Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Kavumbagu atua Azam FC

MABINGWA wa soka Tanzania Bara, Azam FC, wamemtwaa mshambuliaji mahiri wa Yanga, Didier Kavumbagu na kumwaga wino kukipiga Azam Complex kwa mwaka mmoja. Kavumbagu alitua Yanga mwaka 2013 akitokea Atletico...

Tanzania daima

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

Mwananchi

USAJILI: Kavumbagu asaini Azam

>Harakati za usajili jana zilishika kasi wakati klabu ya Yanga ilipopata ‘pigo la mwaka’ baada ya mtikisaji wake nyavu, Didier Kavumbagu (pichani) kutia wino kwenye fomu za mabingwa wapya wa soka nchini, Azam FC.

 

10 years ago

GPL

Kavumbagu: Siendi Yanga, mimi ni wa Azam

Straika hatari wa Azam FC, Mrundi, Didier Kavumbagu. Said Ally Dar es Salaam
HUKU mkataba wake ukiwa unaelekea ukingoni na zikiibuka fununu za kuwindwa na Yanga, straika hatari wa Azam FC, Mrundi, Didier Kavumbagu, ameweka wazi kuwa hana mpango na wala hawezi kuhama ndani ya kikosi chake hicho kwa sasa. Mshambuliaji huyo ambaye pia aliwahi kuichezea timu ya Atletico ya Burundi kabla ya kutua Yanga, kwa sasa yupo huru kujiunga...

 

11 years ago

GPL

Kavumbagu asaini Azam mwaka mmoja

Didier Kavumbagu akiwa na Viongozi wa timu ya Azam Fc. Hans Mloli na Sweetbert Lukonge
UKISUSA sisi twala! Hivyo ndiyo Azam wanavyoweza kusema baada ya kumsainisha mkataba wa mwaka mmoja mshambuliaji wa Yanga, Didier Kavumbagu. Kavumbagu alimaliza mkataba na Yanga baada ya msimu uliomalizika hivi karibuni na Yanga hawakufanya naye mazungumzo yoyote, hali iliyoonekana kuwa walikuwa wakisita kumpa mkataba mpya.… ...

 

9 years ago

TheCitizen

Kavumbagu says Azam will clinch Premier League title

Azam FC forward Didier Kavumbagu believes that this season’s Premier League title will go to Chamazi.

 

9 years ago

MillardAyo

Azam FC yaiadhibu Maji Maji FC Songea, Kavumbagu na Ame Ally wapachika magoli (+Pichaz)

Ligi Kuu soka Tanzania bara imeendelea leo Jumapili ya December 20 kwa michezo mitatu kupigwa. Dar Es Salaam katika uwanja wa Karume JKT Ruvu walikuwa wenyeji wa Coastal Union wakati Mbeya City walikuwa wenyeji wa Mgambo JKT. Wakati uwanja wa Maji Maji Songea, Azam FC walikuwa wageni wa Maji Maji FC. Mchezo kati ya Maji […]

The post Azam FC yaiadhibu Maji Maji FC Songea, Kavumbagu na Ame Ally wapachika magoli (+Pichaz) appeared first on TZA_MillardAyo.

 

11 years ago

Mwananchi

Chuji atua Azam

Hata hivyo, kiungo huyo mwenyeji wa Dodoma  ameibukia Azam FC na taarifa za ndani zinasema  klabu hiyo imempa mkataba mfupi wa miezi sita ili kumwangalia kwanza mwenendo wake na kama itajiridhisha  watamwongezea.

 

10 years ago

Mwananchi

Wawa atua Azam, Kiemba agomewa

Wakati beki wa kimataifa kutoka Ivory Coast, Paschal Serge Wawa akimwaga wino mkataba wa miaka miwili kuichezea Azam, Simba imekataa maombi ya Azam kumsajili kiungo Amri Kiemba kwa mkopo.

 

10 years ago

GPL

CHARLES HILLARY ATUA RASMI AZAM TV

Mtangazaji Charles Hillary akiwa ndani ya studio za Azam TV. MTANGAZAJI mahiri Charles Hillary aliyekuwa Shirika la Habari la BBC jijini London leo ametua rasmi katika kituo cha Television cha Azam TV kuungana na watangazaji wenzake.
Katika tasnia ya habari, Charles Hillary amefanya kazi ya utangazaji kuanzia mwaka 1980 hadi mwaka 1993 akiwa Radio Tanzania Dar es Salaam.
Mwaka 1994 alijiunga na Radio One ikiwa ni radio ya...

 

11 years ago

CloudsFM

ATHUMANI IDDI 'CHUJI' ATUA AZAM FC

Aliyekuwa kiungo wa Yanga SC, Athumani Iddi 'Chuji' akiwa mzoezini na klabu bingwa ya Tanzania Bara, Azam FC asubuhi ya leo Uwanja wa Azam Complex, Chamazi, Dar es Salaam.

Chuji akifanya yake leo mazoezini.

PICHA NA BINZUBEIRY

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani