TBC YAFANYA HALFA YA KUHITIMISHA MICHUANO YA KOMBE LA DUNIA 2014, DAR
![](http://3.bp.blogspot.com/-QiY3WI4r0PU/U8OmucESBSI/AAAAAAAA9XE/t134LhVqvn4/s72-c/IMG_1088.jpg)
Mkurugenzi Mkuu wa Shirika la Utangazaji Tanzania (TBC) Bw. Clement Mshana (kulia) akiwakaribisha wageni walioalikwa katika hafla ya kuhitimisha michuano ya kombe la dunia 2014 iliyofanyika jana Julai 12, 2014 katika ofisi za Shirika la Utangazaji Tanzania (TBC) zilizopo Mikocheni jijini Dar es Salaam.
Naibu Katibu Mkuu wa Wizara ya Habari,Vijana,Utamaduni na Michezo Prof. Elisante ole Gabriel, akiongea machache katika hafla ya kuhitimisha michuano ya kombe la dunia 2014 iliyofanyika jana...
Michuzi
Habari Zinazoendana
11 years ago
Tanzania Daima09 May
TBC kurusha ‘live’ Kombe la Dunia
SHIRIKA la Utangazaji la Taifa (TBC), linatarajia kurusha moja kwa moja ‘live’ mashindano ya Kombe la Dunia kwa mechi zote 64 zitakazochezwa nchini Brazil. Michuano hiyo inatarajia kuanza kutimua vumbi...
11 years ago
BBCSwahili23 Jun
Michuano ya kombe la dunia yarindima
11 years ago
Michuzi![](http://2.bp.blogspot.com/-Fg1g12Za-pM/U4llwAevQYI/AAAAAAAFmqE/TID1y9Yj67k/s72-c/tbc2bc.jpg)
Wawili kushuhudia kombe la dunia kupitia shindano la Kwea Pipa na TBC
![](http://2.bp.blogspot.com/-Fg1g12Za-pM/U4llwAevQYI/AAAAAAAFmqE/TID1y9Yj67k/s1600/tbc2bc.jpg)
10 years ago
Michuzi![](http://1.bp.blogspot.com/-MMnZFVoq8T0/VWqyMNz6-pI/AAAAAAAAQf8/dQVQ3ucxLoo/s72-c/z.jpg)
STARTIMES KUANZA KUONYESHA MICHUANO YA KOMBE LA DUNIA U20
![](http://1.bp.blogspot.com/-MMnZFVoq8T0/VWqyMNz6-pI/AAAAAAAAQf8/dQVQ3ucxLoo/s320/z.jpg)
WAPENZI wa soka nchini sasa watafaidi kwa kutazama michuano ya kombe la dunia chini ya miaka 20 mwaka 2015 moja wa moja kwenye luninga zao kupitia ving’amuzi vya StarTimes pekee.
Michuano hiyo ambayo itaanza kutimua vumbi tarehe 30 mwezi Mei na kumalizika tarehe 20 mwezi Juni mwaka huu moja kwa moja kutoka nchini New Zealand ambapo timu 24 za vijana kutoka mataifa mbalimbali duniani yatachuana kuwania ubingwa.
Akizungumza baada ya kupata haki miliki kutoka kwa FIFA za...
11 years ago
Dewji Blog07 Jun
Mkazi wa Sinza kuona Kombe la Dunia kupitia promosheni ya Kwea Pipa na TBC
Na Mwandishi Wetu
Promosheni ya Kwea Pipa na televisheni ya Taifa ya TBC kwa kushirikiana na kampuni ya Push Mobile Media Limited imezidi kupamba moto baada ya mshindi mmoja zaidi kupatikana.
Deocary Mkenda ambaye ni mkazi wa Sinza ameungana na wenzake wawili ambao wamekwisha zawadiwa tiketi zao na sasa kampuni ya Push Mobile Media Limited inawatafutia pasipoti kwa ajili ya kusafri na kuona mechi ya Brazil na Cameroon Juni 23 mjini Rio de Janeiro.
Mkenda (35) ambaye ni Mhasibu katika...
11 years ago
Michuzi![](http://4.bp.blogspot.com/-xXJsJKgetg0/U7EslnAwqaI/AAAAAAAFtn0/DRVpImclEfs/s72-c/DStv-FWC-1+07+2014-Michuzi+blog+banner.png)
11 years ago
Michuzi![](http://1.bp.blogspot.com/-DXP3cusISYc/U2xt7F97b-I/AAAAAAAFgbE/33OpcSBU4-w/s1600/unnamed.jpg)
TBC yaanza mchakato wa kuwapata washindi watano wa kwenda kuangalia michezo ya Kombe la Dunia nchini Brazil
11 years ago
Michuzi![](http://1.bp.blogspot.com/-yrDakZ0gxM0/UwnwhXOAdxI/AAAAAAAFPDg/NoQOP-X2GWQ/s72-c/unnamed+(13).jpg)
Malinzi akabidhi kombe bingwa Michuano shule za Sekondari Dar
![](http://1.bp.blogspot.com/-yrDakZ0gxM0/UwnwhXOAdxI/AAAAAAAFPDg/NoQOP-X2GWQ/s1600/unnamed+(13).jpg)
11 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/agg6MtdmQC3xY8dpaHm57Y0N6pSMKZCaKrSh1jckLhYXMSCr-vEcvHMs0EZ*sUGvHdHdIKUzzHF*AMA-GhxQK3oi8nTtJTUk/4.gif?width=750)