Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Mkenya, Mrundi jela kwa wizi wa gari, mafuta

RAIA wa Kenya na mwingine wa Burundi waliokuwa wakikabiliwa na kesi ya wizi wa gari na mafuta ya petroli wamehukumiwa kwenda jela mwaka mmoja kila mmoja, huku Watanzania watatu wakiachiwa huru kwa kukosekana ushahidi.

habarileo

Read more


Habari Zinazoendana

9 years ago

Mwananchi

Mchungaji kiongozi KKKT jela kwa wizi

Mchungaji kiongozi wa Kanisa la Kiinjili la Kilutheri Tanzania (KKKT), Usharika wa Rauya, Zawadiel Maruchu amehukumiwa kifungo cha mwaka mmoja jela kwa kosa la wizi wa kuaminiwa.

 

11 years ago

Mwananchi

Jela miezi sita kwa wizi wa jeneza

Mahakama ya Wilaya ya Bariadi, mkoani Simiyu imemhukumu Bahati Lukas (25) kifungo cha nje miezi sita baada ya kupatikana na hatia ya wizi wa jeneza.

 

11 years ago

Habarileo

Mbulgaria jela miaka 3 kwa wizi kupitia ATM

RAIA wa Bulgaria, Todor Peev amehukumiwa kifungo cha miaka mitatu jela au kulipa faini baada ya mahakama kumtia hatiani kutokana na makosa 20 ya wizi wa Sh milioni 12.2 kupitia mashine za kutolea fedha (ATM) katika benki mbalimbali.

 

10 years ago

GPL

KIBAKA ALA KICHAPO KWA WIZI WA TAA ZA GARI UPANGA, DAR

Kibaka aliyetaka kuiba taa za gari akiwa amefungwa kamba sambamba na vifaa vyake vya uhalifu. Taa ya gari ambayo tayari ilikuwa imefunguliwa na kibaka huyo.…

 

10 years ago

Bongo5

Muigizaji wa Bollywood Salman Khan ahukumiwa kifungo cha miaka 5 jela, kwa kumgonga na kumuua mtu kwa gari

Mahakama ya nchini India imemhukumu muigizaji wa Bollywood, Salman Khan kifungo cha miaka mitano jela kwa kumgonga na kumuua mtu asiye na makazi mwaka 2002 mjini Mumbai. Mtu huyo alikuwa mmoja wa watu wengine watano waliogongwa kwenye tukio hilo. Muigizaji huyo alikuwa akikabiliwa na kosa la kuua bila kukusudia. Khan alikuwa akijitetea kuwa ni dereva […]

 

5 years ago

Michuzi

MAHAKAMA YAMHUKUMU MENEJA WA UKODI KWENDA JELA MIAKA MITANO KWA NJAMA ZA WIZI WA MIL.45.2

NA MWAMVUA MWINYI,KIBAHA
Mahakama ya Hakimu Mkazi Kibaha Mkoa wa Pwani, imemuhukumu aliyekuwa meneja wa kituo cha kuuza mafuta cha UKODI INTERNATIONAL COM LIMITED, Malima Charles miaka 40 mkazi wa Maili moja Kibaha, kwenda jela miaka mitano baada ya kumkuta na hatia katika makosa mawili yaliyokuwa yakimkabili ikiwemo kuvunja ofisi na wizi.
Akisoma hukumu hiyo iliyodumu kwa muda wa saa moja ambayo ilivuta hisia za wakazi wa Kibaha, Hakimu Mkazi wa Mahakama hiyo Joyce Mushi, alieleza ...

 

10 years ago

Vijimambo

SALMAN KHAN KWENDA JELA MIAKA 5 BAADA YA KUMGONGA NA KUMUUA MTU KWA GARI

 Mwigizaji maarufu wa filamu za Bollywood nchini India Salman Khan amekuhumiwa kifungo cha miaka mitano jela baada ya kupatikana na hatia ya kumuua mtu mmoja asiye na makazi alipokuwa akiendesha gari huku akiwa amelewa mjini Mumbai. Khan alikuwa ameshtakiwa kwa kuua bila kukusudia baada ya kuelekeza gari lake kwenye kundi la watu waliokuwa wamelala kwenye njia kando ya barabara mwaka 2002. Mmoja kati ya watu hao Noor Ullah Khan alikufa katika ajali hiyo.Salman Khan akitoka mahakamani na mama...

 

9 years ago

BBCSwahili

Nigeria kudhibiti wizi wa Mafuta

Nigeria ina mpango wa kutumia ndege ndogo zisizokuwa na rubani kudhibiti wizi wa mafuta unaofanywa na baadhi ya Meli.

 

10 years ago

Mwananchi

Siri ya wizi mafuta ya transfoma yabainika

 Ile dhana ya kuwa mafuta ya kupoza transfoma yanaibwa na wauza chipsi, imebainika siyo ya kweli baada ya uchunguzi kuonyesha kuwa yanatumiwa viwandani kuendesha mitambo, kuchanganywa katika vipodozi na mengine yakisafirishwa nchi za nje.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani