Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Wabunge: Wizi huu haukubaliki

Na Khamis Mkotya, Dodoma

BAADHI ya wabunge wamezungumzia ripoti ya Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali (CAG) wakisema ufisadi unaoendelea nchini ni matokeo ya kupuuzwa kwa ripoti za mkaguzi huyo.
Maoni ya wabunge hao yametolewa baada ya Mkaguzi na Mdhibiti Mkuu wa Hesabu za Serikali (CAG), kuibua ufisadi mkubwa katika mamlaka za Serikali za Mitaa, Mashirika ya Umma na Serikali Kuu kwa ukaguzi ulioishia Juni mwaka jana.
Wakizungumza na MTANZANIA katika viwanja vya Bunge jana,...

Mtanzania

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Habarileo

Wizi kwenye ATM wachefua wabunge

WABUNGE wamewashutumu baadhi ya wafanyakazi wa kampuni za simu za mkononi na taasisi za kibenki, kuwa wanashirikiana na wahalifu wa mtandao kuwaibia wananchi fedha zao, jambo ambalo wameitaka Serikali kutunga sheria kali ya kuwalinda wateja.

 

10 years ago

Habarileo

Wabunge wachoshwa kujadili wizi, ufisadi

WABUNGE wameelezea kuchoshwa na wizi, matumizi mabaya ya fedha na mikataba mibovu iliyobainishwa katika taarifa za baadhi ya kamati zilizowasilishwa bungeni juzi, na kushauri maazimio yapitishwe ili wahusika wa ufisadi huo wabanwe.

 

9 years ago

Mzalendo Zanzibar

Wizi wa Kura Wanaswa, Mpango Mzima Huu Hapa

Katika gazeti bora hapa nchini la leo (Mawio) limeonyesha tayari mkakati maalum wa wizi wa kura unaohusisha makepteni umekamilika. Makepteni hao tayari washapewa mafunzo kwa siku kadhaa na kusambazwa katika majimbo yote 265 ya uchaguzi nchini […]

The post Wizi wa Kura Wanaswa, Mpango Mzima Huu Hapa appeared first on Mzalendo.net.

 

11 years ago

GPL

TAMASHA LA MATUMAINI 2014… WABUNGE GANI KUZIPIGA MWAKA HUU?

Mbunge wa Kawe, Halima Mdee (kushoto) akionyeshana umwamba na staa wa filamu Bongo, Jacqueline Wolper katika Tamasha la Matumaini 2013. MWAKA jana wabunge wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Halima Mdee (Mbunge wa Kawe), Ester Bulaya (Viti Maalum, Mkoa wa Mara) walizipiga na wasanii wa Bongo Movies, Jacqueline Wolper na Aunt Ezekiel, swali linalowasumbua akilini mashabiki wa Tamasha la Matumaini ni wabunge gani...

 

10 years ago

Michuzi

MAKALA YA SHERIA: ZIJUE SABABU NNE KWANINI USHAHIDI WA KUAMBIWA HAUKUBALIKI MAHAKAMANI

Na  Bashir  Yakub.
1.USHAHIDI  WA  KUAMBIWA  NININI.
Ushahidi  wa  kuambiwa  ni  ushahidi  unaotolewa  na  mtu  ambaye  hakuona  tukio  likitendeka,  hakusikia  tukio  likitendeka,  hakuhisi  wala  kuonja,  wala  kunusa  jambo  lililo mbele  ya  mahakama  kama  kosa  isipokuwa   aliambiwa    na  mtu  mwingine aliyeona,  kusikia, kuhisi, kunusa  au  kuonja.  Hapa  kuna  watu  wawili,  kwanza  aliyeona au kusikia , na  pili  yule  aliyeambiwa  na  huyu   aliyeona   au  kusikia .   
Kwahiyo  ...

 

10 years ago

Michuzi

MAKALA SHERIA: ZIJUE SABABU NNE KWANINI USHAHIDI WA KUAMBIWA HAUKUBALIKI MAHAKAMANI.

1.USHAHIDI  WA  KUAMBIWA  NI NINI?

Ushahidi  wa  kuambiwa  ni  ushahidi  unaotolewa  na  mtu  ambaye  hakuona  tukio  likitendeka,  hakusikia  tukio  likitendeka,  hakuhisi  wala  kuonja,  wala  kunusa  jambo  lililo mbele  ya  mahakama  kama  kosa  isipokuwa   aliambiwa    na  mtu  mwingine aliyeona,  kusikia, kuhisi, kunusa  au  kuonja.  Hapa  kuna  watu  wawili,  kwanza  aliyeona au kusikia , na  pili  yule  aliyeambiwa  na  huyu   aliyeona   au  kusikia .   Kwahiyo   katika maana  yetu   ...

 

11 years ago

GPL

YANGA (WABUNGE) WALIVYOISAMBARATISHA SIMBA (WABUNGE) KATIKA TAMASHA LA MATUMAINI 2014

Mbunge wa Jimbo la Chalinze ambaye ni shabiki wa Yanga, Ridhiwan Kikwete akivua jezi yake kwa ajili ya mashabiki mara baada ya ushindi wa timu yake wa mabao 3-2 dhidi ya Simba leo. Naibu Waziri wa Fedha, Mwigulu Nchemba akishangilia na shabiki wake baada ya ushindi wa…

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani