kuwa si lolote katika uamuzi.Kavumbagu amebakiza mwezi mmoja tu kumaliza mkataba wake na Azam aliyojiunga nayo mwaka jana akitokea Yanga, hivyo sasa anarejea nyumbani. Mabosi wa Yanga wameshafanya...

 

11 years ago

TheCitizen

No regrets over leaving Yanga, says Kavumbagu

New Azam FC striker Didier Kavumbagu has no regrets over his decision to decamp to the Mainland champions.

 

10 years ago

GPL

Kavumbagu awapa Yanga siku 30

Mshambuliaji wa kimataifa wa Azam, Mrundi, Didier Kavumbagu. Hans Mloli,Dar es Salaam
ISHU ya usajili wa mshambuliaji wa kimataifa wa Azam, Mrundi, Didier Kavumbagu, imechukua sura mpya baada ya kutoa kipindi cha muda wa mwezi mmoja ambapo ni sawa na siku 30, kabla hajajua kama atajiunga na Yanga ama la. Kavumbagu ambaye amekuwa lulu katika kikosi cha Azam tangu atue msimu huu klabuni hapo akitokea Yanga, amekuwa akihusishwa...

 

11 years ago

GPL

Kavumbagu akabidhiwa kwa Brandts Yanga

Didier Kavumbagu. Na Lucy Mgina
UONGOZI wa Yanga umesema mtu atakayeamua hatma ya mshambuliaji wa kimataifa wa klabu hiyo, Didier Kavumbagu, raia wa Burundi kubaki au kuondoka ni kocha Ernie Brandts. Kavumbagu aliyeifungia mabao matano Yanga kwenye mzunguko wa kwanza wa Ligi Kuu Bara, amebakiza mkataba wa miezi sita tu. Akizungumza na Championi Jumatano, Mwenyekiti wa Kamati ya Usajili ya Yanga, Abdallah Bin Kleb, alisema...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani