Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Mkazi wa Sinza kuona Kombe la Dunia kupitia promosheni ya Kwea Pipa na TBC

motd-world-cup_720x405

Na Mwandishi Wetu

Promosheni ya Kwea Pipa na televisheni ya Taifa ya TBC  kwa kushirikiana na kampuni ya Push Mobile Media Limited imezidi kupamba moto baada ya mshindi mmoja zaidi kupatikana.

Deocary Mkenda ambaye ni mkazi wa Sinza ameungana na wenzake wawili ambao wamekwisha zawadiwa tiketi zao na sasa kampuni ya Push Mobile Media Limited inawatafutia pasipoti kwa ajili ya kusafri na kuona mechi ya Brazil na Cameroon Juni 23 mjini Rio de Janeiro.

Mkenda (35) ambaye ni Mhasibu katika...

Dewji Blog

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

Mwananchi

Mkazi wa Sinza Kwea Pipa na TBC

Promosheni ya Kwea Pipa na televisheni ya Taifa ya TBC  kwa kushirikiana na kampuni ya Push Mobile Media Limited

 

11 years ago

Michuzi

Wawili kushuhudia kombe la dunia kupitia shindano la Kwea Pipa na TBC

Wakazi wawili wa Dar es Salaam wamejishindia tiketi za kwenda nchini Brazil kuona moja ya mechi za kombe la Dunia kupitia promosheni ya Kwea Pipa na televisheni ya Taifa ya TBC  kwa kushirikiana na kampuni ya Push Mobile Media Limited. Washindi hao ni Donald Milinde Shija (34) mkazi wa Mabibo jijini ambaye ni mfanyakazi wa kampuni ya Davis and Shirtliff na mshindi mwingine ni Shaban Athumani Saidi (22) mkazi wa Banana-Kitunda ambaye ni fundi pampu. Kaimu Mkurugenzi wa TBC, Suzan Mungy...

 

9 years ago

Mwananchi

Golota kuona Kombe la Dunia 2018 uraiani

Mshambuliaji wa zamani wa Simba anayetumikia kifungo cha miaka saba na nusu jela nchini Ethiopia, Joseph Kaniki ‘Golota’, huenda akazitazama fainali za Kombe la Dunia 2018 nchini Russia akiwa uraiani.

 

11 years ago

Tanzania Daima

TBC kurusha ‘live’ Kombe la Dunia

SHIRIKA la Utangazaji la Taifa (TBC), linatarajia kurusha moja kwa moja ‘live’ mashindano ya Kombe la Dunia kwa mechi zote 64 zitakazochezwa nchini Brazil. Michuano hiyo inatarajia kuanza kutimua vumbi...

 

11 years ago

Michuzi

TBC YAFANYA HALFA YA KUHITIMISHA MICHUANO YA KOMBE LA DUNIA 2014, DAR

Mkurugenzi Mkuu wa Shirika la Utangazaji Tanzania (TBC) Bw. Clement Mshana (kulia) akiwakaribisha wageni walioalikwa katika hafla ya kuhitimisha michuano ya kombe la dunia 2014 iliyofanyika jana Julai 12, 2014 katika ofisi za Shirika la Utangazaji Tanzania (TBC) zilizopo Mikocheni jijini Dar es Salaam. Naibu Katibu Mkuu wa Wizara ya Habari,Vijana,Utamaduni na Michezo Prof. Elisante ole Gabriel, akiongea machache katika hafla ya kuhitimisha michuano ya kombe la dunia 2014 iliyofanyika jana...

 

11 years ago

Michuzi

TBC yaanza mchakato wa kuwapata washindi watano wa kwenda kuangalia michezo ya Kombe la Dunia nchini Brazil

Mkurugenzi Mkuu wa Shirika la Utangazaji Tanzania (TBC) Clement Mshana akiwaeleza waandishi wa habari  jijini Dar es Salaam kuhusu mchakato wa kuwapata washindi watano watakaokwenda kuangalia michuano ya Kombe la Dunia nchini Brazil kupitia promosheni ya Kwea Pipa inayoendeshwa na TBC kwa kushirikiana na makampuni ya Push Mobile Media Ltd na Star Times Ltd. Kushoto ni Naibu Mkurugenzi Mkuu Masoko na Mauzo kutoka Star Times Jack Zhou na kulia ni Mkurugenzi Mkuu wa Push Mobile Media...

 

11 years ago

Michuzi

10 years ago

GPL

MSHINDI WA SHILINGI MILIONI 1/- KUPITIA PROMOSHENI YA JAYMILLIONS AKABIDHIWA KITITA CHAKE NA BALOZI WA PROMOSHENI HIYO

.Balozi wa promosheni ya Jaymillions inayoendeshwa na Vodacom Tanzania Hillary Daud ‘Zembwela’na Claudia Mapunda(kulia)ambaye aliibuka mshindi wa kitita cha shilingi milioni 1/-kupitia promosheni hiyo wakihesabu fesha hizo kabla ya Balozi huyo kumkabidhi rasmi kitita chake katika hafla iliyofanyika Mlimani City jijini Dar es Salaam mwishoni mwa wiki.Ili  mteja kujua kama  ameshinda anatakiwa kutuma neno JAY au...

 

10 years ago

GPL

MSHINDI WA SHILINGI MILIONI 1/- KUPITIA PROMOSHENI YA JAYMILLIONS AKABIDHIWA KITITA CHAKE NA BALOZI WA PROMOSHENI HIYO‏

Balozi wa promosheni ya Jaymillions inayoendeshwa na Vodacom Tanzania Hillary Daud ‘Zembwela’na Claudia Mapunda(kulia)ambaye aliibuka mshindi wa kitita cha shilingi milioni 1/-kupitia promosheni hiyo wakihesabu fesha hizo kabla ya Balozi huyo kumkabidhi rasmi kitita chake katika hafla iliyofanyika Mlimani City jijini Dar es Salaam mwishoni mwa wiki.Ili  mteja kujua kama  ameshinda anatakiwa kutuma neno JAY au...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani