Ibada ya Eid yakumbwa na milipuko Nigeria
Jeshi nchini Nigeria linasema kuwa takriban watu 9 wameuawa kwenye mashambulizi mawili ya kujitoa mhanga kwenye mji ulio kaskazini mashariki mwa nchi wa Damaturu.
BBCSwahili
Habari Zinazoendana
9 years ago
BBCSwahili18 Nov
Nigeria yakumbwa na mzozo wa mafuta
Misururu mirefu imeonekana kwenye vituo vya uuzaji mafuta nchini Nigeria,kutokana na sababu ya kuwepo mgawanyiko baina ya serikali na waagizaji.
10 years ago
BBCSwahili01 Jun
Benki kuu Nigeria yakumbwa na ufisadi
Maafisa kadhaa kutoka benki kuu ya nchi hiyo wamepelekwa mahakamani kwa tuhuma za ufisadi wa kiasi kikubwa cha fedha za thamani ya mamilioni ya dola.
10 years ago
Mwananchi17 Jul
Eid el Fitr ni siku ya furaha, kufanya ibada
>Waislam dunia nzima wamekamilisha ibada muhimu ya kufunga Mwezi Mtukufu wa Ramadhan. Furaha zimetawala kila kona, si kwa sababu sasa wameachiwa huru bali kwa sababu wamefaulu kutekeleza amri ya kufunga.
10 years ago
BBCSwahili08 Mar
Milipuko yawaua watu 50 Nigeria
Zaidi ya watu 50 wameuawa na wengine wengi kujeruhiwa kwenye mashambulizi ya mabomu siku ya jumamosi kwenye mji wa Maiduguri
9 years ago
BBCSwahili03 Oct
Milipuko ya bomu yawaua 15 Nigeria
Milipuko miwili ya mabomu ambayo ilikumba maeneo ya viungani mwa mji mkuu wa Nigeria Abuja yamewaua watu 15 na kuwajeruhi wengi kulingana na maafisa.
10 years ago
Tanzania Daima18 Oct
Raia wa Nigeria wakutwa na milipuko Tanga
JESHI la Polisi mkoani hapa linawashikilia watu watatu wakiwemo raia wawili wa Nigeria kwa kosa la kukutwa na milipuko nane waliyokuwa wameihifadhi nyumbani kwa mwenyeji wao aliyejulikana kwa jina moja...
11 years ago
BBCSwahili14 Apr
Watu 70 wauawa katika milipuko Nigeria
Zaidi ya watu 70 wameripotiwa kuuawa katika milipuko miwili mjini Abuja, Nigeria
10 years ago
BBCSwahili07 Mar
Watu 10 wafariki katika milipuko Nigeria
Ripoti kutoka Nigeria zinasema kuwa milipuko miwili, imetokea katika mji wa Maiduguri, mji mkuu wa jimbo la Borno state,
11 years ago
BBCSwahili20 May
Milipuko 2 yatokea mjini Jos, Nigeria
Milipuko hiyo imetokea katika soko lenye shughuli nyingi na ambalo lilikuwa na idadi kubwa ya watu eneo la Kati mwa Nigeria.
Top 10
Tanzania Today
Today Breaking News,Tanzania World News
13-February-2025 in Tanzania