Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


MILIPUKO SOKONI YAUA 49 GOMBE, NIGERIA

(Picha na Maktaba) WATU 49 wameuawa katika milipuko miwili iliyotokea kwenye soko lililopo mjini Gombe, Nigeria wakati watu wakifanya manunuzi kwa ajili ya Sikukuu ya Eid jana jioni. Soko hilo lilikuwa limefurika watu waliokuwa wakijiandaa kwa ajili ya Sikukuu ya Eid na watu wengi waliopoteza maisha ni watoto na wanawake.

GPL

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

GPL

MILIPUKO YAUA WATU 30 KATIKATI YA NIGERIA

Watu wasiopungua 30 wameuawa katika milipuko miwili ya mabomu iliyotokea karibu na kituo cha basi katika mji wa Jos, ulioko katikati mwa Nigeria.  Walioshuhudia wanasema, bomu la kwanza lilitegwa kwenye kibanda cha kuuzia chakula na la pili karibu na mlango wa kuingilia katika soko la Termus kwenye mji huo. Duru za usalama za Nigeria bado hazijasema milipuko hiyo ya mabomu imesababishwa na kundi gani, lakini kundi la Boko...

 

10 years ago

BBCSwahili

B Haram lashambulia mji wa Gombe Nigeria

Kundi la wapiganaji wa Nigeria, Boko Haram, limeshambulia mji mkuu wa jimbo la Gombe, kaskazini-mashariki mwa Nigeria.

 

11 years ago

GPL

MILIPUKO YA GASI YAUA 22 TAIWAN

Moto uliozuka baada ya milipuko ya gesi nchini Taiwan.…

 

9 years ago

BBCSwahili

Milipuko ya mabomu yaua watu 20 Syria

Watu 20 wamefariki na wengine 40 kujeruhiwa kwenye milipuko miwili ya mabomu yaliyotegwa kwenye magari mjini Hassakeh, Syria.

 

11 years ago

BBCSwahili

Milipuko yaua katika mabas 2 Nairobi

Watu kadhaa wamehofiwa kufariki na wengine kujeruhiwa kufuatia milipuko miwili katika mji mkuu wa Kenya Nairobi.

 

9 years ago

GPL

MILIPUKO YAUA WATU ZAIDI YA 52 UTURUKI

Majeruhi wakiokolewa kutoka eneo la tukio. Hali ya sintofahamu ikitanda eneo la tukio. Hali ilivyokuwa baada ya mashambulizi hayo Waliojeruhiwa wakisaidiwa na ndugu na jamaa zao.…

 

10 years ago

BBCSwahili

Milipuko yawaua watu 50 Nigeria

Zaidi ya watu 50 wameuawa na wengine wengi kujeruhiwa kwenye mashambulizi ya mabomu siku ya jumamosi kwenye mji wa Maiduguri

 

9 years ago

BBCSwahili

Milipuko ya bomu yawaua 15 Nigeria

Milipuko miwili ya mabomu ambayo ilikumba maeneo ya viungani mwa mji mkuu wa Nigeria Abuja yamewaua watu 15 na kuwajeruhi wengi kulingana na maafisa.

 

10 years ago

BBCSwahili

Ibada ya Eid yakumbwa na milipuko Nigeria

Jeshi nchini Nigeria linasema kuwa takriban watu 9 wameuawa kwenye mashambulizi mawili ya kujitoa mhanga kwenye mji ulio kaskazini mashariki mwa nchi wa Damaturu.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani