Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Bingwa Kombe la FA kumfunika wa Ligi

pg32*Atacheza mechi saba tu atanyakua mil. 50/-

 

NA ELLY MHAGAMA, DAR ES SALAAM

BINGWA wa mashindano ya Kombe la FA ‘Azam Sports Federation Cup’, anatarajia kumfunika vibaya bingwa wa Ligi Kuu ya Vodacom Tanzania Bara, kwa fedha ya zawadi inayotolewa na wadhamini wa michuano hiyo.

Wakati wadhamini wa Ligi Vodacom wakitoa zawadi ya Sh milioni 70 kwa bingwa wake baada ya kucheza michezo 30, bingwa wa FA yeye anatarajia kuondoka na Sh milioni 50 baada ya kucheza michezo saba tu.

Mashindano ya FA...

Mtanzania

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

GPL

KENYA BINGWA KOMBE LA CHALENJI 2013

Kikosi cha Harambee Stars kilichotwaa kombe la Chalenji 2013. Timu ya taifa ya Kenya ‘Harambee Stars’ imetwaa kombe la michuano ya Chalenji 2013 iliyomalizika nchini Kenya baada ya kuifunga Sudan bao 2-0 katika fainali iliyomalizika hivi punde katika Uwanja wa Nyayo nchini humo. Mabao ya Harambee Stars yamewekwa kimiani na Allan Wanga katika dakika ya 35 na 69. ...

 

10 years ago

BBCSwahili

Marekani bingwa kombe la Dunia wanawake

Marekani imeibuka mshindi wa Kombe la Dunia soka wanawake kwa kuichabanga Japan kwa bao 5 kwa 2.

 

11 years ago

GPL

UJERUMANI BINGWA KWA MARA YA 4 KOMBE LA DUNIA

Wachezaji wa Ujerumani wakishangilia baada ya kutwaa Kombe la Dunia kwa mara ya nne nchini Brazil usiku huu. Kocha wa Ujerumani, Joachim Low akinyanyua juu Kombe la Dunia.…

 

11 years ago

GPL

ARSENAL BINGWA FA, NI BAADA YA MIAKA 9 BILA KOMBE!

Arsenal wametwaa kombe la FA baada ya kukaa miaka tisa bila kombe lolote. Wametwaa ndoo hiyo kwa kuifunga Hull City bao 3-2 katika muda wa nyongeza baada ya sare ya 2-2 katika muda wa kawaida kwenye Uwanja wa Wembley usiku huu. Wafungaji Arsenal: Carzola dakika ya 17, Koscielny dakika ya 71 na Ramsey dakika ya 109 wakati ya Hull City yakifungwa na Chester dakika ya 4 na Davies dakika ya 8. ...

 

9 years ago

Dewji Blog

Barcelona yatwaa Kombe la FIFA Klabu Bingwa Dunia

Football Soccer - River Plate v FC Barcelona - FIFA Club World Cup Final - International Stadium Yokohama, Yokohama - 20/12/15 FC Barcelona celebrate winning the FIFA Club World Cup Final with the trophy Reuters / Thomas Peter Livepic

Na Rabi Hume, Modewjiblog

Klabu ya Barcelona ya Hispania imetwaa Ubingwa wa FIFA Klabu Bingwa wa Dunia baada ya kuifunga klabu ya River Plate ya Argentina kwa goli 3 kwa bila katika mchezo wa fainali ya mashindano hayo yaliyofanyika nchini Japan.

Katika mchezo huo wa fainali nyota ya Barcelona ilianza kung`aa katika dakika ya 36 baada ya mshambuliaji wake Lionel Messi kuifungia timu hiyo goli la kwanza kwa kuunganisha mpira uliotoka kwa mchezaji mwenzake Neymar na baadae Luiz Suarez...

 

11 years ago

GPL

VICTORIA UNIVERSITY BINGWA KOMBE LA CECAFA NILE BASIN 2014

Nahodha wa timu ya Victoria University, Martin Mpuga akipokea kombe kutoka kwa Waziri wa Vijana na Michezo wa Sudan, Yahia Hamad. Kulia ni Katibu Mkuu wa CECAFA, Nicholas Musonye. Mabingwa hao pia walikabidhiwa kitita cha dola 30,000.…

 

11 years ago

Michuzi

Malinzi akabidhi kombe bingwa Michuano shule za Sekondari Dar

Mwenyekiti wa Baraza la Michezo la Taifa a(BMT) Dionizi Malinzi (wapili kulia)akikabidhi kombe kwa kapteni wa timu ya sekondari ya Mugabe Laurian Didas baada yakuibuka mabingwa katika michuano maalumu ya Community Sports Cup ambapo walishinda jumla ya bao 1-0 dhidi ya shule ya sekondari ya Kawe,( wa pili kutoka kushoto) ni Meneja Uhusiano wa Nje wa Vodacom Tanzania, Mkurugenzi wa Maendeleo ya Michezo Leonard Tadeo, Katibu Mkuu wa BMT Henri Lihaya (wakwanza kutoka kulia). Michuano hiyo...

 

11 years ago

GPL

Azam bingwa Ligi Kuu Bara

Mshambuliaji wa Azam Fc, Gaudence Mwaikimba akishangilia bao huku akifuatwa na mwenzake, Kipre Tchetche(kulia), nyuma yao ni mwenzao, Himid Mao katika mechi ya Ligi Kuu Bara dhidi ya Mbeya City kwenye Uwanja wa Sokoine, Mbeya, jana. Azam bingwa ligi kuu Na Martha Mboma, Mbeya
ILIKUWA kama vita lakini hatimaye mechi imefanyika, matokeo yamepatikana na rekodi imewekwa kwenye… ...

 

10 years ago

Mwananchi

Ligi imeanza, tumpate bingwa wa kweli

Mikikimikiki ya Ligi Kuu Tanzania Bara imeanza kwa kila timu kusaka ushindi wa mwanzo mwanzo kabla ya duru ya pili.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani