USAJILI: Kavumbagu asaini Azam
>Harakati za usajili jana zilishika kasi wakati klabu ya Yanga ilipopata ‘pigo la mwaka’ baada ya mtikisaji wake nyavu, Didier Kavumbagu (pichani) kutia wino kwenye fomu za mabingwa wapya wa soka nchini, Azam FC.
Mwananchi
Habari Zinazoendana
11 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/LoK3NXOIwpFDXdH7YZyBs*Avi0xeWNRX14MnMtyvJJNDl4b6xCqIKlH76KeLt-mo64k2WgDFAkVcwmzbBPAk2RAiWSEbzyKb/1Dar.gif?width=650)
Kavumbagu asaini Azam mwaka mmoja
11 years ago
Tanzania Daima30 Apr
Kavumbagu atua Azam FC
MABINGWA wa soka Tanzania Bara, Azam FC, wamemtwaa mshambuliaji mahiri wa Yanga, Didier Kavumbagu na kumwaga wino kukipiga Azam Complex kwa mwaka mmoja. Kavumbagu alitua Yanga mwaka 2013 akitokea Atletico...
10 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/NjHDmKPq-vBK3nlQ1NL4g53Q4B9TtQSmvHIJixEsliov*gPTuIxYD4kjHu0tG2zk9wIGo0QiTQtI-5tF6zJtj3Cz375X39gq/1jjkk.jpg?width=650)
Kavumbagu: Siendi Yanga, mimi ni wa Azam
9 years ago
TheCitizen05 Nov
Kavumbagu says Azam will clinch Premier League title
11 years ago
GPL![](http://api.ning.com/files/iC8gEB0kF6mBd7r6*8rSsXekJ*wCwi-bk9AUNlcLhatBnZpnFwCzLv2fq73rgAc5qaguKf20Ho7tClSIM8vg93ZfQThCBOFE/13.gif)
KAVUMBANGU ASAINI MIAKA MIWILI AZAM FC
10 years ago
Raia Tanzania10 Jul
Singano asaini miaka miwili Azam FC
YAMETIMIA. Aliyekuwa kiungo mshambuliaji wa Simba Ramadhan Singano ‘Messi’, jana ameingia mkataba wa miaka miwili kuichezea Klabu ya Azam FC.
Kabla Kamati ya Sheria na Hadhi za Wachezaji mwanzoni mwa wiki hii kumuidhinisha Singano kuwa huru baada ya klabu yake ya zamani, Simba kushindwa kutekeleza matakwa ya mkataba wake, kulikuwa na tetesi kuwa Azam FC walitaka kumsajili.
Ofisa Habari wa Azam FC, Jaffar Idd, alisema kuwa klabu yao imemsainisha mchezaji huyo mkataba wa miaka miwili...
10 years ago
Vijimambo10 Jul
Singano asaini Azam, Simba yamtibulia
![](http://api.ning.com/files/2Za8s5sYvAIcL1x*QUEA-ZrTMfVzCck*9ZybZwT6dmb1Syoswb*CVAHbON*B6DUpaFAo1NUuJrbnSsiebH6sueYkMp9UyrpD/11737180_920557287983039_2068690925_n.jpg?width=650)
Kiungo mshambuliaji Ramadhani Singano ‘Messi’ akisaini mkataba.
KIUNGO mshambuliaji Ramadhani Singano ‘Messi’, amesaini mkataba wa miaka miwili kuitumikia Azam FC, ikiwa ni siku moja baada ya kutamkwa kuwa ni mchezaji huru aliyemalizana na Simba.Singano alisaini mkataba huo jana lakini nyuma ya pazia imebainika kuwa kumbe Simba nayo iliamua kutibua dili lililokuwa likinukia kwa mchezaji huyo kutakiwa kwenda nchini Austria kucheza soka la kulipwa.Akizungumza na Championi Ijumaa, Ofisa Habari...
9 years ago
MillardAyo20 Dec
Azam FC yaiadhibu Maji Maji FC Songea, Kavumbagu na Ame Ally wapachika magoli (+Pichaz)
Ligi Kuu soka Tanzania bara imeendelea leo Jumapili ya December 20 kwa michezo mitatu kupigwa. Dar Es Salaam katika uwanja wa Karume JKT Ruvu walikuwa wenyeji wa Coastal Union wakati Mbeya City walikuwa wenyeji wa Mgambo JKT. Wakati uwanja wa Maji Maji Songea, Azam FC walikuwa wageni wa Maji Maji FC. Mchezo kati ya Maji […]
The post Azam FC yaiadhibu Maji Maji FC Songea, Kavumbagu na Ame Ally wapachika magoli (+Pichaz) appeared first on TZA_MillardAyo.
11 years ago
Mwananchi04 Jun
Azam yanogesha usajili kwa kumwaga fedha