Mbulgaria jela miaka 3 kwa wizi kupitia ATM
RAIA wa Bulgaria, Todor Peev amehukumiwa kifungo cha miaka mitatu jela au kulipa faini baada ya mahakama kumtia hatiani kutokana na makosa 20 ya wizi wa Sh milioni 12.2 kupitia mashine za kutolea fedha (ATM) katika benki mbalimbali.
habarileo
Habari Zinazoendana
10 years ago
YkileoINDIA YADHAMIRIA KUKABILIANA NA WIZI KUPITIA MASHINE ZA ATM
Aidha, Kwa Upande mwingine – Wameweza kukubali tatizo linalo ambatana na ukuaji wa technolojia ni uhalifu mtandao...
5 years ago
Michuzi![](https://1.bp.blogspot.com/-OQTtdIkCPU0/XmlLdJ-mH2I/AAAAAAALisY/gHE2hLfecf8kyHCZ5Uc1gYGxhn9q3BRuwCLcBGAsYHQ/s72-c/IMG-20200309-WA0029.jpg)
MAHAKAMA YAMHUKUMU MENEJA WA UKODI KWENDA JELA MIAKA MITANO KWA NJAMA ZA WIZI WA MIL.45.2
![](https://1.bp.blogspot.com/-OQTtdIkCPU0/XmlLdJ-mH2I/AAAAAAALisY/gHE2hLfecf8kyHCZ5Uc1gYGxhn9q3BRuwCLcBGAsYHQ/s400/IMG-20200309-WA0029.jpg)
Mahakama ya Hakimu Mkazi Kibaha Mkoa wa Pwani, imemuhukumu aliyekuwa meneja wa kituo cha kuuza mafuta cha UKODI INTERNATIONAL COM LIMITED, Malima Charles miaka 40 mkazi wa Maili moja Kibaha, kwenda jela miaka mitano baada ya kumkuta na hatia katika makosa mawili yaliyokuwa yakimkabili ikiwemo kuvunja ofisi na wizi.
Akisoma hukumu hiyo iliyodumu kwa muda wa saa moja ambayo ilivuta hisia za wakazi wa Kibaha, Hakimu Mkazi wa Mahakama hiyo Joyce Mushi, alieleza ...
9 years ago
Habarileo28 Aug
Wizi wampeleka jela miaka 15
MENEJA Rasilimali Watu wa Kampuni ya Scania Tanzania Ltd, Didier Mlawa (38) amehukumiwa kifungo cha miaka 15 jela baada ya kupatikana na hatia ya kughushi na kuiba Sh milioni 177.3.
10 years ago
Habarileo29 Aug
Vijana jela miaka 2 wizi wa nazi 50
SULEIMAN Mbarouk Mshimba (29) pamoja na Khamis Juma Makalela (30) wameanza kutumikia kifungo baada ya kutiwa hatiani kwa kosa la wizi wa nazi zipatazo 53 katika matukio mawili tofauti.
11 years ago
Mwananchi21 Jan
Saba wahukumiwa wizi ATM
10 years ago
Habarileo24 Mar
Wizi kwenye ATM wachefua wabunge
WABUNGE wamewashutumu baadhi ya wafanyakazi wa kampuni za simu za mkononi na taasisi za kibenki, kuwa wanashirikiana na wahalifu wa mtandao kuwaibia wananchi fedha zao, jambo ambalo wameitaka Serikali kutunga sheria kali ya kuwalinda wateja.
11 years ago
Mwananchi31 Mar
Jela miezi sita kwa wizi wa jeneza
9 years ago
Mwananchi24 Dec
Mchungaji kiongozi KKKT jela kwa wizi
10 years ago
Habarileo13 Jun
Mkenya, Mrundi jela kwa wizi wa gari, mafuta
RAIA wa Kenya na mwingine wa Burundi waliokuwa wakikabiliwa na kesi ya wizi wa gari na mafuta ya petroli wamehukumiwa kwenda jela mwaka mmoja kila mmoja, huku Watanzania watatu wakiachiwa huru kwa kukosekana ushahidi.