Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Wizi kwenye ATM wachefua wabunge

WABUNGE wamewashutumu baadhi ya wafanyakazi wa kampuni za simu za mkononi na taasisi za kibenki, kuwa wanashirikiana na wahalifu wa mtandao kuwaibia wananchi fedha zao, jambo ambalo wameitaka Serikali kutunga sheria kali ya kuwalinda wateja.

habarileo

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

Mwananchi

Saba wahukumiwa wizi ATM

Mahakama ya Wilaya ya Karagwe imewahukumu watu saba akiwamo mwanamke mmoja kwa makosa mbalimbali ya wizi wa mifugo na kutumia kadi za benki maarufu ATM.

 

10 years ago

Ykileo

INDIA YADHAMIRIA KUKABILIANA NA WIZI KUPITIA MASHINE ZA ATM

Katika Mkutano uliofanyika Nchini India, Mbali na maelezo ya jitihada na dhamira kubwa katika kuwekeza katika maswala ya teknolojia kupitia kampeni yao ya DIGITAL INDIA, Pia nchi imepata kuelezea dhamira yao ya kuwekeza zaidi kwa kutoa misaada ya kimasomo ( Scholarships ) kwa wale watakao kuwa wakisomea masomo yatakayo wezesha kukuza na kufanikisha jitihada zao za Digital India.


Aidha, Kwa Upande mwingine – Wameweza kukubali tatizo linalo ambatana na ukuaji wa technolojia ni uhalifu mtandao...

 

11 years ago

Habarileo

Mbulgaria jela miaka 3 kwa wizi kupitia ATM

RAIA wa Bulgaria, Todor Peev amehukumiwa kifungo cha miaka mitatu jela au kulipa faini baada ya mahakama kumtia hatiani kutokana na makosa 20 ya wizi wa Sh milioni 12.2 kupitia mashine za kutolea fedha (ATM) katika benki mbalimbali.

 

11 years ago

Michuzi

Wabunge kutoka Nchi Wanacham wa Jumuiya ya Madola (CPA) walalamika kufanywa “ATM” na wananchi

   Mjumbe kutoka Tanzania Mhe. Ummy Mwalimu pamoja na wabunge wengine kutoka nchi washiriki wakifuatilia mada kwa makini    Katibu Mkuu wa CPA Dkt. William shijja akifafanua jambo wakati Mnadhimu Mkuu wa Serikali katika Bunge la Ghana ambaye pia ni Waziri anayeshughulikiwa maswala ya Bunge Dkt. Benjamini Bewa- Nyang Kunbour akiwasilisha mada yake kuhusu Mahusiano  ya Mbunge na chama chake wakati wa siku ya pili ya semina ya 25 ya Chama cha Mabunge wanachama wa jumuiya ya Madola CPA

 

10 years ago

Mtanzania

Wabunge: Wizi huu haukubaliki

Na Khamis Mkotya, Dodoma

BAADHI ya wabunge wamezungumzia ripoti ya Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali (CAG) wakisema ufisadi unaoendelea nchini ni matokeo ya kupuuzwa kwa ripoti za mkaguzi huyo.
Maoni ya wabunge hao yametolewa baada ya Mkaguzi na Mdhibiti Mkuu wa Hesabu za Serikali (CAG), kuibua ufisadi mkubwa katika mamlaka za Serikali za Mitaa, Mashirika ya Umma na Serikali Kuu kwa ukaguzi ulioishia Juni mwaka jana.
Wakizungumza na MTANZANIA katika viwanja vya Bunge jana,...

 

10 years ago

Habarileo

Wabunge wachoshwa kujadili wizi, ufisadi

WABUNGE wameelezea kuchoshwa na wizi, matumizi mabaya ya fedha na mikataba mibovu iliyobainishwa katika taarifa za baadhi ya kamati zilizowasilishwa bungeni juzi, na kushauri maazimio yapitishwe ili wahusika wa ufisadi huo wabanwe.

 

10 years ago

Tanzania Daima

Wizi kwenye nyumba za ibada

WIZI ni tendo la tabia ya kuiba, vivyo hivyo udokozi kwa kuchukua kitu au mali ya mtu mwingine bila ridhaa yake.  Ni kitendo cha kihuni kinachoendana na tabia mbaya, yaani...

 

11 years ago

Michuzi

Hoja ya haja: Wizi kwenye Maduka ya Nyama Mwenge, Dar

 Kwa wale munaokwenda bucha kununua nyama munaelewa ni kwa jinsi gani nyama imepanda bei. Kwa sisi tunaogetemea bucha za maeneo ya Mwenge, tangu nyama ilipopandishwa bei mwezi December mwaka jana wakati wa sikukuu, hadi sasa haijashuka. Kilo moja ilipanda kutoka shilingi 5,000 hadi shilingi 7,000 huku stake ikipanda kutoka shilingi 6,000  hadi shilingi 9,000. Pamoja na maumivu haya ya bei, kuna maumivu makubwa wanayopata wanunuzi wa nyama (hasa eneo hili la Mwenye) bila kujua kwa njia kuu...

 

10 years ago

Mwananchi

Tanzania ipo kwenye mikakati kukabili wizi wa fedha kwa kutumia mitandao

Jitihada za Serikali katika kupambana na uhalifu wa mitandao imeungwa mkono kutokana na baadhi ya vyuo kuanzisha mitalaa yenye somo la ulinzi wa  mitandao.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani