Milipuko ya bomu yawaua 15 Nigeria
Milipuko miwili ya mabomu ambayo ilikumba maeneo ya viungani mwa mji mkuu wa Nigeria Abuja yamewaua watu 15 na kuwajeruhi wengi kulingana na maafisa.
BBCSwahili
Habari Zinazoendana
10 years ago
BBCSwahili08 Mar
Milipuko yawaua watu 50 Nigeria
Zaidi ya watu 50 wameuawa na wengine wengi kujeruhiwa kwenye mashambulizi ya mabomu siku ya jumamosi kwenye mji wa Maiduguri
10 years ago
GPL
MILIPUKO YAUA WATU 30 KATIKATI YA NIGERIA
Watu wasiopungua 30 wameuawa katika milipuko miwili ya mabomu iliyotokea karibu na kituo cha basi katika mji wa Jos, ulioko katikati mwa Nigeria. Walioshuhudia wanasema, bomu la kwanza lilitegwa kwenye kibanda cha kuuzia chakula na la pili karibu na mlango wa kuingilia katika soko la Termus kwenye mji huo. Duru za usalama za Nigeria bado hazijasema milipuko hiyo ya mabomu imesababishwa na kundi gani, lakini kundi la Boko...
11 years ago
Tanzania Daima18 Oct
Raia wa Nigeria wakutwa na milipuko Tanga
JESHI la Polisi mkoani hapa linawashikilia watu watatu wakiwemo raia wawili wa Nigeria kwa kosa la kukutwa na milipuko nane waliyokuwa wameihifadhi nyumbani kwa mwenyeji wao aliyejulikana kwa jina moja...
10 years ago
BBCSwahili07 Mar
Watu 10 wafariki katika milipuko Nigeria
Ripoti kutoka Nigeria zinasema kuwa milipuko miwili, imetokea katika mji wa Maiduguri, mji mkuu wa jimbo la Borno state,
10 years ago
GPL
MILIPUKO SOKONI YAUA 49 GOMBE, NIGERIA
(Picha na Maktaba) WATU 49 wameuawa katika milipuko miwili iliyotokea kwenye soko lililopo mjini Gombe, Nigeria wakati watu wakifanya manunuzi kwa ajili ya Sikukuu ya Eid jana jioni. Soko hilo lilikuwa limefurika watu waliokuwa wakijiandaa kwa ajili ya Sikukuu ya Eid na watu wengi waliopoteza maisha ni watoto na wanawake.
10 years ago
BBCSwahili17 Jul
Zaidi 40 wafa kwa milipuko Nigeria
Wafanyakazi wa uwokoaji Nigeria wanasema katika eno la kaskazini mashariki mwa nchi hiyo katika mji wa Gombe watu arobaini wameuawa na wengine wengi kujeruhiwa baada ya milipuko kutokea kwenye soko nchini humo.
11 years ago
BBCSwahili14 Apr
Watu 70 wauawa katika milipuko Nigeria
Zaidi ya watu 70 wameripotiwa kuuawa katika milipuko miwili mjini Abuja, Nigeria
10 years ago
BBCSwahili17 Jul
Ibada ya Eid yakumbwa na milipuko Nigeria
Jeshi nchini Nigeria linasema kuwa takriban watu 9 wameuawa kwenye mashambulizi mawili ya kujitoa mhanga kwenye mji ulio kaskazini mashariki mwa nchi wa Damaturu.
10 years ago
BBCSwahili21 Sep
Watu 54 wauawa katika milipuko Nigeria
Watu zaidi ya 54 wameuawa na 90 kujeruhiwa kwenye milipuko mitatu ya mabomu katika mji wa Maiduguri, Nigeria.
Top 10
Tanzania Today
Today Breaking News,Tanzania World News
07-May-2025 in Tanzania