Muigizaji wa Bollywood Salman Khan ahukumiwa kifungo cha miaka 5 jela, kwa kumgonga na kumuua mtu kwa gari
Mahakama ya nchini India imemhukumu muigizaji wa Bollywood, Salman Khan kifungo cha miaka mitano jela kwa kumgonga na kumuua mtu asiye na makazi mwaka 2002 mjini Mumbai. Mtu huyo alikuwa mmoja wa watu wengine watano waliogongwa kwenye tukio hilo. Muigizaji huyo alikuwa akikabiliwa na kosa la kuua bila kukusudia. Khan alikuwa akijitetea kuwa ni dereva […]
Bongo5
Habari Zinazoendana
10 years ago
Vijimambo
SALMAN KHAN KWENDA JELA MIAKA 5 BAADA YA KUMGONGA NA KUMUUA MTU KWA GARI



10 years ago
GPL
SALMAN KHAN WA BOLLYWOOD AHUKUMIWA JELA MIAKA 5 KWA MAUAJI
11 years ago
Michuzi
News alert: Oscar Pistorius ahukumiwa kifungo cha miaka 5 gerezani kwa kumuua bila kukusudia girlfiend wake

Mwanariadha huyo asiye na miguu aliyeshangaza ulimwengu katika michuano ya Olympic mwaka 2012, amehukumiwa kifungo cha miaka 5 gerezani na Jaji wa Afrika ya Kusini asubuhi hii, katika hatua inayofikisha tamati mlolomngo wa muda mrefu wa kesi hiyo iliyokuwa ikifuatiliwa kwa karibu ulimwenguni kote
Pistorius alipatikana na hatia ya kuua bila kukusudia mnamo Septemba 12, mwaka huu, kwa kumtoa...
10 years ago
GPL
MKE WA GBAGBO AHUKUMIWA KIFUNGO CHA MIAKA 20 JELA
10 years ago
Mwananchi26 Feb
Chid Benz ahukumiwa kifungo cha miaka miwili jela
10 years ago
BBCSwahili06 May
Khan wa Bollywood kwenda jela miaka 5
10 years ago
MichuziBREAKING NYUZZZZ........BONDIA FRANCIS CHEKA AHUKUMIWA KIFUNGO CHA MIAKA 3 JELA
Cheka alifikishwa kizimbani leo na kusomewa mashtaka ya kushambulia na kuzuru mwili,akidaiwa mnamo julai 02 mwaka 2014, bila uhalali na akijua kufanya hivyo ni kosa kisheria, alimpiga kwa ngumi maeneo ya kichwani na tumboni, Bahati Kabanda maarufu kama Masika,...
10 years ago
StarTV03 Nov
Binti wa miaka 15 ahukumiwa jela miaka 8 kwa kuuwa bila kukusudia.
Mahakama kuu ya Tanzania kanda ya Dar es salaam iliyoketi mkoani Morogoro, imemuhukumu kwenda jela miaka nane, Judith Chomile binti mwenye umri wa miaka 15 mwananfunzi wa kidato cha kwanza mara baaada ya kutiwa hatiani kwa kosa la kuua bila ya kukusudia mtoto mwenzake Andrine Mafwere (9)
Akisoma hukumu hiyo jaji Eliezer Fereshi, amesema mahakama imemtia hatiani mshitakiwa huyo kutokana na upelelezi wa kesi hiyo kukamilika na maelezo ya maafisa ustawi wa jamii na maafisa wa huduma za...
5 years ago
Michuzi
AHUKUMIWA KIFUNGO MIAKA 30 GEREZANI KWA KOSA LA KUSAFIRISHA DAWA ZA KULEVYA AINA YA HEROINE ZENYE UZITO WA GRAMU 306.6
Mahakama Kuu Divisheni ya Makosa ya Rushwa na Uhujumu uchumi, imemuhukumu Islem Shebe Islem (50) raia wa Tanzania mwenye asili ya kiarabu, kutumikia kifungo cha miaka 30 gerezani baada ya kupatikana na hatia katika kosa la kusafirisha dawa za kulevya aina ya heroine zenye uzito wa gramu 306.32.
Hukumu hiyo imesomwa leo Mei 8 2020 mbele Jaji Elinaza Luvanda baada upande wa mashtaka kupitia mashahidi wake saba na vielelezo mbali mbali zikiwemo dawa hizo kuweza...