Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


B Haram lashambulia mji wa Gombe Nigeria

Kundi la wapiganaji wa Nigeria, Boko Haram, limeshambulia mji mkuu wa jimbo la Gombe, kaskazini-mashariki mwa Nigeria.

BBCSwahili

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

BBCSwahili

Boko Haram lashambulia Nigeria Kazkazini

Wapiganaji wa kundi la Boko Haram nchini Nigeria wameshambulia mji wa kazkazini mashariki wa Mainok karibu na mji wa Maiduguri.

 

10 years ago

BBCSwahili

Boko Haram waondoka Gombe

Wapiganaji wa Boko Haram wa Nigeria waondoka mji waliouteka Jumamosi asubuhi - serikali yasema imewatimua

 

10 years ago

BBCSwahili

Boko Haram lashambulia nchi Jirani

Kundi la wapiganaji wa Boko Haram nchini Nigeria limeshambulia mji mmoja nchini Niger

 

10 years ago

BBCSwahili

Bako Haram lashambulia taifa la Chad

Kundi la jihad lililoko Nigeria, Boko Haram, kwa mara ya kwanza limeshambulia Chad.

 

10 years ago

GPL

MILIPUKO SOKONI YAUA 49 GOMBE, NIGERIA

(Picha na Maktaba) WATU 49 wameuawa katika milipuko miwili iliyotokea kwenye soko lililopo mjini Gombe, Nigeria wakati watu wakifanya manunuzi kwa ajili ya Sikukuu ya Eid jana jioni. Soko hilo lilikuwa limefurika watu waliokuwa wakijiandaa kwa ajili ya Sikukuu ya Eid na watu wengi waliopoteza maisha ni watoto na wanawake.

 

10 years ago

BBCSwahili

Boko Haram wauteka mji mwingine

Kundi la wapiganaji wa kiisilamu nchini Nigeria Boko Haram, wameuteka mji mwingine Kaskazini Mashariki ya nchi hiyo.

 

10 years ago

BBCSwahili

Boko Haram yateka mji wa Marte

Wanamgambo wa kiislamu wa kundi la Boko Haram wameuteka tena mji ulioko mpakani wa Marte kulingana na naibu gavana wa jimbo hilo

 

10 years ago

GPL

BOKO HARAM LAUDHIBITI MJI WA CHIBOK

Wapiganaji wa kundi la Boko Haram. Ripoti kutoka kaskazini mashariki mwa Nigeria zinasema kuwa wanamgambo wa Boko Haram wameudhibiti mji wa Chibok , mji ambapo waliwateka nyara zaidi ya wasichana 200 mwezi Aprili. Wenyeji walisema kuwa wanamgambo hao walivamia mji huo siku ya alhamisi na hadi sasa mji huo uko chini ya udhibiti wao.Seneta mmoja kutoka eno hilo ameiambia BBC kuwa wanajeshi waliokuwa wakiulinda mji huo walitoroka...

 

10 years ago

BBCSwahili

Boko Haram laushambulia mji wa Maiduguri

Wapiganaji wa kundi la Boko Haram nchini Nigeria, wameshambulia tena mji wa Maiduguri, kaskazini mashariki mwa nchi.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani