Kavumbagu asaini Azam mwaka mmoja

Didier Kavumbagu akiwa na Viongozi wa timu ya Azam Fc. Hans Mloli na Sweetbert Lukonge UKISUSA sisi twala! Hivyo ndiyo Azam wanavyoweza kusema baada ya kumsainisha mkataba wa mwaka mmoja mshambuliaji wa Yanga, Didier Kavumbagu. Kavumbagu alimaliza mkataba na Yanga baada ya msimu uliomalizika hivi karibuni na Yanga hawakufanya naye mazungumzo yoyote, hali iliyoonekana kuwa walikuwa wakisita kumpa mkataba mpya.… ...
GPL
Habari Zinazoendana
11 years ago
Mwananchi30 Apr
USAJILI: Kavumbagu asaini Azam
10 years ago
Mwananchi09 Dec
Mrwanda asaini mwaka mmoja Yanga
11 years ago
GPL
DIDIER DROGBA AREJEA CHELSEA, ASAINI MWAKA MMOJA
11 years ago
Tanzania Daima30 Apr
Kavumbagu atua Azam FC
MABINGWA wa soka Tanzania Bara, Azam FC, wamemtwaa mshambuliaji mahiri wa Yanga, Didier Kavumbagu na kumwaga wino kukipiga Azam Complex kwa mwaka mmoja. Kavumbagu alitua Yanga mwaka 2013 akitokea Atletico...
10 years ago
GPL
Kavumbagu: Siendi Yanga, mimi ni wa Azam
9 years ago
TheCitizen05 Nov
Kavumbagu says Azam will clinch Premier League title
10 years ago
Raia Tanzania10 Jul
Singano asaini miaka miwili Azam FC
YAMETIMIA. Aliyekuwa kiungo mshambuliaji wa Simba Ramadhan Singano ‘Messi’, jana ameingia mkataba wa miaka miwili kuichezea Klabu ya Azam FC.
Kabla Kamati ya Sheria na Hadhi za Wachezaji mwanzoni mwa wiki hii kumuidhinisha Singano kuwa huru baada ya klabu yake ya zamani, Simba kushindwa kutekeleza matakwa ya mkataba wake, kulikuwa na tetesi kuwa Azam FC walitaka kumsajili.
Ofisa Habari wa Azam FC, Jaffar Idd, alisema kuwa klabu yao imemsainisha mchezaji huyo mkataba wa miaka miwili...
10 years ago
Vijimambo10 Jul
Singano asaini Azam, Simba yamtibulia

Kiungo mshambuliaji Ramadhani Singano ‘Messi’ akisaini mkataba.
KIUNGO mshambuliaji Ramadhani Singano ‘Messi’, amesaini mkataba wa miaka miwili kuitumikia Azam FC, ikiwa ni siku moja baada ya kutamkwa kuwa ni mchezaji huru aliyemalizana na Simba.Singano alisaini mkataba huo jana lakini nyuma ya pazia imebainika kuwa kumbe Simba nayo iliamua kutibua dili lililokuwa likinukia kwa mchezaji huyo kutakiwa kwenda nchini Austria kucheza soka la kulipwa.Akizungumza na Championi Ijumaa, Ofisa Habari...
11 years ago
GPL
KAVUMBANGU ASAINI MIAKA MIWILI AZAM FC