Hoja ya haja: Wizi kwenye Maduka ya Nyama Mwenge, Dar
![](http://4.bp.blogspot.com/-CX32FhnnL8w/UvMZB3Rgs7I/AAAAAAAFLGI/R5DNqZzwJ1M/s72-c/n1.jpg)
Kwa wale munaokwenda bucha kununua nyama munaelewa ni kwa jinsi gani nyama imepanda bei. Kwa sisi tunaogetemea bucha za maeneo ya Mwenge, tangu nyama ilipopandishwa bei mwezi December mwaka jana wakati wa sikukuu, hadi sasa haijashuka. Kilo moja ilipanda kutoka shilingi 5,000 hadi shilingi 7,000 huku stake ikipanda kutoka shilingi 6,000 hadi shilingi 9,000.
Pamoja na maumivu haya ya bei, kuna maumivu makubwa wanayopata wanunuzi wa nyama (hasa eneo hili la Mwenye) bila kujua kwa njia kuu...
Michuzi
Habari Zinazoendana
11 years ago
Michuzi![](http://4.bp.blogspot.com/-nWWDu4q07f8/U0qzoiKfvGI/AAAAAAAFaeo/-lVVkE0AeJA/s72-c/578b05b586da72cb24792c914c30f437+(2).jpg)
9 years ago
Michuzi30 Aug
Haja ya Hoja: vyama vya siasa na hama hama ya wanachama kuelekea kwenye uchaguzi mkuu
11 years ago
Michuzi09 Apr
hoja ya haja: ............ la Uraia Pacha
naomba pia uniruhusu kusema machache kuhusu mwanazuoni John Mashaka kwa sababu ametugusa kwa mamilioni. na hapana shaka wasomaji wote wa hii blog watakubaliana na mimi kuhusiana na...
10 years ago
Michuzi29 Jun
HOJA YA HAJA TOKA KWA MDAU
Nimeenda kwenye maonesho hayo lakini nilichoshuhudia jana nikwamba maonesho hayo yamewalenga wenye kipato cha juu tu na si watanzania wakawaida asilani, kwa sababu inashangaza sana kwa serikali...
10 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/BM3*tIQqFL*hI1HfVUYxZ9GwRDmCuRkgRxplDCrBB7W16Vdm3YW9A5uTCGJAtszIDEGlfdzP6ZDHdTOOPHV1Yosv99OGrteq/Internal_and_external_hemorrhoids.png?width=650)
TATIZO LA NYAMA KUJITOKEZA NJIA YA HAJA KUBWA {HEMORRHOID}
11 years ago
Michuzi09 Mar
HOJA YA HAJA: kampeni ya kupambana na ukuda Tanzania
11 years ago
Michuzi18 Feb
HOJA YA HAJA KUTOKA KWA WADAU WA UGHAIBUNI
Mnhomo Gwa Nzunzu ni Mtanzania aliyezaliwa Sengerema, Mwanza. Baada ya kuzaliwa wazazi wake walifariki wakati yeye akiwa na miaka mitatu tu kutokana na ajali ya gari. Baada ya kufariki wazazi wake Nhomo Gwa Nzuzu alilelewa na bibi yake ambaye alimsisitizia sana apate elimu ili ajikombowe kimaisha. Kwa vile Nhomo Gwa Nzuzu hakutaka kumsikitisha bibiye aliamua maisha yake ni kitabu na kitabu na yeye.
Kutokana na juhudi zake za kujisomea Nhomo Gwa Nzuzu alifaulu darasa...
11 years ago
Michuzi12 Aug
Hoja ya haja: DIASPORA NA URAI PACHA (dual citizenship)
Na Ndugu Kagutta N.Maulidi
![](https://2.bp.blogspot.com/-Zg_1QJJisnU/U-nzzLjVMjI/AAAAAAAAHQM/fjncnJPMcRc/s1600/487578_10202477604054816_2061004118_n.jpg)
Tunapoendelea kufuatilia majadiliano ya wajumbe maaluum wa bunge la katiba si vibaya tukaweka msisitizo au kuwakumbusha wajumbe wetu kuhusu mada iliyopo katika rasimu ya katiba sura ya tano inayozungumzia urai pacha.
Nchi yetu bado haitambui uraia wa nchi mbili, kwa maana kuwa ukichukua uraia wa nchi nyingine unapoteza haki ya Urai wako wa Tanzania. Tunashukuru kuwa swala hili limeingizwa katika rasimu ya pili ya katiba,ili liweze kujadiliwa .Sisi Watanzania...
11 years ago
Michuzi23 Feb
Hoja ya Haja kuhusiana na matumizi ya majina ya asili ya kibantu
Katika kipindi cha wiki moja nimekuwa nikitazama tamthilia ya Kiswahili inayoitwa The team(wengi watakuwa wanaifahamu). Napenda kuwapongeza watayarishaji na waigizaji wa tamthilia hii kutokana na ufanisi waliouonyesha katika kuiandaa tamthilia.
Kama Mtanzania nimevutiwa na kujivunia kwa mengi,mojawapo ikiwa ni matumizi fasaha ya lugha ya Kiswahili,kitu ambacho ni vigumu kukiona katika filamu zingine au katika maisha ya kila siku.
Hoja yangu ni juu ya majina...